UDSM na taratibu zake mpya

Speedo

Member
Feb 15, 2011
70
19
Asalaam!
WanaJF, naomba kujulishwa kama ni kweli Hiki chuo kimebadili viwango vya kufaulu kuvuka mwaka (GPA) au ni kama zamani?
Nina rafiki yangu ame-Disco mwaka wa kwanza (BSc) ila anadai GPA ipo poa 2+.
Kwa anayefahamu naomba msaada.
Asante

mkuu kama B.Sc ni hivo ni kwamba hakuvuka Departmental GPA,hata kama una 2.5 na department fulani una Suppl. Kadhaa unaweza pata disco..pole mkuu,duuh ila UDSM 1yr mlikua wengi kila sehemu 1yr,alafu wanavopenda kuuza sura cafteria..pole mkuu kwa ur frnd.

• Thanks
Reactions: SG8
Binafsi nilipokuwa nasoma secondary hadi hapo UDSM sikuwahi na sitakuja anagalia marks or GPA from the bottom of page na hata ushauri ninaotoa kwa yeyote awaye mahali popote, try to position yourself at the top down to the middle. Na hii siyo chuo tu ni almost kwa chochote ufanyacho hata kama unaumwa buy the best medicine in the market..........usitegemee kulalamikia msaada!

Ni wewe umedisco afu unamsingzia rafik yako.ucpoteze muda,kaaply chuo kingne faster.

Asalaam!

WanaJF, naomba kujulishwa kama ni kweli Hiki chuo kimebadili viwango vya kufaulu kuvuka mwaka (GPA) au ni kama zamani?

Nina rafiki yangu ame-Disco mwaka wa kwanza (BSc) ila anadai GPA ipo poa 2+.

Kwa anayefahamu naomba msaada.

Asante

oooh mkuu pole sana kwa kudisco chuo kikuu tena ulikua unapata mkopo 100% hata ungekua na Gpa 3 kama kwenye idara yako umefail utadisco tuu, mi nilisoma pale engineering (coet) hakuna hiyo inshi ilimradi uwe na Gpa ya 1.8, so kama upo coet wamekuonea.pole sana mkuu.

hata ukikutwa unasex bylaw inasema udisco, siyo GPA tu au ni wewe unayedisco kila chuo na kuhamia kwingine

hv kumbe kuna gpa za 1.8, 2.n.k? Mi nilikuwa cjui. Najua kuna 3.8,.....5.0 udsm,hasa kwa elimu lain ya udsm!,ngoja niaangalie za taarifa,daaah

Kipakamwitu umejivua nguo kwa kuiita elimu ya Udsm "laini"...nahisi ni utoto,kua uyaone.

hv kumbe kuna gpa za 1.8, 2.n.k? Mi nilikuwa cjui. Najua kuna 3.8,.....5.0 udsm,hasa kwa elimu lain ya udsm!,ngoja niaangalie za taarifa,daaah

majority ya Gpa za pale udsm znarange kati 2.0-3.7,elimu co ngumu kvle ila ni unoko wa maticha 2.

HUYU JAMAA YAKO HAJAKWAMBIA UKWELI. KAMA AMEDISCO TATIZO HALIWEZI KUWA GPA KWA SABABU BADO HATA SUPP EXAM KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA HAUJAFANYIKA. LABDA KUNA SOMO HAKUFANYA NMTIHANI NA HIYO NI SABABU TOSHA YA KUDISCO.

Afuatilie afahamu sababu. bado ana nafasi ya kufile appeal

huyo atakua kapigwa automatic disco..co bure.

majority ya gpa za pale udsm znarange kati 2.0-3.7,elimu co ngumu kvle ila ni unoko wa maticha 2.
sio maticha tu hata uzembe wa wanafunzi unachangia sana!!! Just imagine kijana anakupa jibu elimu haijachanganya...hii ni indicator za uzembe anza na gia kubwa mwanzo-mwisho mbona unatoka poa!!!

sio maticha tu hata uzembe wa wanafunzi unachangia sana!!! Just imagine kijana anakupa jibu elimu haijachanganya...hii ni indicator za uzembe anza na gia kubwa mwanzo-mwisho mbona unatoka poa!!!

nina mshkaji wangu alikuja na dv 1.5 akidhan na huku ni pa kukariri,mbona kila mwaka 2napga wote supp?

Hii sio sheria mpya! kama ktk departments zake za CONAS ana GPA below 1.5 ni DISCO hata kama course nyingne out amepiga overall GPA ikafika 3+. hili ni tatizo, wengi wa Bsc.education wanaliwa vichwa course za CONAS wanaenda piga mabanda kwny course za education, wanaliwa vichwa na GPA kali sana. Tatizo hawasomi prospectus, kila ki2 kimo mle. mpe pole jamaa ila kma sio ilo tatizo, acheck na exams officer room 106 CONAS watamweleza tatizo. ila computer haidanganyi, umsindikize kupokea majibu maana kuna jamaa ili bidi tumalize naye mwaka huu amekuja 'sup' juzi wanamwambia yupo below GPA ali'colapse'.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom