Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

Ninyi watu ni wa ajabu sana.

Sasa jogging club na ujumbe wa "Tume Huru" kwenye fulana zenu wapi na wapi?

Kila anaefanya jogging si avae nguo za mazoezi za kawaida tu nani angewazuia?

Kwanini ujumbe katika fulana zenu usiwe "Bawacha Jogging Club".

Na hata mngabeba mabango yasemayo "Join Bawacha Jogging Club Today", ingekuwa poa na IGP Sirro asingeona taabu.

Wakati mwingine muwe mnatumia akili zenu mnapopanga majambo yenu.
CCM wakiwa na jogging zao huku zimeandikwa KAZI INDELEE huku Ina picha za Samia hua wanatoa ujumbe wa mazoezi hapo sio?
 
Mkutano wa nini ?
Ndipo matumizi yetu ya akili yanapotatiza.

Lengo la mkusanyiko huo lilikuwa ni kufanya mazoezi ya kukimbia na kuunganisha wanawake wa bavicha.

Hivyo maudhui ya ujumbe wa Tume Huru hayafanani na maudhui ya mazoezi.

Polisi nao wana akili na wanapima mnachopanga.

IGP Sirro alisema huko nyuma wanafahamu mnapolala na mnachopanga.
 
Je walivunja sheria ya nchi ?
 
CCM wakiwa na jogging zao huku zimeandikwa KAZI INDELEE huku Ina picha za Samia hua wanatoa ujumbe wa mazoezi hapo sio?Huchokagi kulamba kalio bro.
Mimi sijazoea kutukana watu nisiowafahamu ni mwiko kwangu.
 
Ninyi watu ni wa ajabu sana.

Sasa jogging club na ujumbe wa "Tume Huru" kwenye fulana zenu wapi na wapi?

Kila anaefanya jogging si avae nguo za mazoezi za kawaida tu nani angewazuia?

Kwanini ujumbe katika fulana zenu usiwe "Bawacha Jogging Club".

Na hata mngabeba mabango yasemayo "Join Bawacha Jogging Club Today", ingekuwa poa na IGP Sirro asingeona taabu.

Wakati mwingine muwe mnatumia akili zenu mnapopanga majambo yenu.
Tume huru inakukwaza nini ndugu taga
 
Back
Top Bottom