Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

Mkuu usikubali kutekwa na wapumbavu wachache wanaotugawa. Sio culture, wala jiographia inayotutofautisha tusio waislamu na waislamu. Waislamu ni sawa na wewe, wana upendo kama wewe, wana akili kama wewe, ni wastaarabu kama wewe, na uislamu ni upendo. Kitu ambacho tunapaswa kujua ni kuwa kuna watu wachache kwa maslahi yao binafsi wanautumia uislamu kuwagawa watanzania, na hata watu wa mataifa mengine.


Like like!!!!!!
 
Tembeleeni na hii blog "MFUMOKRISTO@BLOGSPOT.COM" mtapata vitabu vingi kama vile cha nyerere kanisa katoliki na uislamu na vitabu vingine vingi 2
 
Ww mohamed said ndio msomi unayempotosha ponda... Rudi ujbu hoja za nguruvi3 vnginevyo mods naomba mfunge huu uzi ni uchochezi
 
Halafu wewe zee Mohamed Nyerere hakuishie mdomoni hata tukio lililotokea jana utasema Nyerere yumo, mfano hapo unatwambia mwaka 1993 mlipigwa na polisi, Nyerere alikuwa nani kipindi hicho? Acha hisia zenu za ki arabu hizo bhana
 
ntakuja kucomment tena baadae kidogo GAIDI WAKUBWA NYIE kila siku kuonewa nyie tuuu................watu mnakwenda madrasa tuu mnataka haki sawa, shabaash!
 
ntakuja kucomment tena baadae kidogo GAIDI WAKUBWA NYIE kila siku kuonewa nyie tuuu................watu mnakwenda madrasa tuu mnataka haki sawa, shabaash!

hahahaha
mtu maskin siku zote atamwona tajiri kama anamnyonya
mtu asiye na elimu atamwona mwenye elimu kama mmbaya/adui yake
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom