Udommmmmm!kueni makini........

gedo

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
314
53
nyie madogo mnaotaka kuomba vyuo mwaka huu kueni makini,hiki chuo chakata(UDOM) nibalaa,mikopo wanaiba sana,wenzangu namm nyumbani kweupe nakama mnacutt off pts nzuri ombeni tu vyuo vingine,hili lichuo hovyo kabisa,watu wengine hawajapew pesa hadi sasa nawanataka kuwadhulumu,mwenye masikio na asikie,nawasilisha.......!
 
Acha upuuzi na fikra za kishenxi nani kakwaambia udom wanagawa mikopo vyuoni
 
Ukifeli zero au four vyuo vyote tanzania hupati na bodi hawakupi hela,wewe uliyeferi usishawishi wenzio walio na credit--kalia fitina wenye one na two zao wanaula boom!
 
Ukifeli zero au four vyuo vyote tanzania hupati na bodi hawakupi hela,wewe uliyeferi usishawishi wenzio walio na credit--kalia fitina wenye one na two zao wanaula boom!

nina one.pt12 -level na one.pt5-level yapcb,so ntake radhi na amin hilo lichuo nihovyo..udini maximu!nadogo anasoma full xtream sahizi pale kunashule kweli?acha upoyoyo......
 
heshimuni elimu yetu, yanini kutusi elimu wanayopata wengine.
c vzr kutukana vyuo vyetu, tuheshimu na tuangalie jinsi ya kujenga vyuo vyetu ili tuwe na elimu bora.:nod:
 
nina one.pt12 -level na one.pt5-level yapcb,so ntake radhi na amin hilo lichuo nihovyo..udini maximu!nadogo anasoma full xtream sahizi pale kunashule kweli?acha upoyoyo......

ninaamin wewe ni muongo yani una one kote alafu unaleta upuuz huku?? Pole kijana!
 
nyie madogo mnaotaka kuomba vyuo mwaka huu kueni makini,hiki chuo chakata(UDOM) nibalaa,mikopo wanaiba sana,wenzangu namm nyumbani kweupe nakama mnacutt off pts nzuri ombeni tu vyuo vingine,hili lichuo hovyo kabisa,watu wengine hawajapew pesa hadi sasa nawanataka kuwadhulumu,mwenye masikio na asikie,nawasilisha.......!

Unasoma chuo kwa kufuata mkopo badala kufuata ubora wa elimu.
 
Haya tumekusikia

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
anachosema ni kweli ila kashindwa kueleza matatizo ya udom. Kuna watu wanafanyiwa uhuni pale mfano kama bodi ilikupa asilimia 50 wao katika ile ada ambayo ulitakiwa ulipiwe hawalipi yote. Kunawatu waliomaliza0mwaka jana wanarudishwa na kuambiwa hukusaini ada imerudishwa bodi. Nawashauri muwe makini usiwaamini wanaocomment kwa bwembwe hapa bali mtafakari haya, kielimu simbaya sawa tu na vyuo vingne tanzania, serious watu hawapewi vyeti hapa
 
udom hapafai.....hata bod wakikulipia ukienda kuchukuwa chet wana kuambia bod bado hawajaleta, ni wahuni hata hela za fld wanalamba hawa mashetani...
 
udom iliwazulumu wanachuo waliomaliza 2011 wakalazimisha walipe ada(wanafunzi wenyewe) badala ya kuiachia bodi iliwalipie kisa kusaini vitabu. Hadi leo hii huna hela hupati cheti. kama jina halipo au hujasaini jina kitabu cha mkopo, kama kipo bahati yako utasaini upate cheni kama hakipo hata kama unadaiwa milions lazima ulipe, shida ya udom ni wakuu wa chuo wanamatatizo
 
hyo ya bodi kutopeleka pesa hpo karibia vyuo vyote kaulize ushirika moshi mcongee 2,kila chuo kina matatizo yake...tz
 
achen wenzenu wakasoma kama hutak kasome chuo alichofungua baba yako upate mkopo 100%..matatizo yako ucwaambukize wengne
 
we huna la maana unaloliongea hapa.Njaa zako huwez conclude kwa wenzio wote;na bado boom ni part ndogo sana katika kujudge ubora wa chuo.We kaa kukimbizana na usnitch wenzio wanapanda rank
 
Vijana acheni mihemko, jamaa katoa hoja ya msingi sana, mi mwenyewe niko UDOM but simshauri yeyote kuomba hik chuo, bt kama hamuamin chaguen mje mjionee wenyewe.
 
Back
Top Bottom