UDOM: Mahakama yaweka pingamizi kufukuzwa wanafunzi waliodhaniwa ni wafuasi wa CHADEMA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM: Mahakama yaweka pingamizi kufukuzwa wanafunzi waliodhaniwa ni wafuasi wa CHADEMA!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bushman, Apr 4, 2012.

 1. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  [FONT=&quot]Mwishoni mwa wiki iliyopita Uongozi wa chuo iliwakamata wanafunzi wakiwa kwenye daladala ya ABIRIA pamoja na abiria wengine,wakaamulu gari liludi mpaka jengo kuu la utawala na kuanza kuwasachi wanafunzi hao wakakuta SKAFU za CHADEMA kwenye bahasha,wakanyang'anya vitambulisho vya chuo na kuwapiga picha kama MATEKA au WAHAINI na kuamuru wasimamishwe masomo kwa muda usiojulikana,Vijana wakapokea barua kwa masikitiko makubwa sana kwani walikuwa kwenye DALADALA kama abiria,hawakukodi basi kama wafuasi wa CHADEMA wengine walikuwa wanakwenda mjini kwenye mambo yao binafsi,wengine ni viongozi wa vikundi vya dini walikuwa wanakwenda kwenye mikutano yao,wengine hawajawahi kuwa wanachama hata wa CCM,WOTE WAKASIMAMISHWA.MY TAKE,HIVI MTU ALIYEPANDA DALADALA ANAKWENDA KUFANYA SIASA NJE YA CHUO ANAFANYA KOSA?2.KUWA MWANACHAMA WA CHADEMA UDOM NI UHAINI?3.KIGEZO GANI KILITUMIKA KUWAFUKUZA WANAFUNZI HAO WAKATI WAMEPANDA GARI YA ABIRIA?4.NAPE AMEKUJA MARA NGAPI KUFANYA SIASA UDOM? MBONA MWAKA 2010 WAKATI WA KAMPENI ZA URAIS MAGARI YALITUMIKA KUBEBA WAFANYAKAZI KUWAPELEKA KWENYE KAMPENI ZA CCM/JK?VIJANA WAMEINGIA MAHAKAMANI KUOMBA COURT INJUCTION /ZUIO JUU YA UTEKELEZWAJI WA KUSIMAMISHWA MASOMO KWA MUDA USIOJULIKANA NA MAHAKAMA IMERIDHIA NA KUAMURU CHUO KIWARUDISHE CHUO MARA MOJA,VIJANA WAMEAANZA KURUDI CHUONI,INAKUWAJE UNAWASIMAMISHA WATU KWA VILE WAMEPANDA DALADALA NA MTU MMOJA TU AMBAYE ALIKUWA NA SKAFU YA CHADEMA?NA WALIKUWA WANATOKA NJE YA CHUO?TUKIANZA KUBAGUANA HIVYO KWENYE TASISI ZA UMA TUTAFIKA?MBONA LILE SANAMU LA CCM PALE CHIMWAGA UDOM HALIONDOLEWI KAMA KUKUTWA NA NEMBO YA CDM NI KOSA?JE UONGOZI WA UDOM UNAUHAKIKA KUWA WANACHUO WOTE NA WAFANYAKAZI WA UDOM NI WAFUASI WA CCM?JE WANAFURAHISHWA NA UWEPO WA SANAMU YA CCM SEHEMU YA CHUO?WALE VIJANA WAMEPANDA DALADALA KITUONI KAMA ABIRIA MNAWASIMAMISHA MASOMO WAKATI HAWAKUKODI GARI WALA HAWAFANYI VITENDO VYA UHAMASISHAJI,NA WANATOKA NNJE YA CHUO PROF.MLACHA ANAWAKAMATA,POLISI WA KITUO CHA UDOM WAKO WAPI NA WANAFANYA KAZI GANI?HUU UONEVU HUU ATHARI ZAKE NI MBAYA JAMANI MACHONI PA JAMII,NAPE AMEKUJA MARA NGAPI UDOM KUFANYA SIASA MWAKA JANA ALIKUAJA KUKAGUA SEWERAGE SYSTEM COLLEGE YA SOCIAL SCIENCES NA VIONGOZI WA CCM UDOM MBONA WANAFUNZI WALE WA CCM HWAKUSIMAMISHWA MASOMO?MIAKA 35 YA UHURU MABASI YALIKUJA CAMPUS KUBEBA WANACHAMA WA CCM HAKUNA ALIYEFUKUZWA,SEMBUSE HAWA WALIKUWA WANATOKA NJE YA CHUO KUFANYA SHUGHULI BINAFSI WENGINE HATA HAWAJAWAHI KUFANYA SIASA WALIKUWA ABIRIA TU...
  [/FONT]
   
Loading...