UDSM inatesa wanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM inatesa wanafunzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JAYJAY, Feb 15, 2011.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,490
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  wadau wa JF nina mtoto wa ndugu yangu ambaye amemaliza UDSM upande wa UDBS mwaka 2010.tatizo linalomkabili yeye pamija na wenzake kama watatu hivi ni kuwa matkoeo yao hayajakamilishwa mpaka sasa 15 february 2011. hiyo imesababishwa na kozi moja ya mwaka wa kwanza ambayo inatolewa na idara ya uchumi chuoni hapo ambayo walii carry na kufanikiwa kuifaulu mwaka wa pili. sasa matokeo ya hiyo kozi hayajumuishwa na matokeo mengine hivyo kufanya matokeo yote ya mwisho kutokamilika na degree pia.

  idara ya uchumi ilishatuma matokeo hayo kwa barua rasmi yenye majina ya wanafunzi na matokeo yao kwa mara ya pili baada ya matokeo ya mwisho kutoka mwaka jana na tatizo kujulikana licha ya kuwa matokeo hayo yalishatumwa mara ya kwanza ambapo inaonekana muhusika ambaye ni dean (sitamtaja)alifanya uzembe wa aina fulani hapo.
  lakini tatizo halikushughulikiwa ndani ya muda ule uliobaki kabla ya mahafali (kama miezi miwili na nusu) na mwishowe wanafunzi hawa wakashindwa kuhudhuria mahafali licha ya kuwa walishalipia gharama zake.hapo ikabidi wasamehe. lakini cha ajabu wameendelea kufatilia bila mafanikio mpaka hivi sasamiezi 5 baadae huku muhusika yaani dean UDBS akiwazungusha kuwa tatizo linashughulikiwa. dogo alienda wiki iliyopita akakuta kuna dean mpya ambaye alimshauri aandike barua kwenda kwa mkurugenzi ungergraduate lakini bahati mbaya ni kuwa dean wa zamani UDBS ndiye sasa mkurugenzi wa undergraduate kwa hiyo suala hilo linamfata yuleyule ambaye anawasumbua mpaka sasa.

  kwa hiyo wadau naomba mnisaidie nimshauri nini naamini kuna waliopitia hapo udsm na kukutana na matatizo kama hayo.maana naona dogo ameshakata tamaa maana yupo hapa dsm tangu novemba kabla ya mahafali na anapowaona baadhi ya marafiki zake wakiendelea na michakato ya ajira anaumia zaidi.
   
 2. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  yani sio siri kile chuo kinakera na ukiondoka kama hujapata msukosuko wowote unamshukuru muweza wa yote ,kuna katabia ka kupendeleana,kujuana na kulindana,eti huyo dogo hakuwahi kutibuana na huyo dean ama vp?kama ameshawahi kutibuana naye atapata shida na cha kufanya atafute ustaarabu wa kumuona prof.maboko by any means atamsaidia na asihofu wala nini.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mimi nimekutana na tatzo hilo,nimemaliza last year,nilipata matatzo mawili,tatizo la kwanza ni kuwa kuna koz niliopt,mwalimu alipopeleka idaran wahusika hawakuyarusha kwenye system ya ARIS,hvyo nikawa na incomplete,nilijitahdi kufuatilia kuanzia kwa courz instructor,courz coordinator hadi kwa head of department,na mwishowe kwa xamination officer,ilinipotezea muda na fedha kwa ajili ya ufuatiliaji,kutokana na urasimu na ubinafsi nilioupata toka kwa head of dpartment na examination officer wa school of education lakini niligangamala hadi wakaijaza hyo courz.
  Tatizo la pili ni kwamba,kuna course moja ambayo ni core tangu nikiwa mwaka wa kwanza matokeo yalikuwa yakisomeka kuwa ni B+,na niliyaprint,hadi provisional results inasomeka hvyo,lakini after october 2010,matokeo yanasomeka B,nikamuuliza examination officer kuhusu hlo tatzo hakunipa jibu muafaka,hapo nikakwama,lakini kwakuwa nina matokeo ya nyuma,najipanga kuwafungulia mashtaka,wanilipe na fidia,
  Nakushauri kuwa hlo suala linawezekana,wafanye intensive folowup,udsm kuna uzembe sana,kama c mfuatiliaj unakwenda na maji,nina uhakika
   
Loading...