TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Kumekuwa na Udikteta Katika Bara la Afrika, Na imekuwa Makini sana Kwa Dunia Kuwabaini Viongozi Madictator wa Afrika, Na Kuwapinga au kiwazi wazi au kuwaepuka. Mara nyingine Mataifa ya Afrika kama Vile Zimbabwe na wakati Fulani Kenya walipewa Vikwazo vya Uchumi kwa Kuwa na Viongozi Madictaor ie. Robart Mugabe na Daniel Arap Moi.
Lakini Udictator mmbaya Kuliko wote Afrika upo Tanzania, Ni Udictator ambao rangi yake haijatokea Duniani. Udictator tulio nao ni Udictator wa chama Kimoja CCM ambacho Kikisimania serikali mwaka 1992 Kilikubali Mfumo wa Vyama Vingi kwa Lengo la Kuihadaa Dunia huku kikihakikisha Kitatumia Dola ku-limit upinzani. Na Kutumia Nguvu Kubaki Madarakani Pale wanaposhidwa.
Dunia Ikitazama Kwa Nje inaona Tanzania Kuna term limit ya Urais na Kila Baada ya Miaka 10 Kunakuwepo na Kubadilishana Madaraka. Lakini wasichoona bado Ni Kuwa Kuna Zimwi Liitwalo CCM ambalo liwalo na liwe, halikubali Kuachia Madaraka.
Udictator Uliopo Tanzania Ni Udictator Mbaya Kuliko wote Uliokwisha Kupatikana Duniani. Ni wakati Wa harakati Mpya za Dunia Kupigana na Udictator wa aina ya Tanzania. During summer I will take this issue to the Offices of the United Nations and I will give damning evidence!