the senior
Member
- Aug 15, 2012
- 24
- 2
Yani chuo kikuu cha Dar es salaam wana mambo ya kizamani sana, watu tumemaliza chuo mwezi july pamoja na graduation mwezi uliopita, lakini inashangaza wanavyochukua muda kutupatia transcript zetu ili tukatafute kazi eti wanasema kuprocess hizo transcript ni siku 14 za kazi yaani wiki tatu. kwa nini iwe muda mrefu namna hiyo wakati huyu mtu mmeshajiridhisha kuwa amemaliza, na je hiyo new technology inawasaidiaje? maana hivi sasa vyuo ni vingi kwa hiyo competition ni kubwa, mnatuchelewesha sana badiliken bana acheni mambo ya kikoloni!!!!!!!!!