UDINI, UKABILA, UKANDA Propaganda chafu, hulka za kibinafsi na Uhalifu dhidi ya Demokrasia

LENGEJU BOB

Member
Nov 1, 2010
53
29
Na. Robert Victor Lengeju
Morogoro.

Ni masuala mtambuka kwa ubaya wake na ambayo yasipokemewa kwa uzito unaofaa, yanaweza kutumika kama mtaji wa watu hasa kila unapokaribia uchaguzi, huku ukiipasua Nchi yetu vipande vipande. Ni makala yenye kutoa elimu, lakini iliobeba karipio la dhahiri, kwa wote wenye kuendekeza sana Hulka hizi za ubinafsi uliopitiliza, zinazoelekea kuharibu kabisa staha ya Taifa letu. Hapa tunatazama Udini, Ukabila, Ukanda kama Propaganda Chafu kwa upande mmoja, na Hulka za ubinafsi kwa upande wa pili; na ambazo kwa pamoja, ni uhalifu dhidi ya Demokrasia...............

USIKOSE KUSOMA MAKALA HII MUHIMU, KWENYE JUKWAA LA MWALE WA DEMOKRASIA NDANI YA RAIA TANZANIA, ALHAMISI IJAYO...NI SIKU 4 TU KUANZIA LEO!
 
"Wako viongozi wengine hapa ambao wanajifanya kumheshimu na kusifia maisha ya Mandela lakini kwenye nchi zao hawana uvumilivu kwa watu ambao wana mawazo nao tofauti au wana imani tofauti za kidini au kiitikadi," alisema Obama.

Ni masuala mtambuka kwa ubaya wake na ambayo yasipokemewa kwa uzito unaofaa, yanaweza kutumika kama mtaji wa watu hasa kila unapokaribia uchaguzi, huku ukiipasua Nchi yetu vipande vipande. Ni makala yenye kutoa elimu, lakini iliobeba karipio la dhahiri, kwa wote wenye kuendekeza sana Hulka hizi za ubinafsi uliopitiliza, zinazoelekea kuharibu kabisa staha ya Taifa letu. Hapa tunatazama Udini, Ukabila, Ukanda kama Propaganda Chafu kwa upande mmoja, na Hulka za ubinafsi kwa upande wa pili; na ambazo kwa pamoja, ni uhalifu dhidi ya Demokrasia...............

USIKOSE KUSOMA MAKALA HII MUHIMU, KWENYE JUKWAA LA MWALE WA DEMOKRASIA NDANI YA RAIA TANZANIA, ALHAMISI IJAYO...NI SIKU 4 TU KUANZIA LEO!

Mungu Akubariki
 
Nashukuru Ngudu Lema
Tunajaribu kuwa sehemu ya mchakato wa kuiponya Nchi yetu. Propaganda hizi zinawahamisha watu kutoka katika mijadala muhimu yenye maslahi mapana kwa Nchi. Mkisema nyie wa huko ndani uzito wake utatiliwa shaka, lakini tukisema sisi tusio na kambi, naamini Jamii itaitikia na kufunguka. Polepole, tutaelewana tu. Lengo ni kuingia uchaguzi mkuu 2015 tukiwa na wapigakura wenye fikra huru. Wenye uwezo wa kuchambua mchele na pumba na hatimaye kujichagulia viongozi bora. Mungu siku zote yuko upande wa haki. Tusife moyo, kazi aliyoianza mwenyewe kupitia ninyi, ataikamilisha mwenyewe kupitia mtu mwingine yeyote, Na ni safari inayohitaji mchango wa kila mwenye mapenzi mema na Tanzania.

Barikiwa Sana.
 
Back
Top Bottom