Udiwani Kata ya Mjimwema-Njombe; Mchungaji Msigwa, Chiku Abwao na David Silinde ndani ya Njombe

PEA

Member
Dec 31, 2010
77
33
Wakati macho na masikio ya Watanzania yakielekezwa Igunga kwenye uchaguzi wa Ubunge, mjini Njombe Wabunge watatu wa Chadema watahudhuria uzinduzi wa Kampeni za kiti cha Udiwani kata ya Mjimwema, siku ya Ijumaa tarehe 09/09/2011. Wabunge hao ni Mchungaji Peter Msigwa (Iringa Mjini), Chiku Abwao (Viti Maalum-Iringa) na David Silinde (Mbozi Magharibi).

Uchaguzi wa diwani wa kata hiyo utafanyika kama ilivyo kwa kata zingine 22 nchi nzima tarehe 2/10/2011 kufuatia kifo cha aliyekuwa diwani wa kata hiyo kupitia CCM Marehemu Augustino Mbanga.

Ni matumaini yetu kuwa ujio wa Wabunge hawa na uhakika kwamba Mh Silinde atakuwepo Njombe kwa siku 4 utasaidia sana kupambana na njama za CCM waliozoea kujishindia kiulaini kila mara kunapokuwa na uchaguzi katika Wilaya ya Njombe
 
Gud newz ni kukomaaa mpaka kuhakikisha Magamba hawalambi udiwan ata kama alieondoka ni wa CCM ila udiwani uende CHADEMA ili pawe na changamoto Njombe
 
  • Thanks
Reactions: PEA

Tatizo wakazi wa Njombe wengi kama mazuzu hata CCM isimamishe fisi itapita tu
 
Mkuu umeenda mbali sana huko. Muulize Anna Makinda alivyolazimika kuiba kura mwaka 1995 na Mkapa alivyoshindwa kuhutubia Njombe mwaka huo. Tatizo ni vyama vyetu kutojipanga vizuri kufika kwemnye maeneo yote. Tazama jinsi uzembe ulivyofanyika mwaka jana mpaka Makinda anamnunua mgombea kwa Milioni 2 tu. Na kwa taarifa yako Rais wa Njombe Mjini ni Dr Slaa, alishinda kwenye vituo vyote isipokuwa viwili tu
 
2015 nami nitachukuwa fomu niuze 5 million zitatosha hata ada ya wanangu. Fomu yenyewe ni bei gani kuipata?
 
Akishinda wa upinzani kwenye huu uchaguzi nitasema sasa wananchi wa Njombe wamepevuka kisiasa.
 
Hizo milioni mbili si zimeishia kwenye komoni, kindi ,ulanzi !!! kuweni macho next time you should not repeat this mistakes. Endelea kutujuza makamanda wetu wamefikia wapi.
 
  • Thanks
Reactions: PEA
Gud newz ni kukomaaa mpaka kuhakikisha Magamba hawalambi udiwan ata kama alieondoka ni wa CCM ila udiwani uende CHADEMA ili pawe na changamoto Njombe
<br />
<br />
unahisi Chadema pekee ndio wenye uwezo wa kuleta changamoto?
 
  • Thanks
Reactions: SG8
2015 nami nitachukuwa fomu niuze 5 million zitatosha hata ada ya wanangu. Fomu yenyewe ni bei gani kuipata?
Hutapitishwa kugombea kwani mpaka sasa tayari kuna orodha ya watu 10 watakaogombea kwa CDM tena ambao hawahitaji hizo mil 2 au 5. Pole Mkuu ulichelewa mwaka jana na hata huyo Katibu aliyehusika tumemvua gamba
 
  • Thanks
Reactions: PEA
Hizo milioni mbili si zimeishia kwenye komoni, kindi ,ulanzi !!! kuweni macho next time you should not repeat this mistakes. Endelea kutujuza makamanda wetu wamefikia wapi.
Ni kweli Mkuu zilipoisha jamaa akarudi kujisalimisha na kuomba msamaha huku akimtuhumu katibu wa Wilaya. Tatizo hata watendaji wa serikali walishiriki kwenye mchezo huo
 
  • Thanks
Reactions: PEA
safari hii hawachomoki.makamanda ndo tunajiandaa kwenda kutoa elimu ya uraia.
chademaaaaaaaaaaaa!
 
  • Thanks
Reactions: PEA
Huku Sikonge kata ya Kisanga nako kuna uchaguzi wa udiwani tunaomba sapoti ya viongozi wa chama kutoka makao makuu...tukizembea kata itachukuliwa jamani
 
  • Thanks
Reactions: PEA
Hata mm watu wa Njombe sina imani nao sana ngoja tuangalie uchaguzi huu, but if they choose opposition itakuwa nzuri sana kwao na kwa wilaya nzima.italeta changamoto
 
  • Thanks
Reactions: PEA
Akishinda wa upinzani kwenye huu uchaguzi nitasema sasa wananchi wa Njombe wamepevuka kisiasa.

IRINGA
WILAYA YA NJOMBE
NJOMBE KASKAZINI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
KIKWETE JAKAYA MRISHO
CCM
30,024
74.11
SLAA WILLIBROD PETER
CHADEMA
8,816
21.76

WILAYA YA NJOMBE
NJOMBE MAGHARIBI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
KIKWETE JAKAYA MRISHO
CCM
32,283
72.58
SLAA WILLIBROD PETER
CHADEMA
8,906

20.02

  • Thanks
Reactions: PEA
Hizo milioni mbili si zimeishia kwenye komoni, kindi ,ulanzi !!! kuweni macho next time you should not repeat this mistakes. Endelea kutujuza makamanda wetu wamefikia wapi.
Sure milioni 2 kitu gani bwana?
 
Back
Top Bottom