chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
Wafrika hatuwezi kujitawala,wafrika tunafikiri kutumia nguvu ndio kuongoza,Ukishakuona raisi au mtawala analindwa na bunduki ujue hapo hapana kiongozi...kwanini ulinzi uwe mkubwa wakati anaowaongoza wanampenda????Paskali,
Huyo Mwarabu unaemwita dhalim ameondoka Zanzibar hana damu ya mtu
inayotiririka kutoka katika vidole vyake.
Huyo Mwarabu dhalim hakupata kuwa na jela ya mauaji na mateso Zanzibar.
Huyo Mwarabu dhalim alitembea Zanzibar yote bila askari wa kumlinda na
bunduki.
Uko wapi udhalim wake?
Mauaji na jela za mateso unamjua aliyezianzisha?
Abeid Amani karume alikuwa anawakimbia walinzi wake kwasababu allikuwa anajiamini wananchi wanampenda,alijiamini kuwawananchi wanamlinda hawezi kudhuriwa na anaowatala...