Udsm kwa kweli mnazingua sana

the senior

Member
Aug 15, 2012
24
2
Yani chuo kikuu cha Dar es salaam wana mambo ya kizamani sana, watu tumemaliza chuo mwezi july pamoja na graduation mwezi uliopita, lakini inashangaza wanavyochukua muda kutupatia transcript zetu ili tukatafute kazi eti wanasema kuprocess hizo transcript ni siku 14 za kazi yaani wiki tatu. kwa nini iwe muda mrefu namna hiyo wakati huyu mtu mmeshajiridhisha kuwa amemaliza, na je hiyo new technology inawasaidiaje? maana hivi sasa vyuo ni vingi kwa hiyo competition ni kubwa, mnatuchelewesha sana badiliken bana acheni mambo ya kikoloni!!!!!!!!!
 
Yaani hiki chuo tangu alipostaafu prof.luanga na kuingia Mukandara ni kama kimekufa!
 
Vyuo vingine wanapata baada ya muda gani toka kuziomba hizo transcripts? ..... Labda mchango wangu utaanzia hapo! Asante
 
Usiwe na haraka kaka UDSM nafasi zenu zipo tuuu..
vyuo vingine hivi kama UDOM wameambiwa wasubiri kwanza,ninyi mkiisha ajiriwa ndo wao watafikiriwa.
 
Kweli kabisa mdogo wetu.Kwani rekodi zinaonesha toka chuo hicho kianzishwe,hakuna hata graduate mmoja aliyewahi kukosa ajira,nyie mpo juu sana,njooni tu ajira ni nyingi sana zimawasubiri nyinyi ma-genius,kwani hata bakhresa na Dewji walisoma hapo,hivyo hawawezi kuwatosa hata kazi za kuoka mikate au kuuza rambaramba.
 
Ha ha ha ha haaaha haa! Kuna watu mnajua kuzingua...
 
daah,mkuu kwani ulipeleka original certficate za O na A level,au kuna altenative nyngne.?Alafu wale wa ofis ya bursar wale wachaga ofisi utafikir yao.Nchi hii hatutafika huko tuendako,full stress kila kona,,inakera.
 
Kweli kabisa mdogo wetu.Kwani rekodi zinaonesha toka chuo hicho kianzishwe,hakuna hata graduate mmoja aliyewahi kukosa ajira,nyie mpo juu sana,njooni tu ajira ni nyingi sana zimawasubiri nyinyi ma-genius,kwani hata bakhresa na Dewji walisoma hapo,hivyo hawawezi kuwatosa hata kazi za kuoka mikate au kuuza rambaramba.
upuuzi mtupu
 
Lakini tukumbuke hivi vyuo vina idadi kubwa ya wanafunzi na uandaaji wahizi transcript unahitaji umakini mkubwa tuwe na subira tupate kitu kizuri.
 
Kweli kabisa mdogo wetu.Kwani rekodi zinaonesha toka chuo hicho kianzishwe,hakuna hata graduate mmoja aliyewahi kukosa ajira,nyie mpo juu sana,njooni tu ajira ni nyingi sana zimawasubiri nyinyi ma-genius,kwani hata bakhresa na Dewji walisoma hapo,hivyo hawawezi kuwatosa hata kazi za kuoka mikate au kuuza rambaramba.
upuuzi mtupu
 
majukumu ni mzigoooooooooooooooo ila UDSM NI UDSM TU,Hata mkicheleweshewa mna nafac yenuuuuuuuuuuuuuuuuuu auuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:bowl::shut-mouth::majani7:
 
aiseeeeee babaangu nasikia udsm kimepanda na kuwa nafasi ya 6 barani afrika nimezipata hizi update jana mkuu
 
Usiwe na haraka kaka UDSM nafasi zenu zipo tuuu..
vyuo vingine hivi kama UDOM wameambiwa wasubiri kwanza,ninyi mkiisha ajiriwa ndo wao watafikiriwa.
Ndoto za alinacha...Nani kakwambia?
 
Yaani hiki chuo tangu alipostaafu prof.luanga na kuingia Mukandara ni kama kimekufa!
Penye udhia penyeza rupia...Akili kichawani. Usishangae hata baada ya siku 14 hupati hiyo kitu, wakati wenzio wanapata ndani ya siku moja
 
Kweli kabisa mdogo wetu.Kwani rekodi zinaonesha toka chuo hicho kianzishwe,hakuna hata graduate mmoja aliyewahi kukosa ajira,nyie mpo juu sana,njooni tu ajira ni nyingi sana zimawasubiri nyinyi ma-genius,kwani hata bakhresa na Dewji walisoma hapo,hivyo hawawezi kuwatosa hata kazi za kuoka mikate au kuuza rambaramba.

umekurupuka. jpange
 
Back
Top Bottom