UDOM Bado sana wakuu!!!! Hebu soma hii discussion facebook.

sikatai kwamba Udom hakuna changamoto kama ilivyo kwa institution yoyote tz, ila natilia sana shaka utashi na uwezo wa comparative analysis wa wachangiaji wengi wakiwepo wadau wa udom wanaokiponda chuo chao. kwa upande wa afya mtoto mdogo yupo katika hatari kubwa ya kushambuliwa na magonjwa kuliko mtu mzima, kwenye biashara kuna PRODUCT LIFE CYCLE so changamoto hutofautiana wakat bidhaa ikiwa kwenye introduction stage(sokoni) na wakati ikiwa kwenye maturity stage. Harvard University 2011 wametimiza miaka 375 na is among the best universities in the world and oldest university in US, UDSM oldest university tz imetimiza miaka 50(2011) ikiwa imeanzia kwenye jengo la chama cha TANU. Kama ukitrace back changamoto zilizopata vyuo hiv miaka 10 baada ya kuanzishwa utashangaa.Tuepuke kuwa na AVERAGE minds. CHANGAMOTO HUWA NI MTAJI WA MAFANIKIO.
 
Mwenye masikio, upo sawa kabisa mkuu!umefafanua vema sana, watu wanataka kwendekeza siasa za kijinga kwny mambo ambayo logicaly yanafwata lyf cycle system!
 
dogo leonard robert shule inakusumbua sana ndo mana huna data, una changamoto nyingi sana ulizo nazo mbele yako, komaa na shule kwanza huku kunaweza kukulostisha.
 
Chuo cha udom kweli kna chalenges bt sioni 7bu ya kukidiscredit kias hicho, hata udsm kilianza hvo!wachangiaj pia ni polticians ktk hli!mi npo udom,bt naona changamoto zpo kla mahali na wa2 wactegmee udom iwe ka harvad kwa mda mfupi!2subir afta 10-20 yrs!

Inaelekea unaumia sana kuona chuo chako kinapondwa kiasi hicho ila kumbuka swala utawala wa majuha pale UDOM ndio unaosababisha haya yote hata yakipewa miaka hiyo uliosema wewe ni kuwa hakuna cha mabadilize.Tatizo la kiongozi mwehu linatatuliwa kwa kumtoa na sio kumpa time range.
 
Chuo kimejaa matoto eti wanayaita ma tuitor yanatunga mitihani isiyofanyika hata ukigeuzwa kuwa assignment haujibiki ili yapate mademu Mkuu wa department mtoto anaongoza watoto wenzie we unafikili nin kitatengenezwa zaid ya utoto.
 
jaribu kupunguza jazba mkuu.
 
jaribu kupunguza jazba mkuu.

Sio jazba Mr Senetor kile chuo kina viongozi wa kuwekwa pale wewe ungeenda kusoma hiyo Bcom finance yako ungelia A/c au AF's na Calculation wanafundishwa kwenyu jumba fulan linaitwa chimwaga wanahadithiwa utafikili mfekane war au Scramble and partition for Afrika.Hakuna cha ubao wala projector UDOM is BULLSHIT kind of U'versity
 
duh!!kazi ipo hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom