UDOM wataka wabunge wa CHADEMA WAOMBE RADHI!!

Kiherehere

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,806
621
Kuna waandishi wengine wanapaswa kuwa na akili, yawezekana hata kazi yake ni ya kuchomekwa tu!! Huwezi kusema UDOM ndo wamesema haya kwa kupitia kapuuzi kamoja kalikokuwa na Ridhwani kwenye kuomba udhamini wa baba yake eti ni UDOM.

UDOM ina uongozi, so kama kiongozi wa chuo kasema ilikuwa inasound safi lakini Mwanafunzi aliyekutwa analewa ndo anawakilisha UDOM?

Vyuo vingine!!! yaani hapa hili gazete haliwezi kufunguliwa mashitaka na CHUO? au chuo (uongozi na msemaji wa chuo) wanaipenda hii??

SOMA HAPA CHINI ni habari ya nipashe trh 21/11
UDOM yaitaka Chadema kuomba radhi

Na Sharon Sauwa

21st November 2010

email.png

B-pepe

printer.png

Chapa

comment_bubble.png

Maoni

Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma, wamewataka wabunge wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), kufikiria upya msimamo wao wa kutomtambua Rais Jakaya Kikwete, ili kulinda maslahi ya wapigakura wao.
Kauli hiyo ilitolewa na wanafunzi wa vyuo vikuu mjini hapa jana wakati wakizungumza na waandishi wa habari kuhusiana wabunge hao kususia hotuba ya Rais.
Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi wenzake wa vyuo vya Mipango, St. John, CBE, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Thobias Richard, alidai kuwa lengo la wabunge hao ni kutaka kuhamisha wananchi katika ajenda ya msingi ya maendeleo na kubaki kwenye malumbano ya kisiasa.
Richard ambaye ni mwanafunzi wa UDOM, alisema kitendo hicho ni kinyume na matarajio ya wapiga kura waliowachagua wabunge hao.
“Kama hawamtambui Rais maana yake hawana kazi ya kufanya ndani ya Bunge kwani kazi yao kubwa ni kuishauri na kuisimamia serikali sasa kama hawatambui serikali hiyo hawana sababu ya kuendelea kuwepo bungeni,” alisema.
Aliwataka wabunge hao kutafakari upya kama kweli wanataka kuwawakilisha bungeni wananchi.
Aliwataka wawaombe radhi Watanzania kwa kuvuruga taswira safi ya Bunge lisilo na ubaguzi na itikadi za kisiasa. Alisema kwa kutowaomba radhi wananchi ni kuwadharau Watanzania waliowachagua wakidhani kwamba ni waadilifu kwa taifa na sio chama chao.
Wabunge wa Chadema, walitoka nje ya ukumbi wa Bunge, Ijumaa wiki iliyopita, lengo likiwa ni kuonyesha kuwa hawamtambui Rais Kikwete
 
Vyuo vingine!!!? au chuo yaani hapa hili gazete haliwezi kufunguliwa mashitaka na CHUO (uongozi na msemaji wa chuo) wanaipenda hii??

SOMA HAPA CHINI ni habari ya nipashe trh 21/11
UDOM yaitaka Chadema kuomba radhi

Na Sharon Sauwa

21st November 2010

email.png

B-pepe

printer.png

Chapa

comment_bubble.png

Maoni

Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma, wamewataka wabunge wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), kufikiria upya msimamo wao wa kutomtambua Rais Jakaya Kikwete, ili kulinda maslahi ya wapigakura wao.
Kauli hiyo ilitolewa na wanafunzi wa vyuo vikuu mjini hapa jana wakati wakizungumza na waandishi wa habari kuhusiana wabunge hao kususia hotuba ya Rais.
Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi wenzake wa vyuo vya Mipango, St. John, CBE, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Thobias Richard, alidai kuwa lengo la wabunge hao ni kutaka kuhamisha wananchi katika ajenda ya msingi ya maendeleo na kubaki kwenye malumbano ya kisiasa.
Richard ambaye ni mwanafunzi wa UDOM, alisema kitendo hicho ni kinyume na matarajio ya wapiga kura waliowachagua wabunge hao.
"Kama hawamtambui Rais maana yake hawana kazi ya kufanya ndani ya Bunge kwani kazi yao kubwa ni kuishauri na kuisimamia serikali sasa kama hawatambui serikali hiyo hawana sababu ya kuendelea kuwepo bungeni," alisema.
Aliwataka wabunge hao kutafakari upya kama kweli wanataka kuwawakilisha bungeni wananchi.
Aliwataka wawaombe radhi Watanzania kwa kuvuruga taswira safi ya Bunge lisilo na ubaguzi na itikadi za kisiasa. Alisema kwa kutowaomba radhi wananchi ni kuwadharau Watanzania waliowachagua wakidhani kwamba ni waadilifu kwa taifa na sio chama chao.
Wabunge wa Chadema, walitoka nje ya ukumbi wa Bunge, Ijumaa wiki iliyopita, lengo likiwa ni kuonyesha kuwa hawamtambui Rais Kikwete

na hawawezi kufanya lolote kwa sababu wapo kwenye makwapa ya hawa jamaa mafisadi
 
Ivi uyo anayejiita UDOM si atajwe ata jina lake mbona wanakipaka matope chuo
 
nadhani hata sisi wana JF tuna udhaifu mkubwa sana kwasababu tunawapa promo hawa imbeciles
 
Ndugu Moderator,

Tafadhali, jaribu kuweka habari za 'WASOMI WA DODOMA' pembeni kwa sasa. Tulishamalizana nao tangu majuzi. Kazi kwao ... hatutaki tena kusikia juu yao kwa mitindo hii hii.
 
hapa kama mtoa hoja namlaumu MWANDISHI kwa kushindwa kutofautisha UDOM na kamwanafunzi kalikoropoka haya maneno.
Kwa hiyo wanaJF tumjadili pia mwandishi aliyeweza kumfrem MWANAFUNZI mmoja, na kusema ni UDOM. Je kama alimkuta analewa? maana wengi pale ni walevi.(sio wote).
 
Kuna waandishi wengine wanapaswa kuwa na akili, yawezekana hata kazi yake ni ya kuchomekwa tu!! Huwezi kusema UDOM ndo wamesema haya kwa kupitia kapuuzi kamoja kalikokuwa na Ridhwani kwenye kuomba udhamini wa baba yake eti ni UDOM.

UDOM ina uongozi, so kama kiongozi wa chuo kasema ilikuwa inasound safi lakini Mwanafunzi aliyekutwa analewa ndo anawakilisha UDOM?

Vyuo vingine!!! yaani hapa hili gazete haliwezi kufunguliwa mashitaka na CHUO? au chuo (uongozi na msemaji wa chuo) wanaipenda hii??

SOMA HAPA CHINI ni habari ya nipashe trh 21/11
UDOM yaitaka Chadema kuomba radhi

Na Sharon Sauwa

21st November 2010

email.png

B-pepe

printer.png

Chapa

comment_bubble.png

Maoni

Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma, wamewataka wabunge wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), kufikiria upya msimamo wao wa kutomtambua Rais Jakaya Kikwete, ili kulinda maslahi ya wapigakura wao.
Kauli hiyo ilitolewa na wanafunzi wa vyuo vikuu mjini hapa jana wakati wakizungumza na waandishi wa habari kuhusiana wabunge hao kususia hotuba ya Rais.
Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi wenzake wa vyuo vya Mipango, St. John, CBE, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Thobias Richard, alidai kuwa lengo la wabunge hao ni kutaka kuhamisha wananchi katika ajenda ya msingi ya maendeleo na kubaki kwenye malumbano ya kisiasa.
Richard ambaye ni mwanafunzi wa UDOM, alisema kitendo hicho ni kinyume na matarajio ya wapiga kura waliowachagua wabunge hao.
“Kama hawamtambui Rais maana yake hawana kazi ya kufanya ndani ya Bunge kwani kazi yao kubwa ni kuishauri na kuisimamia serikali sasa kama hawatambui serikali hiyo hawana sababu ya kuendelea kuwepo bungeni,” alisema.
Aliwataka wabunge hao kutafakari upya kama kweli wanataka kuwawakilisha bungeni wananchi.
Aliwataka wawaombe radhi Watanzania kwa kuvuruga taswira safi ya Bunge lisilo na ubaguzi na itikadi za kisiasa. Alisema kwa kutowaomba radhi wananchi ni kuwadharau Watanzania waliowachagua wakidhani kwamba ni waadilifu kwa taifa na sio chama chao.
Wabunge wa Chadema, walitoka nje ya ukumbi wa Bunge, Ijumaa wiki iliyopita, lengo likiwa ni kuonyesha kuwa hawamtambui Rais Kikwete

Hivi UDOM ni mali ya CCM? Inashangaza wasomi wa UDOM wanaongea pumba! Kwa hii staili hatutafika!
 
Tatizo hapo ni kwa mwandishi na mhariri wake. Huwezi kuongea na vibaka wawili watatu na kutangaza kuwa huo ndio msimamo wa UDOM. This is very unfortunate! Lakini ndio tatizo la kuajiri waandishi wa habari wasio na upeo kama huyo Sharon Sauwa.
 
Jamani walotoa kauli hii ni vijana wapuuzipuuzi fulani tu ambao ni wanaccm. Hawana haki ya kuiongelea chadema kwani wapo vijana wengi tu wa chadema katika vyuo vya dodoma.
 
Hiyo elimu yao ya chuo kikuu haijawasaidia hao jamaaa Ni afadhali warudi shule za kata. Naomba jamaaa yangu KATAMA WA MUNJEBWE asiwemo kati ya waungaji mkono wa hao CCM. thanks JF members
 
hatuna namna ya kuwasaidia ndugu zetu wa udom kwani nyie ni tawi la chama tawala na huenda wakati twatangaza mgomo wa vyuo vyote mlitupinga sisi hadi rais wenu akajitoa kwenye shirikisho na sisi tukaitwa wahuni udsm,sauti,aridhi lakini sina cha kukulaumu wala kuwasaidia mtakua watumwa kila siku na hamuwezi kamwe kujinasua hapo poleni
 
Huyu mwandishi ni Mshabiki. Hawezi kuongea mpuuzi aliyepo Chuo kikuu cha kata ukawaweka na st John na mipango. Huyo aloongea naye ana nafasi gani katika USRC za Mipango na st John hata aseme aliongea kwa niaba ya wanafunzi wa vyuo hivyo? Hivyo vikao vya USRC vilikaa lini na kutoa matamko?

Ushauri wa bure kwa waandishi wa habari na najua wengi mko humu jamvini ni kuwa kabla ya kuandika habari jua kwanza utaratibu wa unachokiandikia. Kila uongozi wa wanafunzi una utaratibu wa kutoa matamko na kuna wasemaji wanaotoa matamko baada ya tamko kukubalika na wanafunzi wote au uongozi wa wanafunzi (USRC). Hata ukiangalia hao CCM wanaowatumia nao lazima wakae kikao kutoa matamko na mzee wa manyoni anawaita anawaambia uamuzi na msimamo wetu kichama ni huu. baada ya hapo mnakunywa soda na bahasha ndo mnaenda kunakili karatasi alowapa.

Sasa iweje ukutane na wahuni mtaani wanaongea wanavyofikiri wao unaandika ni msimamo wa wanafunzi? Na wewe mhariri mbona hukumuuliza huyu uloongea naye ni wa UDOM, ana uhusiano gani na mipango na st John USRCs. Au nawe makamba alikuona?
 
UDOM wamejishusha hadhi kabisa walitakiwa watowe maoni yenye ufundi wa kisomi katika siasa sio kufikia maamuzi ya kuwataka CDM wawaombe radhi wananchi ila naona sasa ujumbe waliotaka ufike umeshafika manake naona CCM na mtawala wamepanic manake kila taasisi sasa dini ,habari vyuo wanasiasa wakongwe wanasheria kila mtu anatafutwa ili awapinge chadema nzuri sana ,hebu bomoeni lingine tuwe na national debate
 
ingekuwa ni mwehu mmoja wa UDSM alotoa huo upupu akijifanya ni msimamo wa UDSM nafikiri wanafunzi wa UDSM wangemtia vidole VYA MACHO mchana kweupe na lingetoka tamko lingine zito la kulaani huo upupu kupitia uongozi wa wanafunzi wa chuo au uongozi wa chuo, kwa UDOM hata km huo upupu umetolewa na mwehu mmoja bado nao wameukubali maana hakuna hata mmoja alojitokeza kuukataa.
 
Tuache kupoteza muda kuzunguzi maneno ya mlevi mropokaji.kwanza alikua bar anatuma funds za walipa kodi kulew.Lakini nikawaida ya sisiemu kupitia heriziwani kuhonga viongozi wa vyuo ili waropoke kama Huyo mlevi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom