Zikiwa zimebaki ck chache ufanyike uchaguzi wa diwani,chama cha mapinduzi CCM,kimekuwa kikigawa rushwa mchana kweupe,wamekuwa wakigawa pombe,khanga,vitambaa nk.
Zikiwa zimebaki ck chache ufanyike uchaguzi wa diwani,chama cha mapinduzi CCM,kimekuwa kikigawa rushwa mchana kweupe,wamekuwa wakigawa pombe,khanga,vitambaa nk.
samahami mkuu wangu!majengo ya Mby,Aaaah! Post nyingine bana! Sijui ni haraka au mhemuko tu unaotokana na hisia; unashindwa nini kueleza kitu kinachoeleweka? Hivi unadhani kila mtu anajua Majengo yako? Majengo ipi? Ya Arusha, Mbeya, Moshi, Shinyanga, ...., au? Kila mji na vimiji Tz almost vina mtaa unaoitwa Majengo na kwa taarifa yako "Majengo" ndilo neno linalotumika zaidi kama jina la mitaa Tanzania.
samahami mkuu wangu!majengo ya Mby
Inawezekana sana, kwani hali ni mbaya sana kwa hawa ndugu zetu. Jana nilipita kwenye mkutano wao pamoja na kuleta wacheza viduku hata watoto wenye hawakuzidi 10, na mkutano wenyewe ullikuwa na watu kama 30 tu tena wanaotoka nje ya Kata
Tutatumia mbinu zote kuhakikisha tunashinda,kwenye kata ya Nzovwe hawagusi,wanaitaka kwa 7bu kuna wazee wengi,lakini kwa nguvu zake MUNGU tunashindaKwanza mimi ningekuwa mkazi wa Mbeya ningehakikisha nawagaragaza CCM chini bila huruma yaani walivyoshusha hadhi ya Majengo mbeya siwezi amini yaani kumekaa kama mahame,kunyweni hizo pombe na hela na kofia halafu mukimuona mtoa hongo kamata tembeza mitaa yote halafu mpelekeni kituoni siku hizi nikuwaumbua tuu