ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
Kuna tetesi kuwa chuo kikuu cha dodoma kimeandaa mkakakti wa kuhakikisha waajiriwa wengi wanatoka kwenye dini moja kubwa hapa nchini ambayo hadi sasa watawala wake wengi wa juu ni waumini wa dini hiyo.
Baada ya taarifa hizi kuenea kwa kasi miongoni mwa watumishi wa chuo hicho na jamii ya watanzania, imebidi chuo kisitishe zoezi la kuwaandikia barua waajiriwa wapya waliofanya usaili miezi miwili iliyopita. Inaelezwa kwamba zoezi la kuwaajiri walimu wengi kutoka kwenye dini hiyo ni agizo maalumu kutoka ktk ofisi ya Rais lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa chuo kinapata wataalamu wengi zaidi wa imani hiyo kama mkakati wa kuhakikisha wanakuwepo katika ngazi za maamuzi ndani ya chuo hicho.
Hata hivyo imebainika kuwa chuo hiki ndiyo kinachoongoza kwa kuwa na wahadhiri wasaidizi wengi wanaotumia majina yasiyo yao wakati wa kupata ajira. Wengi wa wahadhiri wanatumia vyeti ambavyo sio vyao. Si mnajua kilianzishwa kisiasa hivyo ilikuwa rahisi kwa watu kupata ajira kwa kutumia vyeti vya wengine.
Kwa sasa jamii ya chuo hiki wanasubiri kwa hamu uteuzi wa wahadhiri hao wapya wa chuo. Tusubiri tuone mwisho wake utakuwaje!