UDSM research clearance miezi mitatu?

Siku nilimaliza undergraduate hapo niliapa kutoenda tena kusoma!
Urasimu mwingi sana mlimani khaa
 
Kama hamuwezi kutumia system mmeanzisha ya nini. Approval inakaa pending kwa Mkuu wa idara mwezi mzima. Mnatesa wanafunzi masters Na PhD. Acheni hizo.
Hii chuo cha washamba wengi mazwazwazwa sijawahi fikiri nitakuja soma UD wala haitotokea mizwazwa yote imetokea hapo. Km unabisha we subiri reaction zao
 
Back
Top Bottom