Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Kwa waarabu sitoelewa kabisa Kwa kuwa hadi Leo wanawatesa Dada zetu huko Dubai japo wamekenda kujitaftia riziki ila wanatupwa gorofani wanaunguza Kwa Maji ya moto nk.
 
Mkuu Pasco,
Vipi mbona hujatutajia mashujaa wetu waliouza watumwa kwa waarabu kisha waarabu wakawauza watumwa hao kwa wazungu?
Je unaweza kutuambia waliuwawa vipi mashujaa wa vita ya majimaji?
Ni kweli kabisa waarabu walikuwa madhalimu lakini je kuna udhalimu kuliko waliofanyiwa wakiwa Marekani?
Ama tunajisahaulisha kwamba meli zilizowachukua watumwa Zanzibar zilikuwa na bendera za Union Jack?
Ama tunajisahaulisha zaidi kwamba kulikuwa na Triangular Slave Trade.
Ama kwa kumalizia hivi Transatlantic Slave ilitokana na nini?
 
Maadui wa biashara ya utumwa ni waarabu. Lakini athari ya biashara ya utumwa kaitafute brazil, USA, jamaica.

Mzungu hawezi kumzungumzia Muarabu kwenye biashara ya utumwa wakati yeye ndie muhusika mkuu. Kote nikatika kujisafisha tu.
 
Pamoja na nondo zote hizi, bado watabisha kabisa, pamoja na kuwa weusi tii, bado watadai wametoka Oman!
Utumwa mbaya sana aise...
 
Wote wazungu na waarabu wamehusika kwenye utumwa. Ila leo mwafrika utaishi kwa raha nchi ya kizungu kuliko nchi ya kiarabu. Ukatili wanaofanya waarabu kwa waafrika leo mzungu hawez fanya.
 
Zile picha zake Pasco atuambie atupe ushahidi kama matukio yale yalifanyika Zanzibar na Mwarabu yuko wapi katika hizo picha na huyo mpiga picha alipigwswa nani na akiachiliwa tu achore na kupiga picha bila kuteswa yeye
 
Arguments zote zinazoletwa hapa chimbuko lake ni udini uliomoyoni mwenu..! Ni upuuzi kumtetea mwarabu au mzungu kwa mabaya waliyotufanyia sisi waafrika..!
Awe mzungu or mwarabu as long as amehusika katika biashara hiyo ya kidhalimu hakuna sababu yoyote ya kujaribu kufifisha makosa hayo kwasababu ya kuwa na imani moja..!
Kutokana na komenti zilizotolewa hapa nakubaliana na yule aliyesema kuwa dini ni kama kirusi, ni kirusi kinacholeta ugonjwa wa akili mbaya sana..!

"it is normal for a bad man to do bad things, but it takes a religion for a good man to do a bad thing"

Ubavu
 
Hauna hoja yoyote ni ubaguzi tu,mbona watanzania wingi wanauwa,wanafungwa na kufanyiwa madhira mengi ya kutisha chini ya utawala wa CCM? Na bado mnachukua nchi,udharimu hauna rangi wala dini wala kabila,udharimu ni udharimu tuu,kwani aliyeua wazanzibar 2000 ni Sultan???acha unafki
Mwenzako anachambua Kisiasa na Kijamii.
Wewe unawaza mahusiano yako binafsi.
Kama ni ubaguzi je ni kwanini Wazanzibari waliungana na kufanya Mapinduzi dhidi ya utawala wa Mwarabu.
Wangekuwa na fikra kama zako wangetawaliwa hadi leo hii.
Hata Wazungu Wakoloni nao hawakuwa watu wazuri, waliwaua Babu zetu bila hatia ktk nchi yao ili wawatawale kinguvu
Mwenzako anachambua madhila ya Waarabu wavamizi wewe unawaangalia Waarabu walioleta dini ya Uislamu.
Soma mada na changia kutokana na maudhui yake, punguza ubinafsi.
Mbona Waarabu wa sasa na wahindi akina Raza na Manji tunawapenda.
Mada inazungumzia÷

"Madhira ya Wavamizi wa Kiarabu Zanzibar"

wewe unaingiza urafiki wako kwao.
Utafeli Mitihani wewe.
 
Mwenzako anachambua Kisiasa na Kijamii.
Wewe unawaza mahusiano yako binafsi.
Kama ni ubaguzi je ni kwanini Wazanzibari waliungana na kufanya Mapinduzi dhidi ya utawala wa Mwarabu.
Wangekuwa na fikra kama zako wangetawaliwa hadi leo hii
.
Hata Wazungu Wakoloni nao hawakuwa watu wazuri, waliwaua Babu zetu bila hatia ktk nchi yao ili wawatawale kinguvu
Mwenzako anachambua madhila ya Waarabu wavamizi wewe unawaangalia Waarabu walioleta dini ya Uislamu.
Soma mada na changia kutokana na maudhui yake, punguza ubinafsi.
Mbona Waarabu wa sasa na wahindi akina Raza na Manji tunawapenda.
Mada inazungumzia÷

"Madhira ya Wavamizi wa Kiarabu Zanzibar"

wewe unaingiza urafiki wako kwao.
Utafeli Mitihani wewe.

Wazanzibari hawakufanya mapinduzi. Mapinduzi yalifanywa na Nyerere.

Wazanzibari mpaka leo wanatawaliwa, Katoka mkoloni mweupe (Muengereza) Kaja mkoloni Mweusi (Mtanganyika)
 
Wazanzibari hawakufanya mapinduzi. Mapinduzi yalifanywa na Nyerere.

Wazanzibari mpaka leo wanatawaliwa, Katoka mkoloni mweupe (Muengereza) Kaja mkoloni Mweusi (Mtanganyika)
Kwa hiyo ile Sherehe ya kukumbuka Mapinduzi ya Zanzibar inayoadhimishwa tarehe 12 January kila mwaka hadi kombe la Mapinduzi linagombewa, je ni Sherehe ya Kiinimacho ?
Au na wewe unaangalia mtazamo wako binafsi...!
 
Punguza bangi Pasco naifahamu vizuri historia ya utumwa, usichanganye siasa na maswala ya utumwa, wale kina Juma Duni Haji ni CUF die harder sioni any connection ya uarabu wowote walionao, kama sharti Zanzibar itawaliwe na ccm tu basi na ieleweke hivyo kuliko kupoteza pesa za kufanyia uchaguzi.

Pili hayo madai ya Beit al Jaib unaweza kuyathibitisha vipi ukweli wake? Na kama unataka kuweka historia very clear ni kwa nini usemi ukweli Sultan ambaye ni mwislamu ndiye alitowa eneo la mkunazini bure na kujengwa kanisa kuu la Anglican?

Hata kama unasoma sana acha ujanja ujanja wa kuungaunga historia, pale Mkunazini mimi nimeingia kote chini kwenye zile caves ambazo zilikuwa zinaanzia marikiti darajani na zilikuwa ni transit caves na baada ya biashara ya utumwa kupigwa marufuku aliyetowa pesa za kuwakomboa watumwa wote ni Dr Livingston.

Ninachowashangaa wanafki wa Tanzania ni kuiabudu dini ya mwarabu na kumuabudu mtume mwarabu then kuiabudu lugha ya kiarabu halafu ati halafu unamchuki mwarabu, hii inahitaji PHD ya ziada kuzielewa akili za waislamu hawa, is total nonsense.
Hakuna dini ya mwarabu ...watu wa mwanzo kumpinga mtume walikuwa n waarabu ....

Pili ...uislamu haujachukua chochote ktk culture ya waarabu ila lugha ....uislamu na uarabu n mbingu na ardhi ...uislamu ulikuja kufuta fikra za kishenz za utaifa ..na kuwataka watu waungane juu ya hakuna apasae kuabudiwa isipokuwa Allah na Muhammad n mjumbe na mtume wake wa mwsho bas...na kufuata itikad hiyo ...so mchina wa Guangzhou n ndugu yetu ila mwafrica mwenye kuuping uislamu hta ka tumezaliwa tumbo moja s ndg yetu ....hatumrith haturith ...hatumzk hatuzk .....akifa hatumuombei msamaha ...it is called al wala wal baraa ...love and hate for the sake of Allah ....so nmerekebisha kaul yko
 
Mwenzako anachambua Kisiasa na Kijamii.
Wewe unawaza mahusiano yako binafsi.
Kama ni ubaguzi je ni kwanini Wazanzibari waliungana na kufanya Mapinduzi dhidi ya utawala wa Mwarabu.
Wangekuwa na fikra kama zako wangetawaliwa hadi leo hii.
Hata Wazungu Wakoloni nao hawakuwa watu wazuri, waliwaua Babu zetu bila hatia ktk nchi yao ili wawatawale kinguvu
Mwenzako anachambua madhila ya Waarabu wavamizi wewe unawaangalia Waarabu walioleta dini ya Uislamu.
Soma mada na changia kutokana na maudhui yake, punguza ubinafsi.
Mbona Waarabu wa sasa na wahindi akina Raza na Manji tunawapenda.
Mada inazungumzia÷

"Madhira ya Wavamizi wa Kiarabu Zanzibar"

wewe unaingiza urafiki wako kwao.
Utafeli Mitihani wewe.
Hiyo ndio chumvi mlolishwa Mwarabu alokaa palace alikuwa kama chui wa karatasi mambo yote ni ya Mzungu pale Ikulu ambayo ndio makao makuu ya mtendaji mkuu wa serikali yaani Chief Minister alikuwa ni Mzungu na bendera hii
819645722232fe0bec81d81d06767a61.gif

Bendera ya British Protectorate
Na Tanganyika hali kadhalika.
Sultan alikuwa hana hata power ya kupanga au kuruhusu matumizi ya Nyumba yake.
 
Kwa hiyo ile Sherehe ya kukumbuka Mapinduzi ya Zanzibar inayoadhimishwa tarehe 12 January kila mwaka hadi kombe la Mapinduzi linagombewa, je ni Sherehe ya Kiinimacho ?
Au na wewe unaangalia mtazamo wako binafsi...!

Sherehe za Mapinduzi ni sherehe za CCM si sherehe Za Zanzibar.
Mapinduzi ya Zanzibar yalifanywa na Nyerere Na chama chake cha CCM ndicho kinachoyaadhimisha mapinduzi yake.
 
Nafikiri ni bora upitie tena source ya historia yako uliofundishwa. Hizi kasumba zenu kwa waarabu zitawatoa roho. Ni kweli wapo waarabu waliojihusisha kwenye biashara ya Utumwa.... Lakini sio hivo mnavotoka kuichora picha kana kwamba mwarabu ndie mtu mshenzi kabisa, kama baadhi ya wachangiaji hapa jamvini wanavojidai, wamesahau kama Tanganyika ilitawaliwa na mjerumani na muingereza? hawakuwafanya watumwa na kuwauza? Mbona hamuleti historia hio?

anyways ni wapi umesoma kua kila nguzo kwenye Bait al ajab kuna mwili wa mwafirika? :D this is funny, kwa sababu kuna stori nyengine Bungi Bi Khole, wenye chuki na waarabu wakajidai kuwa huyu bi khole alikuwa akifanya ngono na watumwa kisha akiwakata uume, halafu wakasema kuwa eti kila Muembe ulioko Bungi, basi kilizkwa na kichwa cha mtumwa :D :D :D

Wanajaribu kumchora mwarabu kuwa ni mbaya, wakati sultani alikuwa kivuli tu, na muingereza ndie aliekuwa akiratibu kila kitu
 
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Back
Top Bottom