Udiwani Majengo, rushwa nje nje!

Bhavick

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
314
57
Zikiwa zimebaki ck chache ufanyike uchaguzi wa diwani,chama cha mapinduzi CCM,kimekuwa kikigawa rushwa mchana kweupe,wamekuwa wakigawa pombe,khanga,vitambaa nk.
 
Zikiwa zimebaki ck chache ufanyike uchaguzi wa diwani,chama cha mapinduzi CCM,kimekuwa kikigawa rushwa mchana kweupe,wamekuwa wakigawa pombe,khanga,vitambaa nk.

Aaaah! Post nyingine bana! Sijui ni haraka au mhemuko tu unaotokana na hisia; unashindwa nini kueleza kitu kinachoeleweka? Hivi unadhani kila mtu anajua Majengo yako? Majengo ipi? Ya Arusha, Mbeya, Moshi, Shinyanga, ...., au? Kila mji na vimiji Tz almost vina mtaa unaoitwa Majengo na kwa taarifa yako "Majengo" ndilo neno linalotumika zaidi kama jina la mitaa Tanzania.
 
Zikiwa zimebaki ck chache ufanyike uchaguzi wa diwani,chama cha mapinduzi CCM,kimekuwa kikigawa rushwa mchana kweupe,wamekuwa wakigawa pombe,khanga,vitambaa nk.

Bhavik
Join Date : 21st September 2011
Posts : 4
Rep Power : 0

Majengo ya wapi? mbona unaharaka kama vile umeshikwa na tumbo la kuhara mkuu?
Waache watu wapokee rushwa wajisitiri mwili na akili. mwisho wao kwenye sanduku la kura
 
Aaaah! Post nyingine bana! Sijui ni haraka au mhemuko tu unaotokana na hisia; unashindwa nini kueleza kitu kinachoeleweka? Hivi unadhani kila mtu anajua Majengo yako? Majengo ipi? Ya Arusha, Mbeya, Moshi, Shinyanga, ...., au? Kila mji na vimiji Tz almost vina mtaa unaoitwa Majengo na kwa taarifa yako "Majengo" ndilo neno linalotumika zaidi kama jina la mitaa Tanzania.
samahami mkuu wangu!majengo ya Mby,
 
samahami mkuu wangu!majengo ya Mby
Inawezekana sana, kwani hali ni mbaya sana kwa hawa ndugu zetu. Jana nilipita kwenye mkutano wao pamoja na kuleta wacheza viduku hata watoto wenye hawakuzidi 10, na mkutano wenyewe ullikuwa na watu kama 30 tu tena wanaotoka nje ya Kata
 
Kwanza mimi ningekuwa mkazi wa Mbeya ningehakikisha nawagaragaza CCM chini bila huruma yaani walivyoshusha hadhi ya Majengo mbeya siwezi amini yaani kumekaa kama mahame,kunyweni hizo pombe na hela na kofia halafu mukimuona mtoa hongo kamata tembeza mitaa yote halafu mpelekeni kituoni siku hizi nikuwaumbua tuu
 
Wadau nilikua nimewakimbia kidogo lakini pamoja na Megawatti Ngeleja,ntajitahidi kuwa available.

Nimeongea na Diwani mmoja Mbeya ambako kuna uchaguzi katika kata Mbili yaani Majengo na Nzovwe.Kwa maelezo yake katika kata ya Nzovwe Magamba wamegalagazwa mpaka wako hoi,hivyo wameamua kujikita katika kata ya Majengo.Wameingia kwa staili ya kununua shahada za kupigia Kura kwa sh.10,000/- kwa shahada.Hivyo ukipeleka 10, unapata kilo.Walichokifanya makamanda ni kuwasiliana na TAKUKURU na wameweka Mitego kwa hilo.Hata hivyo anasema hawalali maana jamaa wana mbinu nyingi sana.Lakini amenihakikishia kwamba wako vizuri,watachukua kata zote.
Ntazidi kuwahabarisha mambo yanavyozidi kuendelea.
 
Kwanza mimi ningekuwa mkazi wa Mbeya ningehakikisha nawagaragaza CCM chini bila huruma yaani walivyoshusha hadhi ya Majengo mbeya siwezi amini yaani kumekaa kama mahame,kunyweni hizo pombe na hela na kofia halafu mukimuona mtoa hongo kamata tembeza mitaa yote halafu mpelekeni kituoni siku hizi nikuwaumbua tuu
Tutatumia mbinu zote kuhakikisha tunashinda,kwenye kata ya Nzovwe hawagusi,wanaitaka kwa 7bu kuna wazee wengi,lakini kwa nguvu zake MUNGU tunashinda
 
Back
Top Bottom