UDOM yawatimua wafanyakazi wenye vyeti bandia

Gudboy

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
867
77
Jamani kama kuna wafanyakazi wa UDOM hapa JF hebu tupeni majina ya watumishi 6 walifutwa kazi huko kwa kuwa na vyeti vya kichina (Bandia). Inatia aibu hii nchi. Wadu mnasemaje juu ya hili? Nini kifanyike na hivi vyeti bandia sio Udom tu hata kwenye ofisi nyingi hapa tanzania
 
Afadhali watimuliwe, i wish hili rungu lingepitishwa kila mahali Tanzania, tungepunguza vihiyo wanaorudisha maendeleo yetu nyuma kwa kupewa nafasi nyeti wakati kichwani empty.
 
Afadhali watimuliwe, i wish hili rungu lingepitishwa kila mahali Tanzania, tungepunguza vihiyo wanaorudisha maendeleo yetu nyuma kwa kupewa nafasi nyeti wakati kichwani empty.

ndugu yangu hao wanaotakiwa kupitisha hiyo kitu nao wamefoji vyeti so kwa any move wataizima tuu, jana tu tumeona idadi ya mawaziri, wabunge kwa uchache walioforge vyeti so hakuna kazi hapo kaka.Wachache watabanwa but wengi watapeta hadi wanastaafu na mafao wanakula!!
 
Afadhali watimuliwe, i wish hili rungu lingepitishwa kila mahali Tanzania, tungepunguza vihiyo wanaorudisha maendeleo yetu nyuma kwa kupewa nafasi nyeti wakati kichwani empty.
kweli kabisa hawa jamaa wanaziba nafasi za watu wenye elimu, huu ujomba ujomba sio utakwisha lini. mimi najiuliza toka interview mpka kuajiriwa hivi hawakuchunguza yote haya
 
Back
Top Bottom