Udikiteta sio dili tena. Wanaccm Kwa haya mapigo saba(7) mna la kujifunza?? Msipokuwa makini mtapata magonjwa ua akili.

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,000
Habari za Mchana huu. Tukiwa tunafunga wiki kuelekea wikendi hebu tutafakari kidogo.
Nimegundua udikteta sio ishu tena kwenye ulimwengu unaostaarabika.

Dunia ya Sasa madikteta wa zamani wapo lakini hawa wapya wanaoibukia kishamba hakuna nafasi tena kwao. Dunia inapambana na hawa wachache waliopo kamwe hakuna upenyo wa madikiteta wapya.

Ona kilichotokea Zimbabwe, Gambia, Chadi, Guinea, Sudan, n.k

Huku kukiwa na watu wahache wanataka kuiga mambo ya M7, PK, Libya.

Wafahamu kwamba nchi kama za Rwanda, DRCna Uganda hali zao huko nyuma zilikuwa mbaya zaidi zikigubikwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Hivyo kwa hali zao za sasa twaweza kusema kuna nafuu. Nafuu hiyo haitoi mwanya kwa madikiteta wapya kucopy na kupaste mambo yao.

Tuje Tanzania. Wakati wa kuchipukia udikiteta uchwara mwaka 2016 kuliibuka sheria nyingi za ukandamizaji nyingi zikilenga kukomesha wapinzani. Hasa wapinzani wa kisiasa na wale wanaokosoa utendaji mbovu wa serikali na viongozi.

Kihistoria tumekuwa na katiba mbovu na tume huru ya uchaguzi yenye mashaka.

Hii tume ilipigiwa chapuo na Aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowasa na Fedrick Sumaye enzi hizo wasijue athari zake. Tuliona kikichomkuta Lowasa wakati na baada ya uchaguzi 2015 alivuna alichopanda. Pigo la kwanza .

Wakati huo huo kulichipuka vikundi vya watu waovu vilipendwa sana na kazi zake kutukuzwa sana na kundi la wao waliodhani wako salama

Akaibuka Sabaya Huyu alikuwa tishio ktk ukanda wa kaskazini na serengeti. Akafungwa kwa tuhuma za ujambazi. Pigo la pili.

Wakati huo huo aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi akashushwa kama kudondosha nazi juu ya mti. Mtu huyu alikuwa championi wa kuonea watu ndani na nje ya chama chake. Akapigwa chini. Pigo la tatu.

Kwa muda mrefu wapinzani wakidai sheria bora za kulinda maslahi, Haki na amani kwa watu wote. Wao waliodhani wako salama wakafumba masikio. Alimradi hayawahusu. Sasa tunaona Anko Pinda ameamua liwalo na liwe hata kama alikuwa mtetezi wa maovu hayo. Pigo la Nne.

Sasa ikaja sera za matumizi ya mitandao. Polepole akishirikiana na wadau wenzake wa kuvunja haki za raia na uhuru wa kujieleza TCRA ikatunga kanuni lukuki kuwadhibiti wakosoaji. Kumbe hawakujua. Sasa Upanga wenye makali unakata kuwili. Polepole wamemla kichwa. Pigo la tano.

mapigo ni mengi.

Hebu fikiria Mwanaccm( mnyonyaji yeyote) aliyekuwa anadagilia Sabaya, Makonda, Polepole, Palamagamba, Bashiru, Gwajima boy sasa hivi ana hali gani?? Si anaweza kujiua huyo.

Matendo ya watu hawa yanareflect hisia na tabia za wafuasi wao.
 
Kihistoria tumekuwa na katina mbovu na tume huru ya uchaguzi yenye mashaka.

Je TCRA imemsaliti mtu wao wa zamani?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom