Udini umepiga hodi UDOM!!!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,972
1,649
Kuna tetesi kuwa chuo kikuu cha dodoma kimeandaa mkakakti wa kuhakikisha waajiriwa wengi wanatoka kwenye dini moja kubwa hapa nchini ambayo hadi sasa watawala wake wengi wa juu ni waumini wa dini hiyo.

Baada ya taarifa hizi kuenea kwa kasi miongoni mwa watumishi wa chuo hicho na jamii ya watanzania, imebidi chuo kisitishe zoezi la kuwaandikia barua waajiriwa wapya waliofanya usaili miezi miwili iliyopita. Inaelezwa kwamba zoezi la kuwaajiri walimu wengi kutoka kwenye dini hiyo ni agizo maalumu kutoka ktk ofisi ya Rais lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa chuo kinapata wataalamu wengi zaidi wa imani hiyo kama mkakati wa kuhakikisha wanakuwepo katika ngazi za maamuzi ndani ya chuo hicho.

Hata hivyo imebainika kuwa chuo hiki ndiyo kinachoongoza kwa kuwa na wahadhiri wasaidizi wengi wanaotumia majina yasiyo yao wakati wa kupata ajira. Wengi wa wahadhiri wanatumia vyeti ambavyo sio vyao. Si mnajua kilianzishwa kisiasa hivyo ilikuwa rahisi kwa watu kupata ajira kwa kutumia vyeti vya wengine.

Kwa sasa jamii ya chuo hiki wanasubiri kwa hamu uteuzi wa wahadhiri hao wapya wa chuo. Tusubiri tuone mwisho wake utakuwaje!
 
Macho yote yameelekezwa Igunga. Petty issues like this don't even deserve a room in here. I'm wondering how was it missed by mods sieve.
 
If this mentality has been inherited by you from you predecessors, i would say you have to encourage your offsprings to look for options of increasing your genetic pool. had it been you are a scientist, u would understand the meaning of this statement of mine.

You only think life is all about igunga, shame on you and the would be your future generations!
 
Naona unaogopa ogopa kutaja imani hiyo. Sema tu uislam na waislam ndio wanaopendelewa zaidi.
 
Macho yote yameelekezwa Igunga. Petty issues like this don't even deserve a room in here. I'm wondering how was it missed by mods sieve.

the fools are only lead by events. For them life matters most on issues happening around them, and the only thing they think about is what happens in other peoples life. They have little to think about their own future!
 
usi2jaze ujinga wako maisha yako yanaongozwa na matukio?shame on u!sikujua kama kama hm ndani wanachangia pia wajingawajinga!@etwn52
 
Hadithi nzuri...mtungaji anajitahidi.

Jamani issue zingine si za kupuulia, waswahili hakukosea kusema kua lisemwalo lipo na kama halipo linakuja! kwanini hbr za udini sisikike UDOM tu kwenye taasisi za elimu ya juu?
 
Aisse!! Ndio maana Gadafi alipigwa na Nato moja ya vi2 vilivyomsababishia ni sera yake ya kutaka kusambaza uislam Duniani ndio maana nchi nyingi za afrika amejenga misikiti ikiwemo Tanzania, Uganda etc...So kama Tanzania nayo...............Bac ipo cku................
 
Its true wardens wote kuanzia block 6 mpaka 14 new employed last year ni wa dini moja(................) ila ni tone la maji ndani ya bahari acha woga!
 
Kuna tetesi kuwa chuo kikuu cha dodoma kimeandaa mkakakti wa kuhakikisha waajiriwa wengi wanatoka kwenye dini moja kubwa hapa nchini ambayo hadi sasa watawala wake wengi wa juu ni waumini wa dini hiyo.

Baada ya taarifa hizi kuenea kwa kasi miongoni mwa watumishi wa chuo hicho na jamii ya watanzania, imebidi chuo kisitishe zoezi la kuwaandikia barua waajiriwa wapya waliofanya usaili miezi miwili iliyopita. Inaelezwa kwamba zoezi la kuwaajiri walimu wengi kutoka kwenye dini hiyo ni agizo maalumu kutoka ktk ofisi ya Rais lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa chuo kinapata wataalamu wengi zaidi wa imani hiyo kama mkakati wa kuhakikisha wanakuwepo katika ngazi za maamuzi ndani ya chuo hicho.

Hata hivyo imebainika kuwa chuo hiki ndiyo kinachoongoza kwa kuwa na wahadhiri wasaidizi wengi wanaotumia majina yasiyo yao wakati wa kupata ajira. Wengi wa wahadhiri wanatumia vyeti ambavyo sio vyao. Si mnajua kilianzishwa kisiasa hivyo ilikuwa rahisi kwa watu kupata ajira kwa kutumia vyeti vya wengine.

Kwa sasa jamii ya chuo hiki wanasubiri kwa hamu uteuzi wa wahadhiri hao wapya wa chuo. Tusubiri tuone mwisho wake utakuwaje!

acha kueneza chuki na hizo tetesi zako mi npo pale na hakuna huo udin malecture weng wakristo,wanafunzi weng wakristo viongozi wa juu kama mkapa mkristo sasa huo udini ndugu unautoa wapi,achen kueneza hizo chuki nyie ndo wasom 2naowategemea kama wewe mwenye fikra pana unawaza ivo je wale watanzania wakawaida ambao hawajabahatika kusoma wakiskia wataleta matatizo..udom hakuna udin ila wewe ndo una udini
 
We upo pale kama kimvuli tu,Prof Kikula mwenyewe alikiri kuwepo huo udini na kulitupia lawama baraza la Maaskofu uje kuwa wewe.
Unajua sbbu za uchaguzi wa viongoz colege ya eductn kufanyika mara mbili na kula za mwanzo kuchomwa moto?
Kuwepo udom si kujua kila ki2 wewe Udini upo tena wa hali ya juu,
Nenda Informatics pale utakuta Wazenji na waislamu wengine wanafanya Discusion kwenye vyumba vyao vya ibada,ukiingia Mkristo Waitwa Kafiri
msituchokoze tuteme tunavyovijua kuhusu udini Udom. usipinge hoja kama haijui wewe?
Umewah kujiuliza Kwanini Dar post ya Mkuu wa mkoa wanakalia waislamu? Kuna siri nyuma yake.
 
Naomba kuuliza jamani ni kweli kila block(bweni) hapo UDOMU kuna chumba special kwa kusalia waislam?Tujurishane.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom