UDOM: Mahakama yaweka pingamizi kufukuzwa wanafunzi waliodhaniwa ni wafuasi wa CHADEMA!

Ee Mungu kilinde kizazi hiki dhidi ya mbegu mbaya inayopandwa na CCM, akili za watanzania hasa vijana zikombolewe kutoka katika utumwa wa fikra za ccm.

Ee Mungu msaidie kila kijana na mwananchi yeyote wa tanzania aliye kijijini au mjini aweze kuelewa kuwa nchi yetu itadumu kuwa na amani hata pasipo uongozi wa ccm.

Amen.
 
Hivi Bongo huwa inaishi katika ulimwengu upi? Mambo yake ni ya kibongobongo kweli!!! Pamoja na kuwakuza vijana kiakademia, vyuo vikuu (katika maana halisi ya neno) po pote pale duniani ni vyuo vya kuwaandaa vijana kuwa responsible and productive members of a given society katika nyanja zote - kiuchumi, kisiasa, kijamii, nk. Ili kufanikisha hili, kwa mfano, katika nchi zilizoendelea vijana wa vyuo vikuu wanaruhusiwa kuwa na vyama kama vile xyz university democrats, xyz university republicans, xyz university socialists, nk. Haya makundi yanaruhusiwa kuweka meza katika maeneo yanayoruhusiwa kushawishi wanachama wapya au kupiga kampeni juu ya suala fulani - pia yanaweza kuwaalika viongozi wa vyama kuja kutoa mihadhara vyuoni, nk.. Makundi haya yanapata ruzuku kutoka katika serikali za wanafunzi. KINACHOFANYIKA NI KUWAANDAA VIJANA KUPATA TAJIRIBA YA KUFANYA SIASA ZA KUPINGANA (kimawazo & kiitikadi) BILA KUPIGANA. Sasa usipoanzia vyuoni kujenga utamaduni huu, utaanzia wapi?
Kwa mtindo wa kibongobongo ni kutaka kuwaaminisha vijana kuwa mwanachama wa chama zaidi ya CCM ni dhambi. Mintaarafu msimamo wa UDOM, chuo kinajipunguzia sifa ya kuwa CHUO KIKUU (katika maana halisi ya neno chuo kikuu)!!!!
 
Utawala wa udom unamifumo ccm na ufisadi.Huenda hofu yao ni kwamba huenda vuguvugu la cdm udom likapelekea Halmashauri ya Dodoma ikaangukia CDM 2015 kama Mwanza.Hivyo wanajaribu kuidhibiti sauti ya umma wa wanyonge.
mkuu hapo kwenye red ndo sababu ya yenyewe kwa hicho chuo kuwa kama seminari, binafsi nakubaliana na wewe nilikuwepo dodoma 2011, movement zilizokuwa zikiendelea ukweli zimewatisha magamba, ndo maana chuo hicho kwa sasa kinakadhania nidhamu na kuacha taaluma ikishuka. poleni wana udom
 
Tatizo la Wanafunzi wa UDOM inaonekana ni kuona kama JK amewafanyia fadhira kusoma chuo Kikuu. The way the see it ni kwamba bila UDOM wangekuwa mtaani. Je, wanaosoma UDOM ni mabaki ya UDSM, SUA, Mzumbe, IFM......???

acha ushoga wewe
 
Udom wameyataka wnyw si ndio waliomchangia jk form za urais...hawana maana!!!

Wakuu UDOM hawakumchangia JK ila kuna watu walipewa hizo pesa kutoka Fisadz family (Magamba) wakadanganya wanafunzi wa UDOM wamechanga ili kufanikisha uchukuliwaji wa Form kwa JK ila jamaa walilipwa ndo hicho kikundi kikafanya uhalifu huo.
 
Hivi Bongo huwa inaishi katika ulimwengu upi? Mambo yake ni ya kibongobongo kweli!!! Pamoja na kuwakuza vijana kiakademia, vyuo vikuu (katika maana halisi ya neno) po pote pale duniani ni vyuo vya kuwaandaa vijana kuwa responsible and productive members of a given society katika nyanja zote - kiuchumi, kisiasa, kijamii, nk. Ili kufanikisha hili, kwa mfano, katika nchi zilizoendelea vijana wa vyuo vikuu wanaruhusiwa kuwa na vyama kama vile xyz university democrats, xyz university republicans, xyz university socialists, nk. Haya makundi yanaruhusiwa kuweka meza katika maeneo yanayoruhusiwa kushawishi wanachama wapya au kupiga kampeni juu ya suala fulani - pia yanaweza kuwaalika viongozi wa vyama kuja kutoa mihadhara vyuoni, nk.. Makundi haya yanapata ruzuku kutoka katika serikali za wanafunzi. KINACHOFANYIKA NI KUWAANDAA VIJANA KUPATA TAJIRIBA YA KUFANYA SIASA ZA KUPINGANA (kimawazo & kiitikadi) BILA KUPIGANA. Sasa usipoanzia vyuoni kujenga utamaduni huu, utaanzia wapi?
Kwa mtindo wa kibongobongo ni kutaka kuwaaminisha vijana kuwa mwanachama wa chama zaidi ya CCM ni dhambi. Mintaarafu msimamo wa UDOM, chuo kinajipunguzia sifa ya kuwa CHUO KIKUU (katika maana halisi ya neno chuo kikuu)!!!!

Uko sawa kabisa mpiga zeze!,nakuunga mkono nyuzi zoTE 360
 
Udom wameyataka wnyw si ndio waliomchangia jk form za urais...hawana maana!!!

Ulaaniwe wewe duniani mpaka mbinguni. Chunga Adabu yako na Adabu ikuchunge, Huna A....bu ba..azi wewe.;
 
Habari za uhakika kuna wanafunzi kadhaa walichukuliwa na CCM kwenda kufanya kampeni Arumeru East. Hii si siasa katika vyuo? Inamaana CCM wana haki kuwatumia wanafunzi wao lakini vyama vingine ni uvunjaji wa sheria? Kuna tatizo hapa, kimtazamo wao wanaona kama wanakomesha upinzania lakini kwa mtazamo mpana wanaendelea kuwajenga na kuwapa nguvu zaidi.
 
Hapo sasa kama sio unyanyasaji,nini?UONGOZI WA CHUO UDOM UNAUWALAKINI MKUBWA KATIKA KUFANYA MAAMUZI YANAYOZINGATIA HAKI,HAWAKUTENDA HAKI KWA WANACHUO HAWA HASA KUWAPIGA PICHA KAMA WAHAINI KISA WANADHANIWA KUWA NI WAFUASI WA CHADEMA!!
 
Back
Top Bottom