UDOM sasa yarudisha heshima ya mwanafunzi wa chuo kikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM sasa yarudisha heshima ya mwanafunzi wa chuo kikuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TUNTEMEKE, May 29, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Katika hali isiyo ya kawaida kwa wanafunzi wetu wengi wa vyuo vikuu vya Tanzania, ambao hupenda kujiweka mbali na shughuli za kijamii, wanafunzi wa Chuo Kikuu DODOMA, leo wanaongoza matembezi ya kutokomeza njaa kwa watoto mashuleni.

  Matembezi ndio yanaanza saa mbili kamil asubuh hii, wanafunzi wa UDOM wamechanga zaid ya laki sita kwa watoto.
   
 2. Quicklime

  Quicklime Senior Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Saaafi sana! Wote tukiungana tunaweza....
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ok gud. Ila kama heshima ya chuo kikuu ni kufanya charity walks,nachelea kusema itafanya kazi ya charitable association. Ila kuisaidia jamii ni jambo jema,all the best.
   
 4. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Watoto laki 6, fedha za JK kuchukua fomu ya Urais milimpa Milioni 1..
  Hapo haijakaa sawa.
   
 5. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Kweli we mpenda pombe!..
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wanachangia kutokomeza njaa ihali wao wana njaa? Hapo Udom wengi wao kupata milo mitatu ni shughuli, sijawaelewa.
   
 7. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  bora hilo kuliko yale maandamano ya Tundu na Lema yanayowapelekea kuonekana kama genge la wahuni na siwasomi. waendelee ivo ivo watatoka wasomi kwa kujihusisha na mambo ya kijamii zaidi.
   
Loading...