UDOM: Tangazo la kuitwa kwenye usaili (Assistant accountant & Accounts Assistant) Tarehe 10-02-2018

Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
3,346
4,614
Chuo Kikuu cha Dodoma kinawakaribisha waombaji wa nafasi za kazi za Mhasibu Msaidizi (assistant Accountant) na Karani wa Mahesabu (accounts Assistant) kuhudhuria usaili wa kuandika utakaofanyika siku ya Jumamosi, tarehe 10 Februari, 2018 kuanzia saa mbili asubuhi. Usaili huu utafanyika katika ukumbi wa mihadhara wa Chuo cha Biashara na Sheria (CBSL_CT 3). Wasailiwa walioorodheshwa hapa chini wanahimizwa kuwahi ili kukamilisha taratibu za usajili kabla ya usaili.

Pakua nyaraka ya hapo chini kuona orodha ya waliofanikiwa kuitwa kwa ajili ya usaili

 

Attachments

  • majina ya walio fanikiwa kuitwa kwenye usaili wa UDOM.pdf
    471.2 KB · Views: 185
Hizi nafasi zimeshatangazwa toka mwaka jana... Hawajawapata tu au ndo kuaumbua watu.... Wakat wanawatu waooo
 
Back
Top Bottom