UDOM na U-CCM

suamakona

Member
Oct 31, 2010
12
1
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!!
Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya mitazamo na itikadi za wanachuo zipo tofauti. Kila chuo kuna wana CCM, CHADEMA au chama chochote cha siasa.
NAJIVUNIA KUWA MWANAFUNZI WA UDOM nimezipokea changamoto na kuzikabili.
 
UDOM VILAZA mnakubali kusaliti nchi yenu kwa sababu ya UCCM
MUngu atawaukumu na elimu yenu ya kuwapika kama chapati
 
Ni kweli kuwa huwezi kukuta chuo chote ni washabiki wa CCM lakini kuna suala la uwingi au nguvu ya CCM. UDOM huenda kwa sababu ya influence ya serikali au wanafunzi wenyewe kujipendekeza CCM imekuwa ikipigiwa debe "kijinga." Wanachuo huwa wana ka ugonjwa ka kusema, "Ah, sa mi peke yangu ntabadili nini? Acha niwaunge tu mkono." Hawa ndo wasomi wetu. Mi Nadhani Mkuu usiishie kuwa proud kusoma UDOM tu, bali kuwa proud na yale uyafanyayo hapo na kwa nchi yako, suala la kusoma UDOM ni dogo sana kwa masikini wa Tanzania.
 
One may be surprised if you deny that of all the higher learning institutions UDOM is the only one with which CCM is happy with! Taratibu wanafunzi watajua watakapotambua kwamba kusoma hapo si privilege ya ccm bali ni haki yao inayotokana na kodi za watanzania walipa kodi na si wale wakwepa kodi walojazana kwenye green party!
 
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!!
Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya mitazamo na itikadi za wanachuo zipo tofauti. Kila chuo kuna wana CCM, CHADEMA au chama chochote cha siasa.
NAJIVUNIA KUWA MWANAFUNZI WA UDOM nimezipokea changamoto na kuzikabili.

Kumbe na ww ni miongoni mwa wasomi wasiojali taifa lao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Pole sana Kada!
 
One may be surprised if you deny that of all the higher learning institutions UDOM is the only one with which CCM is happy with! Taratibu wanafunzi watajua watakapotambua kwamba kusoma hapo si privilege ya ccm bali ni haki yao inayotokana na kodi za watanzania walipa kodi na si wale wakwepa kodi walojazana kwenye green party!

Good Comment, huyu kijana bado hajajitambua kama msomi na am doubting kama yupo Udom kihalali au kaforge!!!!!!!
 
vipi shida ya maji wamerekebisha? Endeeni tu kufungua matawi hata mabwenini sawa tu!
 
Wakigoma alafu wakafukuzwa watakwenda wapi? Hawana qualifications za kujiunga na vyuo vingine zaidi ya UDOM ndio maana inawabidi wainyenyekee icho chama kama Mungu mtu! Nimepoteza muda wangu kuisoma hii thread toka kwa mwanaUDOM(suamakona)!
 
udom vilaza mnakubali kusaliti nchi yenu kwa sababu ya uccm
mungu atawaukumu na elimu yenu ya kuwapika kama chapati

heeeeeeeeeeeey..!! Give me a break!!
Mimi naona wadau msi conclude kuwa kila anaye / aliye soma pale ana "uccm", kama unafuatilia mambo utaona kuwa tunao vijana kadhaa ambao wamemaliza udom mwaka huu ambao wamegombea nafasi za ubunge na udiwani kwa tiketi ya chadema (people's power) na wengine wameshinda (namjua diwani mmoja).

Sasa hao nao unawaweka katika kundi gani?? Kuwepo kwa mkapa na bilal kusifanye tuone wanafunzi wa pale wote ni wa ccm.

Nawasilisha.
 
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!! Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya mitazamo na itikadi za wanachuo zipo tofauti. Kila chuo kuna wana CCM, CHADEMA au chama chochote cha siasa. NAJIVUNIA KUWA MWANAFUNZI WA UDOM nimezipokea changamoto na kuzikabili.
Tatizo nini sasa
 
UDOM ni tawi dogo la CCM , dem wangu yupo UDOM yani ameathiliwa na ccm utazani wanasomeshwa bureee
 
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!!
Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya mitazamo na itikadi za wanachuo zipo tofauti. Kila chuo kuna wana CCM, CHADEMA au chama chochote cha siasa.
NAJIVUNIA KUWA MWANAFUNZI WA UDOM nimezipokea changamoto na kuzikabili.

Acha unafiki,kuna rafiki yangu na ndugu zangu wanasoma hapo na wanasema kama uko against na ccm basi utaona chuo kilivo kichungu
 
Chuo Cha Kata unatarajia nini? Si kinakuwa na hadhi ya k-i CCM? Wanachakachuliwa, wakiingia kweny system rushwa kwenda mbele.....Fisadis in making.
 
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!!
Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya mitazamo na itikadi za wanachuo zipo tofauti. Kila chuo kuna wana CCM, CHADEMA au chama chochote cha siasa.
NAJIVUNIA KUWA MWANAFUNZI WA UDOM nimezipokea changamoto na kuzikabili.

Chuo Kikuu ni sawa na msikiti au kanisa. Ni mali ya Umma japo serikali inaadminister cash flow ili kuviendesha. Chuo kikuu hakipaswi kuwa na mrengo wo wote wa kisiasa kama kilivyo UDOM. Ukiulizwa kwa mfano Oxford au Cambridge ni ya chama gani uingereza au Havard etc utaweza kujibu? na ukiulizwa UDOM utasema ni ya CCM bila kusita.

University inapaswa kuwa neural point, think tank ya taifa. Mahali ambapo watu wanaweza kwenda kwa ushauri kuresolve conflicts lakini UDOM kinaanza kujipambanua kuwa hopelass think tank, kinachoweza kutamka chochote as long as ni cha CCM bila kuanalyse umuhimu wake katika jamii.

Enzi za Idd Amin Dada wengi wenu hapo UDOM mngepigwa misumari vichwani.

UDOM Students mmeanza kujionyesha kuwa hopeless kuliko hata kindergaten pupils
 
Chadema ina kazi ya ziada kutoa elimu ya demokrasia kwa wanachama, wafuasi, wapenzi, na washabiki wao. Upeo wao wa kupambanua mambo ni mdogo mno. Vinginevyo tutathibitisha kauli ya member mmoja mkongwe ' viongozi ni reflection ya wananchi wao'
 
huna maana ww unayesoma jangwani what iz UDOM kwanza umeshasikia mhadhiri yeyote wa UDOM kaulizwa kuhusu maoni ya uchaguzi?
 
Tena nasikia adi waalimu wa shule ya msingi na wao ni ma university lecturer apo UDOM wengi wao waliingizwa apo kwa shinikizo la mke wa mkwere kiujanja ujanja, wee unategegemea nini apo?
 
Kama mnaifatilia UDOM,kuna kpnd Makamu Mkuu wao Prof.Kikula amewahi kukanusha baada kuhusishwa na udini!Msiniulize dini?Udom wanajua.Kuhusu UCCM vile vizimamoto vinajipendekeza mpaka vinakera na kutukanisha wasomi wa ukweli.Vinatamani ubini wao uwe CCM.Vil4nkera zaidi hasa pale vlpomchagia Jk mchango wa kuchukua fomu wakati maskn vinapga deshi!Mungu wangu!Na vkaropoka eti awe mgombea pekee!Mgombea pekee!
 
Back
Top Bottom