Udsm Na Ukiritimba Wa Matokeo Dhidi Ya Wahitimu

Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
9,277
4,683
Jamani kwa kweli mambo ya chuo kikuu cha Dar Es Salaam UDSM yanashangaza sana.Hii ni kutokana na jinsi utawala wa chuo hicho unavyowanyanyasa wahitimu kwa mambo na sababu za kipuuzi kabisa mabzo hata mwalimu mkuu wa shule ya msingi hawezi kufikiria.Huwezi kuamini kuwa Wahitmu wa mwaka wa masomo 2006 mpaka leo hii hawajaweza kupata degree certificates zao.Sababu hata hazijulikani ni kwanini.Wengi wao waeshindwa kutokea kwenye interviews za kazi kwa vile waajiri hawaamini kuwa mtu anaweza kugraduate akakaa mwaka mzima bila kuwa na cheti cha kuonesha kuwa kahitimu kweli.Kimbembe sasa hivi wanacho wahitimu wa mwaka wa masomo 2007 hasa wa vitivo vya sheria na elimu.Kwa kawaida udsm wao wanasema degree certifictaes ni baada ya mwaka 1 kwamba zinatoka Uingereza eti kuepuka kughushiwa!Mbona vyuo vingine vyeti hiyvo hupatikana baadsa y graduation tu?kwa vile udsm hawatoi vyeti mpaka baada ya mwaka basi hutoa transcripts.cha ajabu tangu graduation mwezi november 2007 wahitimu hawana hizo transcripts.matokeo yake wengi wamekosa ajira kabisa.Mbaya zaidi hakuna anayetoa jibu sahihi lini hizo transcrots zitatoka.mdogo wangu mmoja amezungushwa mpaka karibu achanganyikiwe,ni danadana tu,kakosa kazi sehemu 3 mfululizo kwani waajiri hawataki kupokea "provisonal results",wanataka transcripts au cheti.Ukiritimba na usanii huu UDSM mnataka na/au mnawatakia nini jamani kwa wahitimu?
 
Kama hii ni kweli basi kuna kazi kweli huko bongo. Yaani pamoja na kuhangaika na shule na unafanikiwa kumaliza jamaa bado wanakalia matokeo yako!

Pambafffffffffffffff kabisa! Washikiwe bango na waache usanii sasa!
 
Yaani miaka 31 ya CCM, Mkandala kuwa m CCM mkubwa namtunzi a Slogan zao , miaka zaidi ya 40 ya Uhuru Tanzania hata Cheti kinatoka Uingereza ? Huu ni uhuni kabisa this can be done hapa hapa Dar na kwa uwezo na quality ile ile ya UK .Shida ni nini ? Umeme ? Mitambo ? Wino ? makaratasi ? Kitu gani hasa ? Mkandla anafanya nini kama hali ndiyo hii ? Msollwa je ?
 
Nawaunga Mkono watu wote.WAchunguzwe na ningependa kamati ya ya Bunge illiyoichunguz aRDC iwachunguze na hawa..
 
Mimi kwa kweli hua najiuliza hawa ma prof wanahadhi ya kua kweli ma prof???
kwanza wanaroho mbaya waki DISCO watu kwao faraja.

Ndio maana ni vigumu kupata viongozi waadifu wasomi wanaandaliwa kifitina fitina mnooo
 
Nadhani katika mpango wa kupunguza msongamano dar hiki chuo sehemu ya mlimani ivunjwe na kuhamishiwa dodoma university, majengo hayo yatumike kama ofisi za mawizara ambayo yapo katikati ya mji, wahadhiri waliopo wapewe redundancy na watakao hitajika wataomba kazi upya na kutahiniwa kitaalamu.

Hii pia itasaidia kupunguza idadi ya watoto wanaokimbilia dar kwa kisingizio cha kusoma udsm na hatimae kuishia kuwa makahaba.
 
Duh hii plan yako ikitekelezwa basi ndoto ya DODOMA kuwa capital itafanikiwa kabisa
 
Back
Top Bottom