Udom kumtunuku jk na kawawa

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,832
630
Mkuu wa chuo Prof Kikula kasema baada ya wajumbe 30 wa seneti kukaa wata watunuku shahada ya heshima ya uzamivu a.k.a udaktari mh JK na marehemu Kawawa katika mahafali ya kwanza ya UDOM tar 26 nov 2010.
Mpo??????????
 
Aaagh! Udom!aka Chuo Kikuu cha Kata, hata wakimpa u-profesa sawa tu, kumbe hapo UDOM waliochanganyikiwa sio wanafunzi tu, hata walimu wao vilevile tu.

Wanafunzi walianza na tamko last week, leo viongozi wa chuo chao wanatoa honorary PHD. anavyopenda misifa mheshimiwa mkwere basi atataka tumwite DOUBLE (PHD).
 
Kujipendekeza tu!!
Si mmwache akasome phd ili aipate ule wenyewe wenyewe.
 
Mkuu wa chuo Prof Kikula kasema baada ya wajumbe 30 wa seneti kukaa wata watunuku shahada ya heshima ya uzamivu a.k.a udaktari mh JK na marehemu Kawawa katika mahafali ya kwanza ya UDOM tar 26 nov 2010.
Mpo??????????
Kuna mchele ulimwagikaga kipindi fulani na hili jina lilikuwemo. Ni mwingine au huyuhuyu?
 
MH ATAZIDUA ADI ACHOKE ILA AJUI TU KMA WATU WAMEMCHOKA HIV MMEMUONA SURA ILIVYOMSHUKA SAIZ?:laugh::laugh:
 
Back
Top Bottom