UDSM - Promotions of Senior Lecturers to Associate Professors - yale yaleeeeeeee!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
UDSM - Promotions of Senior Lecturer to Associate Professor yale yaleeeeeeee!

Note: Nimejaribu ku-search hizo publication zao katika international journals doooooh nimekuta ya mmoja tu tena ya mwaka 2001. Labda papers zao zimekuwa 'accepted' bado hazijakuwa 'published'.....kwamtazamo wangu mimi nadhani ni yale yaleeee....
 

Attachments

  • 2010-6-22-8-6-36_promotion2010_seniorlec2associateprof.pdf
    41.3 KB · Views: 199
Kwa kweli inasikitisha Prof ana papers 9 tangu 1996?
Nadhani sababu ni nyingi, we fikiria migomo ya madenti na lecturers wenyewe, umasikini, ugomvi ndani ya familia, SIASA za kudanganyana afitina mengine. Sasa wachape saa ngapi. Kazi wanayo manake kwa mwendo huu, utafiti hakuna!
 
kuna missing gap kubwa ktk kureplenish old professors, zile enzi za kubaniana kua hakuna wasomi kama wao zinaisha wakati washazeeka sasa inabidi liwe zoezi la kuzima moto ilimradi wapatikane wengine, nimemaliza pale eng 2005 , by then all professors and senior lectures were above 50's some even in 60's and 70's
 
Back
Top Bottom