Udiwani Kata ya Mjimwema-Njombe; Mchungaji Msigwa, Chiku Abwao na David Silinde ndani ya Njombe

IRINGA
WILAYA YA NJOMBE
NJOMBE KASKAZINI
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM30,02474.11
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA8,81621.76


WILAYA YA NJOMBE
NJOMBE MAGHARIBI
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM32,28372.58
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA8,906
20.02

sio haba, mwanzo mzuri
 
Hutapitishwa kugombea kwani mpaka sasa tayari kuna orodha ya watu 10 watakaogombea kwa CDM tena ambao hawahitaji hizo mil 2 au 5. Pole Mkuu ulichelewa mwaka jana na hata huyo Katibu aliyehusika tumemvua gamba
Yap, this time tupo viongozi makini. Akitaka akagombee CCM apambane na Deo Mwanyika
 
PHP:
Wakati macho na masikio ya Watanzania yakielekezwa Igunga kwenye uchaguzi wa Ubunge, mjini Njombe Wabunge watatu wa Chadema watahudhuria uzinduzi wa Kampeni za kiti cha Udiwani kata ya Mjimwema, siku ya Ijumaa tarehe 09/09/2011. Wabunge hao ni Mchungaji Peter Msigwa (Iringa Mjini), Chiku Abwao (Viti Maalum-Iringa) na David Silinde (Mbozi Magharibi).

Uchaguzi wa diwani wa kata hiyo utafanyika kama ilivyo kwa kata zingine 22 nchi nzima tarehe 2/10/2011 kufuatia kifo cha aliyekuwa diwani wa kata hiyo kupitia CCM Marehemu Augustino Mbanga.

Ni matumaini yetu kuwa ujio wa Wabunge hawa na uhakika kwamba Mh Silinde atakuwepo Njombe kwa siku 4 utasaidia sana kupambana na njama za CCM waliozoea kujishindia kiulaini kila mara kunapokuwa na uchaguzi katika Wilaya ya Njombe
mkuu tunashukuru kwa kutoa habari juu ya uchaguzi wa Njombe.Kuna masahihisho kidogo.Kampeni zitaanza tarehe 11.9.2011 na uzinduzi rasmi utakuwa tarehe 14.9.2011 ambapo makamanda watajwa hapo juu wote watakuwepo pamoja na mr.Sugu,Thomas Nyimbo na watu wengine wengi wataalam wa siasa.
 
mijitu ya njombe bwana kazi kulema ugimbi na ulanzi ila sasa nackia yamechoka yanamkakati mzito nikiwapo mimi
 
Back
Top Bottom