UDOM wataka wabunge wa CHADEMA WAOMBE RADHI!!

juzi tuliambiwa kuwa hicho ni chuo cha kata...
So acha waropoke kisha watakwenda kunywa Banana wine na watalala
 
Mimi sitaamini mapaka nithibitishiwe kwamba ni serikali ya wanachuo ndiyo wametoa taarifa hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Vinginevyo mbinu za ni genge la mafisadi katika jitihada za kutafuta jinsi ya ku-confuse jamii ili mipango yao ipite!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Safari hii ni mapambano tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom