Udomasa(udom),yatoa msimamo wake juu ya migomo inayoendelea chuoni hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udomasa(udom),yatoa msimamo wake juu ya migomo inayoendelea chuoni hapa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Fungo N., Jun 24, 2011.

 1. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umoja wa wanataaluma chuo kikuu cha Dodoma(UDOMASA)umetoa tamko na msimamo wake juu ya migomo mfululizo inayoendelea hapa chuoni.Ikumbukwe kuwa mpaka sasa chuo cha sayansi ya jamii na humanitia pamoja na kile cha sayansi ya mawasiliano(informatics)bado vimefungwa baada ya mgomo.Katika msimamo huo UDOMASA inautaka uongozi wa chuo na serikali kutekeleza baadhi ya mambo yafuatayo: 1-katika utatuaji wa migogoro hiyo wahusika wasiegemee upande mmoja wa wanafunzi tu, 2-wanafunzi warudi haraka chuoni kwa pamoja na sio kwa makundi kama inavyotarajiwa kufanywa,3-Viongozi wa kisiasa serikalini wasilete siasa ktk masuala ya kitaaluma, pia viongozi wa chuo wafuate maadili ya taaluma ya kazi zao na si kuendesha chuo kwa misingi ya kisiasa,4-Wamesema migomo inapunguza hadhi ya chuo si tu machoni pa wanajamii bali hata ktk soko la ajira hivyo ni vema kutatua migogoro isiyokuwa ya lazima kwani kufukuza wanafunzi ni kuumiza wazazi wasio na hatia.MADAI YAO YATATULIWE NA SI KUWAFUKUZA.Haki itendeke.
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Safi sana ,hizo ni hoja nzito za wasomi!!
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  safi sana komaeni mpaka kieleweke
   
 4. 0717436862

  0717436862 Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yac wasomi wanazungumza mambo ya msingi,nawapongeza sana kwa hilo wawasaidie vijana warudi fasta kwny buku coz wanachodai ni haki yao.
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  msimamo huu umekaa vizuri...
   
 6. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  all the best UDOMASA teteeni vjn wetu
   
 7. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hi imekaa safi maana chuo sasa kimekuwa kama jukwaa la maenyesho ya siasa, kikwete kageuza udom kama place ya kujsfia na ndo vjana wakgoma inawauma na il kutransfer blame kwa wanafunz waonekane wabaya wanaamua kuwafukuza.
   
 8. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nimeipenda hiyo uongozi wa chuo umekuwa na roho nyepesi sana kufukuza wanafunzi.
   
 9. m

  mbaba Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tatizo kabinet za vyuo vya serikali wengi ni magamba ndo maana hawapendi kujiaribia,fasta wanatoa maamuzi ya kigumashi bila kufikiria, nan asiejua madent wanadai haki yao! Solidarity daima
   
 10. 2

  2simamesote Senior Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa leo wamesema udom 2likua 2metengeneza mabomu ya petroli cjui kikula hizi habari katoa wap?
   
Loading...