Udikteta wa Mbowe: Msuguano Slaa na Mbowe waitikisa CHADEMA, Mafisadi wamteka Mbowe

LOWASA-2.jpg

Viongozi wakuu wa Chadema hawapo ila Mbowe peke anaonekana kubanana na Lowasa

Wimbi la kuanzishwa chama cha ACT kulikuwa na mengi yaliuyoongelewa kuhusu udikteta ndani ya Chadema unaofanywa na Mbowe, pia kwamba kuna msuguano kati ya Mbowe na Slaa, ingawa ilikanushwa lakini ufa huo unaonekana kujitokeza sasa.

images

Kilichoendelea ni CHADEMA kuonekana kumwandaa Slaa kuwa mgombea wa Urais. Pia Slaa kuonekana kukubalika kimataifa hata kualikwa na mataifa makubwa au jumuia za kimataifa duniani kama Marekani, Ujerumani na Umoja wa nchi za Ulaya.

images

UKAWA ilionekana NCCR wako radhi Dr Slaa awe mgombea, ila upade wa CUF Lipumba hakuridhika na alitaka yeye agombee. Mbowe alipoonekana kumilikiwa na kisha kummiliki Lowassa kuwa mgombea, Lipumba akapoa kwa vile wote yeye na Slaa wamekosa, huko alikokuwa mafichoni akajifichua na kuanza kuonekana katika vikao vya UKAWA.

images
images

Mgawanyiko Kamati Kuu CHADEMA kutokana na Lowassa
Katibu Mkuu Slaa, makamu wake bara John Mnyika na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu hawakushiriki mapokezi ya Lowassa wakati walionekana wako na moyo kwa mapokezi ya Lembeli na wengineo. Dalili kwamba Lowassa ni chaguo la Mbowe na kushinikiza kamati kuu waridhie matakwa yake.

images

Mbowe amkumbatia Lowasa anayewawakilisha Rostam na Chenge
CHADEMA ilijipambanua na kueleweka kwa umma kwamba wako kinyume kabisa na ufisadi na katu hawatakaa sahani moja na mafisadi, lakini leo Freeman Mbowe anakula sahani moja na fisadi Lowasa anayewakilisha mafisadi wenzake akina Rostam Aziz na Chenge.

mapacha-watatu-560x248.jpg

LOWASA AKWEPA MASWALI YA WAANDISHI KUHUSU KUWAKUMBATIA MAFISADI WENZAKE
Katika tukio la kukabidhiwa kadi za Chadema, Lowasa alipoulizwa na waandishi kuhusu yasemwayo na watu kwamba akiwa Rais atawakaribisha mafisadi wenzake Chenge na Rostam, hakujibu akakwepa na kusema tu anachukia ufukara na anataka watanzania wengi wawe matajiri. Hapo kuna jambo ambalo dhahiri analikwepa kuliweka wazi kuhusu uhusika wake kugombea urais nyuma yake wakiwamo mafisadi Chenge na Rostam. Akishakalia kiti cha magogoni ni mfalme nani wa kumnyoshea kidole?

images
images

Muono mzuri lakini mengi hayatajulikana mpaka uchaguzi utakpoisha. CHADEMA = Mbowe LLC, mjinga tu ndiye hatalielewa hilo. Kwa hiyo CDM kumkumbatia Lowassa mla rushwa ni kwa manufaa ya Mbowe LLC na sio kwa ajili ya kuwasaidia watanzania.
 
Kapewa vijihela na serikali basi anajambajamba hapa!

Nyie jilipueni, Mbowe kauza na kuua Chama.Risk kwenye biashara ni tofautı na kwenye siasa.Uteuzi wa Lowasa una taswira 2 kuu,MOJA ni fisadi sio tu kwa Richmond na tulimnanga hvyo akiwa CCM.PILI anaungwa mkono na wale waliomuunga mkono akiwa CCM na si kwa jambo lingne bali ishu ya UKANDA.Watu wanaona,wanatafakari na hoja zitajengwa.Kura za Lowasa zitatoka nyingi Arusha,Manyara na Kilimanjaro.Tuko macho na dhuruma na ubinafsi ulio wajaa watu KASKAZINI NA HUSUSANI the Chaga.
 
Pole yako, mimi si mwanachama wa chama cho chote cha siasa, na siko tayari kuwa mtumwa wa chama ila mtu huru nisiyefungamana na upande wo wote, ni mvutiwa na itikadi za kuwaletea watanzania maendeleo na kuondokana na stress zinazoweza kuzuilika na utawala bora. Lengo ni kuipa likizo kwanza CCM ijitafakari na watakaporudi watakuwa makini wasijisahau kama wanavyofanya kwa mazoea sasa.

Laiti ungenijua, pole ndugu.

Candid Scope tunakufahamu vizuri, tunafahamu jina lako, tunafahamu kazi yako ya sasa, tunafahamu kazi yako ya zamani kabla ya hii ya sasa na tunafahamu unapoishi na tunafahamu wewe ni nani katika siasa za ccm kwahiyo usithubutu kujifaragua hapa kwamba wewe si mwanachama wa chama chochote.

So watch out your steps....we are watching you very closely.
 
Last edited by a moderator:
Nyie jilipueni, Mbowe kauza na kuua Chama.Risk kwenye biashara ni tofautı na kwenye siasa.Uteuzi wa Lowasa una taswira 2 kuu,MOJA ni fisadi sio tu kwa Richmond na tulimnanga hvyo akiwa CCM.PILI anaungwa mkono na wale waliomuunga mkono akiwa CCM na si kwa jambo lingne bali ishu ya UKANDA.Watu wanaona,wanatafakari na hoja zitajengwa.Kura za Lowasa zitatoka nyingi Arusha,Manyara na Kilimanjaro.Tuko macho na dhuruma na ubinafsi ulio wajaa watu KASKAZINI NA HUSUSANI the Chaga.
Always the end justifies the means!
 
Si wote wanaotoa hoja ni watu wa ccm. Personally me nipo neutral,si mfuasi wa CDM or CCM...but Mbowe hajafanya fair jst taking in mtu yy mwenyewe alitamka ni mfisadi then leo hii not only anakaribishwa chama,bt anapewa fursa ya kupeperusha bendera ya chama. As in seriously,it dsnt take a genius kuona dats jst fowl play. If ni popularity and more votes ndio wanatafuta,y not jst sign him as a CDM member,na EL n the rest,wamsupport presidential candidate that the party has bn grooming toka forever?..
#tusubirie oct tucheki da outcome of all this drama
Kama kweli huna upande kama unavyojinasibu kwanini umshutumu Mbowe wakati uamzi wa kumpokea Lowasa ulifanywa na vikao?
 
iwepo kauli ya dr isiwepo simpigii kamwe kura yangu lowasa. Dr akihama chama nahama naye.

Simpi KURA yangu Lowassa wala Makomeo,ila Wabunge nitawapa wa UPINZANI.Na wewe pia,tunahitaji kuwa na wabunge wengi wa upinzani ili kuwa na Bunge Imara lenye nguvu.
 
naona umethitishiwa kua mbunge wa ludewa si wewe ulikuja na thread hapa ukisema lipumba atoswe ukawa waungane na lowassa umalaya wa kisiasa kwa kijana mwandishi kama wewe aibu acha kufitinisha waru unaamini kweli Mbowe anaweza fanya kitu bila baraka ya dr Slaa unajua wale wanavyofanya kazi au unasimuliwa na kuwageuka baada ya kuwa na uhakika wa kupitishwa ubunge na pindi chana kuanguka we are watching you dumila kuwili acha uchonganishi wa kimtandao

Majungukamahaya ndoa utaweza.kweli....
 
Mkosaji akitubu anasamehewa lowasa kujiuzulu uwaziri mkuu 2008 ni ushujaa wa pekee haijawahi kutokea tanzania na tayari ameanzisha safari ya matumaini yaani mwanzo mpya kwakuwa mzee lowasa ni mkristo basi alipewa nafasi ya kutubu dhambi zake na kusema ya kale yamepita tazama mapya yanakuja na kwa jinsi inavyoonekana watanzania wengi wamemuelewa akiwemo Dr.slaa,tundu lissu,John mnyika nk
 
Candid Scope tunakufahamu vizuri, tunafahamu jina lako, tunafahamu kazi yako ya sasa, tunafahamu kazi yako ya zamani kabla ya hii ya sasa na tunafahamu unapoishi na tunafahamu wewe ni nani katika siasa za ccm kwahiyo usithubutu kujifaragua hapa kwamba wewe si mwanachama wa chama chochote.

So watch out your steps....we are watching you very closely.
Acha vitisho vya kitoto kama unamfahamu sisi tufanyaje.

Endeleeni kula matapishi yenu Mbowe kauza chama kwa fisadi Lowassa, ukiulizwa viakao gani vya chama vimemteu Lowassa kugombea urais hauna jibu.

Tafuteni madodoki ya kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Slaa na Mnyika biashara yao ni siasa, kama Chadema imemkubali Lowassa wala wasijitenge labda kama wameamua kuanza biashara mpya
 
Hebu tulieni basi, kazi kubwa ni kuvuka mto. Tukishavuka Kitaeleweka tu.
 
Candid Scope tunakufahamu vizuri, tunafahamu jina lako, tunafahamu kazi yako ya sasa, tunafahamu kazi yako ya zamani kabla ya hii ya sasa na tunafahamu unapoishi na tunafahamu wewe ni nani katika siasa za ccm kwahiyo usithubutu kujifaragua hapa kwamba wewe si mwanachama wa chama chochote.

So watch out your steps....we are watching you very closely.

Nilijua JF is a podium to give out free thoughts,mbona tena mwenzangu u r sort of "threatening" anothr?...
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli huna upande kama unavyojinasibu kwanini umshutumu Mbowe wakati uamzi wa kumpokea Lowasa ulifanywa na vikao?

@G, then my bad...basi chama chote kama walikubaliana in unison, basi ni wanafiki!.. CCM kweli inafaa iondolewe madarakani bt msijidanganye at da end justifies da means,,mtu kama huezi kustand onto ua own principles,then we r lost...
 
LOWASA-2.jpg

Viongozi wakuu wa Chadema hawapo ila Mbowe peke anaonekana kubanana na Lowasa

Wimbi la kuanzishwa chama cha ACT kulikuwa na mengi yaliuyoongelewa kuhusu udikteta ndani ya Chadema unaofanywa na Mbowe, pia kwamba kuna msuguano kati ya Mbowe na Slaa, ingawa ilikanushwa lakini ufa huo unaonekana kujitokeza sasa.

images

Kilichoendelea ni CHADEMA kuonekana kumwandaa Slaa kuwa mgombea wa Urais. Pia Slaa kuonekana kukubalika kimataifa hata kualikwa na mataifa makubwa au jumuia za kimataifa duniani kama Marekani, Ujerumani na Umoja wa nchi za Ulaya.

images

UKAWA ilionekana NCCR wako radhi Dr Slaa awe mgombea, ila upade wa CUF Lipumba hakuridhika na alitaka yeye agombee. Mbowe alipoonekana kumilikiwa na kisha kummiliki Lowassa kuwa mgombea, Lipumba akapoa kwa vile wote yeye na Slaa wamekosa, huko alikokuwa mafichoni akajifichua na kuanza kuonekana katika vikao vya UKAWA.

images
images

Mgawanyiko Kamati Kuu CHADEMA kutokana na Lowassa
Katibu Mkuu Slaa, makamu wake bara John Mnyika na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu hawakushiriki mapokezi ya Lowassa wakati walionekana wako na moyo kwa mapokezi ya Lembeli na wengineo. Dalili kwamba Lowassa ni chaguo la Mbowe na kushinikiza kamati kuu waridhie matakwa yake.

images

Mbowe amkumbatia Lowasa anayewawakilisha Rostam na Chenge
CHADEMA ilijipambanua na kueleweka kwa umma kwamba wako kinyume kabisa na ufisadi na katu hawatakaa sahani moja na mafisadi, lakini leo Freeman Mbowe anakula sahani moja na fisadi Lowasa anayewakilisha mafisadi wenzake akina Rostam Aziz na Chenge.

mapacha-watatu-560x248.jpg

LOWASA AKWEPA MASWALI YA WAANDISHI KUHUSU KUWAKUMBATIA MAFISADI WENZAKE
Katika tukio la kukabidhiwa kadi za Chadema, Lowasa alipoulizwa na waandishi kuhusu yasemwayo na watu kwamba akiwa Rais atawakaribisha mafisadi wenzake Chenge na Rostam, hakujibu akakwepa na kusema tu anachukia ufukara na anataka watanzania wengi wawe matajiri. Hapo kuna jambo ambalo dhahiri analikwepa kuliweka wazi kuhusu uhusika wake kugombea urais nyuma yake wakiwamo mafisadi Chenge na Rostam. Akishakalia kiti cha magogoni ni mfalme nani wa kumnyoshea kidole?

images
images

Lowasa kukaribishwa CHADEMA na UKAWA badala ya uongozi CHADEMA
Lowasa akaribishwa na kukabidhiwa kadi ya Chadema na UKAWA badala ya safu ya uongozi wa Chadema. Jambo la kufikirisha na kuonyesha dhahiri kuna msuguano fulani na kwa vyo vyote jibu litapasuka maana uvundo huu hauwezi kuendelea muda mrefu.

Zengwe la kuteua mgombea urais CHADMA
Imedhihirika Mbowe ana kauli ya mwisho nani achukue fomu ya kugombea urais na bila yeye kuidhinisha haitafanyika na ndivyo ilivyotokea, wakati huo huo yeye Mbowe alishakuwa na mgombea wake fisadi Lowasa.

Wakati watanzania wakiwa na kiu ya kutangaziwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema mazingira tatanishi yameendelea kwa kuchelewesha kwa makusudi hadi Lowasa alipokatwa CCM Mbowe akamkumbatia.

CHADEMA IMEPASUA UFA MKUBWA MUHIMU KUZIBA HARAKA
Siyo siri na wengi wamebaki kunyamaza kuangalia movie inayoendelea huku Mbowe akijipongeza kumpata fisadi Lowasa huku wengi wa wanakamati kuonekana kutomwunga mkono na mgomo baridi ni pale waliposusia tukio la kumsafisha Lowasa Buguruni ofisi za CUF kisha kufuatiwa na tukio la Lowasa kukabidhiwa kadi za Chadema Bahari Beach Hotel. Huko kote aliyekuwa kifua mbele toka Chadema alikuwa Mbowe wakati watendaji wakuu wengine wa chama wakisusia.

Mbowe na Lowassa watafanya nini mkutano mkuu wa CHADEMA ukimkata Lowassa?
Mkutano Mkuu wa Chadema una nafasi ya kumchagua mgombea kiti cha Urais kwa kura na si kwa shinikizo la mwenyekiti. Iwapo Dr Slaa ataamua kuchukua form za Kugombea Urais kadiri ya msukumo wa wanachama wengi wa Chadema na watanzania, kisha mkutano mkuu ikatokea kumkata Lowasa chaguo la Mbowe nini hatima ya Lowasa na Mbowe atajisikiaje ndani ya Chama?

MBOWE KAIDHALILISHA CHADEMA/TANZANIA NA KUKIPASUA VIPANDE VIWILI

Mbowe amekidhalilisha chama chake kwa kumkumbatia Lowasa kinyume cha maadili ya chama chake na bila ridhaa ya chama chake chenye haiba ya kupinga kwa nguvu zote ufisadi nchini. Asipokatwa Lowasa mpasuko huu umeshajidhihirisha kutoka ndani ya Kamati kuu, hakuna hasara ya kumtosa Lowasa kwa vile Chama kilikuwa na mshikamano kabla ya Lowasa. Kimsingi ujio wa Lowasa umesababisha mpasuko mkubwa wa wanachadema na watanzania wapenda mageuzi nchini.

CCM IMEWEZA KUWADHIBITI MAFISADI HAWA CHADEMA IMETEKWA NA MAFISADI

CCM waliweza kulithibiti hili kundi la mafisadi wanaotaka kumpitisha mmoja wao kuwa Rais wa nchi, lakini Mbowe kaingia kichawakichwa na hatimaye umakini usipokuwepo kumkata Lowasa utawala wake utakuwa wa maumivu kuliko tunachoshuhudia sasa hivi utawala wa Kikwete.
Lowasa ni mfalme si mtu wa kukaa kujadili na watu nini kifanyike ila anaonekana ni wa mfumo wa kifalme kutoa amri.

Akiwa rais atawaingiza na kuwapatia nafasi nyeti mafisadi wenzake, nani wa kumnyoshea kidole wakati katiba inamlinda?

Wewe ni muongo! Na hiyo ndiyo namna pekee CCM mnalagai wananchi. Wakati lowassa anaongea hata mimi nilimsikiliza na hakukwepa maswali ya rafiki zake tajiri, alisema " kwani ni nani alisema mtu mwenye rafiki masikini tu ndiyo kiongozi bora? Hata marekani na Switzerland kuna matajiri, kwani wanatupa chooni huko walipo? Nachukia umasikini na ninataka nimsaidie kila mtanzania kuondokana nao!". Ufisadi wa huyu mzee unatokana na kashfa ya Richmond, ambayo kaitolea ufafanuzi kuwa aliyeiidhinisha ni kikwete na wenzake, kwani hamjamshupalia kikwete mnakomaa na lowassa kwa sababu kahamia chadema? Au ni kwasababu alikuwa sabuni yenu ya kupigia bao la mkono?! Mnamshupalia lowassa aliyejieleza vizuri dhidi ya kashfa alizonazo na kuwaacha wa akina kiwete waendelee kula bata ambao inasemekana wamepiga kwenye kila scandal kwanzia Richmond mpaka escrow! Usifananishe akili za mpinzani na zako hata siku moja, wewe ungekuwa unasomea hesabu ungekua level za BASIC APPLIED MATHEMATICS wakati sisi ni ADVANCED MATHEMATICS, kama mpaka sasa hivi huna maarifa ya kuona CHADEMA yenye LOWASSA ni bora kuliko CCM tena basi inawezekana hata huwa unakalia TV na kuangalia kochi badala ya kukalia kochi uangalie TV. kwa kichina, YOU ARE, BEYOND REASONABLE DOUBT, RETARDED!!
 
Utakaa sana na October tafuta sehemu ya kuamia.swissme
kweli kuna majuha wanaomchokoza MUNGUeti tunaanza na mungu na tunamaliza na mungu

'Nauchukia sana umaskini, ni Heri Watanzania wote wawe MATAJIRI km Mengi (wa IPP) tupate kina mengi wengi
km huko Marekani wengi ni Matajiri'

MUNGU wetu ndiye muumba hakuna aliyeumbwa kuwa maskini wala hatujitakii, km wote ni matajiri? nani atamtumikia maskini ndio maana Lowasa anashangiliwa na walala hoi
 
Uamzi = Uamuzi
Lowasa =Lowassa

Kuna kundi limeibuka ghafla wakijifanya kuwa na uchungu sana na CHADEMA kumbe ni wanafiki, moyoni wako CCM. Wakati Magufuli anatangazwa kundi hilo hilo liliibuka na kuwashauri CHADEMA wakomae na ubunge. Ujio wa Lowassa umeonyesha rangi za baadhi ya watu. Sasa ni kama wamechanganyikiwa na kujifanya washauri wa CHADEMA.

Mimi nilikuwa mmoja wa watu niliyempinga Lowassa na kumuita mwizi wakati wa mchakato wa kura za maoni CCM ili asipitishwe sababu kubwa niliona upepo wake ulikumba hata wasiokuwemo. Nilijua wakimpitisha tu wapenda mageuzi tumekwisha kwani upepo wake ungepiga hadi kwenye majimbo ya upinzani, na badala ya kuongezeka yangepungua. Kuna wabunge wengi wa CCM walitegemea sana upepo wa Lowassa uwapitie. Sasa hivi wamechanganyikiwa wanaomba bora wangejitoa CCM mapema kabla kura za maoni CHADEMA hazijafanyika.

Ndugu zangu upepo wa wanasiasa ni mbaya sana kuna wabunge CHADEMA upepo wa Dr.Slaa uliwapitia hadi leo hawaamini kama wapo mjengoni. Lowassa upepo wake ni mbaya sana. Dr.Slaa angemsumbua Dr.Magufuli lakini asingemshinda. Vile vile kwenye UKAWA ujio wa Lowassa umeleta mshikamano zaidi. Ninaamini kuna wana CUF na NCCR wasingeweza kumpigia kura Dr.Slaa zaidi ya wabunge wao. Lakini Lowassa ni kama amekuja kuwaunganisha UKAWA. Zitabebwa kura nyingi sana hapa.

Hawo wasiomtaka Lowassa ni wale waliotaka wapinzani wawe wapinzani milele. Ndio wale utawaskia Urais CCM, Ubunge upinzani. Huo ni unafiki mkubwa. Tunahitaji CCM itoke kabisa. Sasa ujio wa Lowassa ni kama umewachanganya sana wamebaki kujifanya wanakishauri chama kumbe wanafki wakubwa. Lengo kuu la chama ni kushika dola kama kuna upenyo umetokea wa kukupeleka huko utumie ipasavyo. Muda ndio huu ukipita CCM itatawala milele.
 
Si wote wanaotoa hoja ni watu wa ccm. Personally me nipo neutral,si mfuasi wa CDM or CCM...but Mbowe hajafanya fair jst taking in mtu yy mwenyewe alitamka ni mfisadi then leo hii not only anakaribishwa chama,bt anapewa fursa ya kupeperusha bendera ya chama. As in seriously,it dsnt take a genius kuona dats jst fowl play. If ni popularity and more votes ndio wanatafuta,y not jst sign him as a CDM member,na EL n the rest,wamsupport presidential candidate that the party has bn grooming toka forever?..
#tusubirie oct tucheki da outcome of all this drama

Usitudanganye na CCM yako. CCM Imeshindwa, lazima wakubali na waondoke kunusuru kizazi chetu!
 
Back
Top Bottom