Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

View attachment 1943298
View attachment 1943311
My Take:

Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira.

Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit.

Mwana kulitafuta mwana kulipata
HAKUNA CHA MWANA KULITAFUTA WALA MWANA KULIGET
hao wamevaa fulana zenye uchochezi wakati si wakati wa siasa au shughuli za promosheni za kisiasa,
WANAYOTAKA KUYAFANYA YANA MUDA WAKE,KAMA JINSI SEREKALI ILIVUOTOA MAELEKEZO.
hao w
 
Kwamba Kikwete anaakili kuliko jiwe?

Ni Kikwete huyu huyu aliyekataliwa na Nyerere asigombee urais kisa ni mhuni anayedhani kuwa hapo ikulu ni pahali kula bata?

Ni kikwete huyu huyu aliye anzisha Makundi ya kifisadi ndani ya chama kwa kwa mtu kuhonga pesa ili ateuliwe kugombea urais & ubunge?

Wash your brain and make sure umetakasika ndipo uje hapa kumsifia mzee wa Msoga aka kinara wa upigaji wa kodi na raslimali za nchi
Sasa mkuu mtoto wa mjini utamlinganisha na bush boy

So wew unamini mtu mshamba na masikini anaweza kukuletea maendeleo?
 
HAKUNA CHA MWANA KULITAFUTA WALA MWANA KULIGET
hao wamevaa fulana zenye uchochezi wakati si wakati wa siasa au shughuli za promosheni za kisiasa,
WANAYOTAKA KUYAFANYA YANA MUDA WAKE,KAMA JINSI SEREKALI ILIVUOTOA MAELEKEZO.
hao w
Kama yule aliejitangaza na kuanza kampeni ya kugombea urais 2025
 
Sasa mkuu mtoto wa mjini utamlinganisha na bush boy

So wew unamini mtu mshamba na masikini anaweza kukuletea maendeleo?
Huyo unayemwita mtoto wa mjini amekuletea maendeleo gani zaidi ya kuwafanya ndugu zako wawe wadangaji tu, Nyerere alikuwa mtu wa mjini? Mbona aliwasaidia wengi wapate elimu bure wakiwemo hao hao wanaotuharibia nchi yetu, jifunze bwashee uongozi bora si kuwa born town
 
Lugha hiyo hiyo ilikuwa inatolewa na makaburu SA, hatukushangai. Kwenye mapambano kuna vikwazo/changamoto lakini, yanaendelea.
Nakushauri ujipe muda kidogo usome tofauti ya ANC ya South Africa na vyama vya upinzani vya Tanzania hususan Chadema. Utagundua tofauti ni kama umbali kati ya dunia na Jua.
Lugha hiyo hiyo ilikuwa inatolewa na makaburu SA, hatukushangai. Kwenye mapambano kuna vikwazo/changamoto lakini, yanaendelea.
 
Kila binadamu amepewa akili.

Ni namna ya kutumia hizo akili ndipo tatizo lilipo.

Naona nawe wasumbuliwa na hilo tatizo.
Nimegundua namna unavyo itumia Akili yako vibaya kuitetea CCM hata kwenye mambo ya kipumbavu kama haya kiasi kwamba mtu yeyote mwenye akili timamu anaona akili yako haina Akili.
 
Mimi niliamka siku miongo kadhaa ilopita.

Tanzania haina wapinzani ila ina mawakala wa CCM walopandikizwa kwenye upinzani.

Upinzani haupo Tanzania, tusidanganyane.
Wahenga na Misemo yao "Mzarau Mwiba guu huota Tende" Kama Tanzania Upinzani kwa nini Katiba Mpya na Tume huru vinawafanya CCM na Mapolisi wenu kuwa Vichaa?
 
Kamanda SIRO siku zako za kuwa ofisini zinahesabika,soon utastaafu utumishi was UMMA.yuko wapi IGP SAID MWEMA,OMARI MAHITA,ERNEST MANGU nawe utashika njia yao.Ni vyema tukukumbuke kwa heri na mema .kamanda SIRO wewe Ni mtu mdogo Sana katika TAIFA letu jitahidi kuwa muungwana na muadilifu kwa siku chache zilizobaki kukaa ofisini.

Kamanda SIRO Taifa letu lilipofika Ni Vita Kali Kati ya CHADEMA na dola Vita hivi vinaelekea mwishoni kabisa jitahidi kuwa mwema katika kumalizia siku zako za ofisini zilizobaki.

Kamanda SIRO si kwamba CHADEMA imejiandaa kuingia ikulu Kama Bibi harusi Hilo hapana Bali hata Kama itatulazimu kupita kwenye damu na Moto tutapitia.

Kamanda SIRO leo unajiona mwamba,imara na mkubwa kwa nafasi yako ila kumbuka Kuna maisha baada ya kuwa IGP.

Kamanda SIRO unapata wapi mamlaka ya kuzuia watu kufanya mazoezi ili kuimarisha miili yao,Leo unawakataza kufanya mazoezi kwa pamoja kesho unawakataza harusi,misiba,michezo na kutembeleana.

Kamanda SIRO Kama unatafuta huruma ya Bibi wa shungi akuongezee muda wa kustaafu hapo unakosea.kuwa mwema,muungwana na muaminifu kwa siku zako chache za kuwa ofisini zilizobaki.

Kamanda SIRO Kuna wakati utafika umoja w mataifa utaingilia Kati kusuruhisha mgogoro wakati mamia kwa maelfu wamekimbia nchi,wanavilema vya maisha,wapo hospitalini na wangine wamezikwa bila misa Wala swala.

Kamanda SIRO leo CCM wanafanya watakacho katika TAIFA bila bugudha yoyote ,hawasubuliwi ba OCD TISS RPC Wala IGP kesho CHADEMA watakosa uvumilivu nchi itaingia kwenye mtanziko mkali.

Kamanda SIRO hatukulazimishi kufuata maoni Wala ushauri ila ipo siku utaamka saa TISA usiku kuutafuta ushauri.taifa Ni Mali yetu kakuna kundi tukufu Wala duni.
 
Ninyi watu ni wa ajabu sana.

Sasa jogging club na ujumbe wa "Tume Huru" kwenye fulana zenu wapi na wapi?

Kila anaefanya jogging si avae nguo za mazoezi za kawaida tu nani angewazuia?

Kwanini ujumbe katika fulana zenu usiwe "Bawacha Jogging Club".

Na hata mngabeba mabango yasemayo "Join Bawacha Jogging Club Today", ingekuwa poa na IGP Sirro asingeona taabu.

Wakati mwingine muwe mnatumia akili zenu mnapopanga majambo yenu.
Huu ni ushuzi tu. Nchi hii tumefika mahali pa kupangiwa nguo za kuvaa? Kwani huo ujumbe ni tusi? mr. Richard tumia akili badala ya fuvu lenye usaha ndani. nonsense.
 
Hakukuwa na mazoezi hapo huo ni mkusanyiko wa kisiasa walitakiwa wawe na kibali.

Haya mambo wao wanayafahamu ila wanafanya kusudi kutafuta tension na huruma ya jamii, nawewe umeingia kwenye mtego wao
 
Jeshi la polisi linaweweseka sana.inaonekana halina kazi za msingi zakufanya.
 
Serikali inazidi kuwapa Chadema umaarufu
Mama anamuiga Magufuli mtu asiekua na akili
Kati ya akili ya Magufuli na Kikwete,akili ya Kikwete ni milions of miles bigger than that nonsense,ni heri nigeiga ya Kikwete
Mama anaiga matango pori ya Magufuli....ni heri walao atumie hata akili yake binafsi kuliko ya Magufuli aisee
 
Back
Top Bottom