Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,582
- Thread starter
- #61
Kwani haujawahi kusikia tetesi kuwa mchonga nae ni dikteta .... kilichokuwa kina mfanya mchonga asionekane ni dikteta ... ni kwa sababu wakati wa utawala wake " alikuwa anaongoza watanzania wengi ambao walikuwa bado wapo kwenye kundi la ujinga ..so kwakuwa ujinga uliwapofusha akili walishindwa kuzitambua haki zao nyingi za msingi hata pale ambapo nyerere alipokuwa anacheza blunder .....
Ndio maana kwakuliona hilo jeshi la wananchi liliwahi kujaribu kumtoa madarakani kwa sababu walikuwa wanauona udikteta wake .. kutokana na elimu waliyonayo " ambayo wananchi wengi waliikosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama Nyerere alikuwa dikteta mbona yuko revered sana, ndani na nje ya Tanzania?
Hata wapinzani wa Tanzania kwa heshima humwita Baba wa Taifa!
Dikteta gani huyo anayeheshimika kihivyo?