Udiwani = manzese,tandale,kijitonyama kisiwani,mwanayamala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udiwani = manzese,tandale,kijitonyama kisiwani,mwanayamala

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Oct 31, 2010.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Manzese = Chadema - CCM Chali

  Tandale = CUF - Retained

  Kijitonyama Kisiwani = Chadema - Retained

  Mwananyamala = CUF - CCM Chali.

  Nimeongea na wakala wa Chadema Kijitonyama Kisiwani amenipa hiyo taharifa yupo njiani saa hizi kwenye saannne amenihaidi kunipa matokeo in figures.
   
 2. Joyum

  Joyum Senior Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fasta wasiliana nae tupate uhondo
   
 3. c

  chanai JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fuatilia haraka haraka jamani. Waanguke zaidi na zaidi hao sisiem
   
 4. M

  Malunde JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Asante kwa update, usingizi umekauka automatically, we are tuned, when you have the figures put them here.
   
 5. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hizo detail ni kizunguzungu kitupu
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Kizungu kivipi? nimempigia ansema bado yupo busy, ila atanipatia!
   
Loading...