UDOM na Chuo cha Mipango hofu tupu: mishahara ya wahadhiri hadi leo hakuna! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM na Chuo cha Mipango hofu tupu: mishahara ya wahadhiri hadi leo hakuna!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ndyoko, Dec 28, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Pamoja na serikali kujitamba kwamba ni chuo kikubwa ktk ukanda afrika mashariki na kati, hadi leo wahadhiri wa chuo kikuu cha dodoma hawajalipwa mishahara yao ya mwezi disemba. Na hakuna dalili kwamba watalipwa hvi karibuni kwani serikali imewaambia haina hela ya kufanya hivyo kwa sasa.

  Hebu tujiulize wakuu, inaingia akilini kweli kwa serikali kushndwa kuwalipa watumishi wa taasisi yake ya elimu ya juu wakati walitoa ahadi kuwa mpaka ifikapo tar 25 kila mwezi watumishi wawe wamelipwa? Ni heri wangekuwa wazi kwa wahadhiri hawa maana isije ikatokea yale ya walimu wa sekondari ambao waliamua hasira zao kumalizia ktk kufundisha kiushikaji na matokeo yake si wote tuliyaona ktk mitihani uya form 4 mwaka jana.

  Kituko ni kwamba serikali imewaambia walimu wa chuo cha mipango dodoma wavumilie kwani serikali haina hela hivyo huenda mshahara wao wa mwezi huu wa disemba ukatoka kuanzia tar 7 januari mwakani.

  Kanchi kanakwisha haka.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wasubiri JK aende kwa Cameroon akapewe msaada ndipo walipwe!
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hata UDSM nao hakijaeleweka hadi sasa wanapiga miayo tu, muamala hausomeki!
   
 4. o

  othorong'ong'o Senior Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  kwani tarehe 30 umeshafika au mnataka mlipwe kabla mwezi haujisha?
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mkuu unazo timamu au umeazima?
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  walishamalizana na jamaa wa primary, wakaja sekondari, wakaja vyuo vya veta sasa wameamua kutikisa kiberiti vyuo vikuu. wakishafanikiwa huko basi ndo itakuwa kama 'the beginning of the end' of the collapse of country's education system
   
 7. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,576
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  What? Mtaani kwetu tusi kubwa sana hili!! Yani aende kwa muasisi wa ushoga? akafanye/afanywe nini?
   
 8. Non stop

  Non stop Senior Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Serikali ya CCM imeishiwa sera nani asiyejua kwani.?.
  Full kufulia..
   
 9. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  MUCCOBS pia bado. Malekchara wanatoa macho tu..
   
 10. M

  MaMkwe JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acheni majungu kani kasema UDOM wanalipwa kuanzia Januari? Hawa wasomi wa UDOM wanashangaza kabisa. Wenyewe wamesaini barua zinazosema kuwa mishahara inalipwa siku ya mwisho wa kila mwezi. Wasubiri kesho kama hawatalipwa walalamike na sio kuleta majungu hapa. Asiyeelewa aende akasome tena mkataba wake wa ajira. Mnataka walipwe siku wasizozifanyia kazi?  Je mnajua marupurupu wanayopata wafanyakazi (T/A) wa UDOM ?

  1. Ma T/A wa UDOM wanapewa sehemu za kuishi, tena bure bureshi, je UDSM, Mzumbe, SUA wanapewa?

  2. Wanapewa usafiri kila siku kwenda na kurudi kazini, je nyie wa UDSM, Mzumbe, SUA na kwingineko mnapewa?

  3. Wanalipiwa mikopo waliyokopa kusoma Masters Degree, je nyie wa UDSM, Mzumbe, SUA na kwingineko mnalipiwa

  4. Wamedhaminiwa kupata mikopo Benki wengine wamenunua magari yanawapindua kila uchao

  Maprofesa mliotangulia, enzi zenu haya yalikuwepo? Prof. Baregu, Shivji na wengine ebu tuambieni

  .
   
 11. g

  gojali New Member

  #11
  Jan 1, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S 465::A S 465:kwanini wanazungumziwa wafanyakazi tu mbona wanafunzi hajapata bum wiki ya tatu sasa tangu walipotakiwa kupewa?
  naomba wafikiriwe wanafunzi kwanza manake gpa hazisomi kabisa na zitazidi kua mbaya kwa hali hii:A S 465::A S 465:.
   
Loading...