bushman
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,411
- 743
Jengo kuu la utawala udom wafanyakazi wake wamekutwa na sintofahamu,baada ya chumvi ya kuweka kwenye mboga kumwagwa milangoni na kwenye makorridor huku kukiwekwa alama ya msalaba,haijulikani ni ushirikina au watu kujiimarisha kimadaraka.nina maswali mengi sana nimejiuliza kama ifuatavyo,,,,,,,,,
1.chumvi ya kuweka kwenye mboga inamwagwa ofisini ili iwe nini?
2.je udom ni tasisi ya elimu ya juu ambayo inaongozwa na proffessionalism au ushirikina?
3.nini hatma ya taasisi hii ya umma kwa siku zijazo?
Tujadili