suamakona
Member
- Oct 31, 2010
- 12
- 1
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!!
Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya mitazamo na itikadi za wanachuo zipo tofauti. Kila chuo kuna wana CCM, CHADEMA au chama chochote cha siasa.
NAJIVUNIA KUWA MWANAFUNZI WA UDOM nimezipokea changamoto na kuzikabili.