UDOM- watangaza kazi tena- Administrative positions

Inteprevist

Member
Nov 2, 2010
5
0
Wakuu habari ya mihangaiko ya maisha. Sina uhakika kama hii taarifa imeshawekwa hapa kwenye forum. Kwa taarifa tu nikwamba UDOM wametangaza kazi za administrative. Tafadhali fuatilia hii kwenye The University Of Dodoma. Pia unaweza kudownload attachment niliyoambatanisha. Ni kazi nyingi kidogo

Asanteni
 

Attachments

  • UDOM Vacancies.Administrative Staff July, 2011.pdf
    218.4 KB · Views: 391
Back
Top Bottom