dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,120
- 49,368
... "kila chuo kina utaratibu wake"; hicho ndio kiini cha tatizo!Kila chuo kina utaratibu wake, kama mwanafunzi ametimiza matakwa ya utaratibu huo anapewa degree yake.
... "kila chuo kina utaratibu wake"; hicho ndio kiini cha tatizo!Kila chuo kina utaratibu wake, kama mwanafunzi ametimiza matakwa ya utaratibu huo anapewa degree yake.
duh!!! Sioni umuhimu wa elimu hapa TZ, nawahurumia vijana walioteseka kusoma kindagaten mpaka chuo kikuu bila kazi, huku wakiteseka mitaani bila kulipwa fidia ya muda waliopoteza darasani na gharama walizotumia kusomea.Walioanza siyo tu UDOM, ni UDSM na OUT. SUA sijawahi kuwasikia wakitoa digrii za kisiasa kwa wanasiasa. Kwa ufupi wanasiasa wanaharibu elimu ya nchi hii kwa kushirikiana na viongozi wa vyuo ambao wanapewa kuviongoza kisiasa. Cheo cha Vice Chancellor (VC) ni muhimu sana ktk uongozi wa chuo cha kitaaluma, bahati mbaya nafasi hiyo sasa wanapewa kutokana na uhusiano wao na wanasiasa. Hii ni kwa vyuo vyote vya serikali; ARDHI, UDSM, SUA, MUHAS, NM-AIST, Mzumbe pamoja na colleges zote! Nasema zote! Watu wanateuliwa hata bila uwezo na kupewa kwa sababu ya kupendana na wanasiasa. wengine hata uhusiano wao na wananchi mitaani ni kama 'wahuni' anaowasma ndg. Polepole. Cheo cha juu ni Chancellor ambacho pia kinashikiliwa na wanasiasa kwa vyuo vyote;
UD - Jakaya Kikwete
SUA - Sinde Warioba
Mzumbe -Mohammed Shein
MUHAS -Ali Hassan Mwinyi
ARDHI -Cleopa Msuya, sasa ni Othman Chande
Sasa wanasiasa wantaka PhD! Vyuo vinawasaidia kwa nguvu zote ili wapate Ph.D. Bahati mbaya sana UDOM imekuwa ni kinara wa kutoa digrii hizi. Nini Sababu kubwa?
Maoni yangu ni kwamba UDOM imekuwa ni chuo cha kufurahisha wanasiasa badala ya taaluma. UDOM ilianza vibaya na sasa inaendelea vibaya. ilianza na viongozi kutoka UD, waliokuwa wameshindikana kuishi na wenzao kijamii, wakapewa nafasi kirafiki, kisiasa. Hata wanafunzi wa digrii ya kwanza wanafundishwa kwa ubora wa matatizo tu, halafu tunashangaa kusikia wakiwa bize na ngono na waalimu wao. Kwa Ph.D Wanakiuka hata sheraia zao za ki-taaluma.
Jafo na Biteko wamepewa Ph.D bila kutimiza vigezo vya kitaaluma. Hawajafanya tafiti za kuwawezesha kupata Ph.D. pia hawajatoa machapisho kutokana na tafiti zao kama zilivyo taratibu za chuo. Mbaya zaidi, Ph.D zao zimeandikwa na wanataaluma hao hao wanaotakiwa kuwasimamia na wataandika machapisho kwamba ni ya wanafunzi wao wanasiasa, kumbe ni wao wenyewe waalimu. Hii ni aibu ya kitaaluma na ni aibu ya kisiasa.
Mwanasiasa gani akasome SUA? Yaani aisha Dodoma akasome SUA?SUA huwa wako strictly na huwa hawajipendekezi kwa wanasiasa ma orof wamejikita kwenye kuandika miradi na tafiti so hawana njaa ya kujipendekeza kwa wanasiasa Ili wateuliwa, Mimi mwanasiasa aki graduate SUA, nitaamini hyo PhD yake
Jibu ni ndio na hapana. Utaratibu wa chuo lazima uendane na matakwa na vigezo vinavyowekwa na tume ya vyuo vikuu (TCU).... "kila chuo kina utaratibu wake"; hicho ndio kiini cha tatizo!
Hiyo ndio CCM ya Magufuli na SamiaWalioanza siyo tu UDOM, ni UDSM na OUT. SUA sijawahi kuwasikia wakitoa digrii za kisiasa kwa wanasiasa. Kwa ufupi wanasiasa wanaharibu elimu ya nchi hii kwa kushirikiana na viongozi wa vyuo ambao wanapewa kuviongoza kisiasa. Cheo cha Vice Chancellor (VC) ni muhimu sana ktk uongozi wa chuo cha kitaaluma, bahati mbaya nafasi hiyo sasa wanapewa kutokana na uhusiano wao na wanasiasa. Hii ni kwa vyuo vyote vya serikali; ARDHI, UDSM, SUA, MUHAS, NM-AIST, Mzumbe pamoja na colleges zote! Nasema zote! Watu wanateuliwa hata bila uwezo na kupewa kwa sababu ya kupendana na wanasiasa. wengine hata uhusiano wao na wananchi mitaani ni kama 'wahuni' anaowasma ndg. Polepole. Cheo cha juu ni Chancellor ambacho pia kinashikiliwa na wanasiasa kwa vyuo vyote;
UD - Jakaya Kikwete
SUA - Sinde Warioba
Mzumbe -Mohammed Shein
MUHAS -Ali Hassan Mwinyi
ARDHI -Cleopa Msuya, sasa ni Othman Chande
Sasa wanasiasa wantaka PhD! Vyuo vinawasaidia kwa nguvu zote ili wapate Ph.D. Bahati mbaya sana UDOM imekuwa ni kinara wa kutoa digrii hizi. Nini Sababu kubwa?
Maoni yangu ni kwamba UDOM imekuwa ni chuo cha kufurahisha wanasiasa badala ya taaluma. UDOM ilianza vibaya na sasa inaendelea vibaya. ilianza na viongozi kutoka UD, waliokuwa wameshindikana kuishi na wenzao kijamii, wakapewa nafasi kirafiki, kisiasa. Hata wanafunzi wa digrii ya kwanza wanafundishwa kwa ubora wa matatizo tu, halafu tunashangaa kusikia wakiwa bize na ngono na waalimu wao. Kwa Ph.D Wanakiuka hata sheraia zao za ki-taaluma.
Jafo na Biteko wamepewa Ph.D bila kutimiza vigezo vya kitaaluma. Hawajafanya tafiti za kuwawezesha kupata Ph.D. pia hawajatoa machapisho kutokana na tafiti zao kama zilivyo taratibu za chuo. Mbaya zaidi, Ph.D zao zimeandikwa na wanataaluma hao hao wanaotakiwa kuwasimamia na wataandika machapisho kwamba ni ya wanafunzi wao wanasiasa, kumbe ni wao wenyewe waalimu. Hii ni aibu ya kitaaluma na ni aibu ya kisiasa.
Na ndio hoja ya Prof. Mwandosya; vigezo vimebadilika siku hizi?Jibu ni ndio na hapana. Utaratibu wa chuo lazima uendane na matakwa na vigezo vinavyowekwa na tume ya vyuo vikuu (TCU).
Hahaaa, eti alikuwa evening classesSio PHD tu hadi master wanapewa kuna jamaa alisomaga hapo alishangaa siku ya graduation eti wapo na simbachawene naye amegraduate wakati hakuwahi kumuona hata siku moja class.
Akawauliza jamaa wa evening program wakasema hawajawahi kumuona.
Wakati huo simbachawene naibu waziri wa nishati muda mwingi alikuwa dsm
Biteko na Jaffo kutwa wako kwenye kazi za uwaziri, na kwa kipindi cha Mwendazake wizara zao(madini na TAMISEMI) pamoja na ya Nishati zilikuwa ndiyo mawaziri wako "on the move 24/7". Wanapata wapi muda wa kufanya utafiti chini ya Magufuli?Walioanza siyo tu UDOM, ni UDSM na OUT. SUA sijawahi kuwasikia wakitoa digrii za kisiasa kwa wanasiasa. Kwa ufupi wanasiasa wanaharibu elimu ya nchi hii kwa kushirikiana na viongozi wa vyuo ambao wanapewa kuviongoza kisiasa. Cheo cha Vice Chancellor (VC) ni muhimu sana ktk uongozi wa chuo cha kitaaluma, bahati mbaya nafasi hiyo sasa wanapewa kutokana na uhusiano wao na wanasiasa. Hii ni kwa vyuo vyote vya serikali; ARDHI, UDSM, SUA, MUHAS, NM-AIST, Mzumbe pamoja na colleges zote! Nasema zote! Watu wanateuliwa hata bila uwezo na kupewa kwa sababu ya kupendana na wanasiasa. wengine hata uhusiano wao na wananchi mitaani ni kama 'wahuni' anaowasma ndg. Polepole. Cheo cha juu ni Chancellor ambacho pia kinashikiliwa na wanasiasa kwa vyuo vyote;
UD - Jakaya Kikwete
SUA - Sinde Warioba
Mzumbe -Mohammed Shein
MUHAS -Ali Hassan Mwinyi
ARDHI -Cleopa Msuya, sasa ni Othman Chande
Sasa wanasiasa wantaka PhD! Vyuo vinawasaidia kwa nguvu zote ili wapate Ph.D. Bahati mbaya sana UDOM imekuwa ni kinara wa kutoa digrii hizi. Nini Sababu kubwa?
Maoni yangu ni kwamba UDOM imekuwa ni chuo cha kufurahisha wanasiasa badala ya taaluma. UDOM ilianza vibaya na sasa inaendelea vibaya. ilianza na viongozi kutoka UD, waliokuwa wameshindikana kuishi na wenzao kijamii, wakapewa nafasi kirafiki, kisiasa. Hata wanafunzi wa digrii ya kwanza wanafundishwa kwa ubora wa matatizo tu, halafu tunashangaa kusikia wakiwa bize na ngono na waalimu wao. Kwa Ph.D Wanakiuka hata sheraia zao za ki-taaluma.
Jafo na Biteko wamepewa Ph.D bila kutimiza vigezo vya kitaaluma. Hawajafanya tafiti za kuwawezesha kupata Ph.D. pia hawajatoa machapisho kutokana na tafiti zao kama zilivyo taratibu za chuo. Mbaya zaidi, Ph.D zao zimeandikwa na wanataaluma hao hao wanaotakiwa kuwasimamia na wataandika machapisho kwamba ni ya wanafunzi wao wanasiasa, kumbe ni wao wenyewe waalimu. Hii ni aibu ya kitaaluma na ni aibu ya kisiasa.
Hata muhas..hakuna huu upuuzi..ila vyuo vya vilaza udsm na udom njaa tupu.SUA huwa wako strictly na huwa hawajipendekezi kwa wanasiasa ma orof wamejikita kwenye kuandika miradi na tafiti so hawana njaa ya kujipendekeza kwa wanasiasa Ili wateuliwa, Mimi mwanasiasa aki graduate SUA, nitaamini hyo PhD yake
Ndiyo maana mleta mada kasema kila kitu ni siasa,na bahati mbaya vijana wengi hawataki kufuatilia siasa.Hivi jamani hawa wastaafu huwa hawachoki? Sinde Warioba, Cleopa Msuya JK na wengine, kwa nini msikatae hizo nafasi? Kwani hakuna maprofesa waliostaafu toka vyuoni kama kina Mwandosya, na wengine wakapewa hizo nafasi jamani?? Wanasiasa hawa sijui kama wanasaidia hivi vyuo sana
I agree wako very strict.SUA huwa wako strictly na huwa hawajipendekezi kwa wanasiasa ma orof wamejikita kwenye kuandika miradi na tafiti so hawana njaa ya kujipendekeza kwa wanasiasa Ili wateuliwa, Mimi mwanasiasa aki graduate SUA, nitaamini hyo PhD yake