Udhibiti wa Ajali Tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhibiti wa Ajali Tanzania.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HannibaL, Jul 23, 2008.

 1. HannibaL

  HannibaL Member

  #1
  Jul 23, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za kushinda ndugu zangu?
  Nimekuwa nikifuatilia sana kwa muda mrefu kuhusu masuala ya usalama wa barabarani nyumbani,inasikitisha sana ndugu zetu wanapoteza maisha kwa ajali ambazo zinaweza kudhibitiwa.
  Ajali nyingi zinazotokea nyumbani (Tanzania)huwa ni fatal(kuhusisha vifo).

  Je kuna vyombo husika ambavyo tunaweza kuwashikilia kutokana na uzembe wa kudhibiti mwendo wa magari(Speed limits).????

  Suala jingine ni baadhi ya madereva ku-over take kwenye one lane road....huku wakitaka kuliwahi gari ambalo linakuja uso kwa uso. Mimi pia nilikuwa mmoja wapo nilipokuwa nyumbani.

  Na polisi wanafanya nini kudhibiti madereva ambao wanakunywa/kulewa pombe na kuendesha magari(Driving Under Inf.)??????

  Naomba tusaidiane kuchangia katika hii mada ndugu zangu........kwa sababu Ajali za magari zimezidi sana huko nyumbani.
  Mimi binafsi nimepoteza ndugu,jamaa na marafiki katika muda mfupi sana kutokana na ajali ambazo zingeweza kuzuilika.
  Haya masuala yanahitaji ufumbuzi kwenye Jamii yetu ndugu zangu.
  Ahsanteni.
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Asante sana ndugu yangu, umeleta mada nzuri katika nia njema ya kuokoa kizazi na jamii ya waishio hapa nyumbani....!
  wapo watakaopinga mada yako but all in all the truth is........ "tuzuie ajali kadri inavyowezekana..."
   
Loading...