Udhalilishwaji! Semina za sensa za endelea japokua ni sikukuu ya Idd

hili swali linatoka kwenye kichwa chenye ubongo kama wa jogoo aliyeliwa kwenye pilau leo.

Gomeni ili siku ya mapumziko iwe ijumaa na alihamisi. . . Gomeni kupumzika jpili, nendeni kazini kama kawa, then ijumaa mnakuwa hamuendi.

Mkuu wana UGONJWA mbaya sana, unaosababishwa na elimu ya kitabu chao na unarithiwa kizazi hadi kizazi,unaitwa ACQUIRED INTELLIGENCE DEFICIENCY SYNDROME 'AIDS' wasameheeee...
 
This is the best answer indeed. Wakristo wanapumzika kwa sababu ni maagizo kwao na waislamu wanaendelea na kazi kwa sababu dini yao inawaagiza hivyo. Yaani huyo jamaa anataka pia "usawa" katika hili? Haiwezekani. Hebu aishauri Serikali ifanyeje tofauti na ilivyo bila kuathiri dini mojawapo?

Hivi kwa nini Pro-Chadema wengi JF wana upeo mdogo wa kuelewa mambo...mie nimeuliza kutaka kujua nani aliyepanga jumapili iwe siku ya mapumzika kitaifa, wewe ulivyokuwa pumba unaniambia nataka usawa sijui usawa upi ambao nautaka...jibu swali langu.
 
Ritz mkuu

Nan alipanga siku ya ijumaa kuwa ya kazi?

Kama nitakosea nisahihishe japokuwa sitarajii.

Siku ya kuabudu wakristo katika biblia wanaambiwa wasifanye kazi wapumzike kwa maana ya kuomba tu.

Hebu tuambie kwa mujibu wa mafudisho ya mtume SAW, au kutoka kitabu kitukufu cha koraan, baada ya swala tunatakiwa kupumzika au kuenda kufanya kazi na kutafuta rizki?

Ni hayo mkuu wangu Ritz.

Mkuu kama umenisoma vizuri mie nimeuliza swali la msingi ni nani aliyepanga serikalini siku ya jumapili kuwa siku ya mapumziko kitaifa sijagusa dini ya mtu mkuu...na wala hakuna sehemu ambayo nimetaja waislam nao wapewe siku ya mapumziko..

Nakujibu swali lako la msingi katika uislam siku za mapumzika kwa mwaka ni vipindi viwili vya Eid..Eid Mubarak (Iddi ndogo) na Eid El Hajj (Iddi kubwa) siku zingine ni kufanya kazi na kupata muda wa kufanya ibada.
 
hili swali linatoka kwenye kichwa chenye ubongo kama wa jogoo aliyeliwa kwenye pilau leo.

Gomeni ili siku ya mapumziko iwe ijumaa na alihamisi. . . Gomeni kupumzika jpili, nendeni kazini kama kawa, then ijumaa mnakuwa hamuendi.

Mtu akiwa mtupu anaweza kununua nguo zingine, lakini mtu anapokuwa uchi kiakili hakuna maarifa ya kumuongoza zaidi ya kumuombea kwa mungu.

Wapi nimesema waislam wanataka Ijumaa iwe siku ya mapumziko, wala waislam hawaitaji kupewa siku ya mapumzika katika wiki..

Jibu swali nani aliyepanga jumapili iwe siku ya mapumzika kitaifa na kwa nini iwe jumapili.
 
Katika hali isiyokua ya kawaida baadhi ya watendaji wa serikali wamewalazimisha waaislam kuhudhuria semina za sensa na uku wakijua ni sikukuu kwao na pia niwajibu ktk imani yao kuhudhuria ibada ya idd ktk misikiti yao...Haya ndo mambo wenzetu waaislam wanaona hawatendewi haki ktk nchi yao, vipi ingekua ni pasaka au X-MASS je isingekua ni mapunziko kwa wote? serikali ni lazima iwachukulie hatua watendaji wote waliojifanya hawajui nini kinachoendelea la sivyo NIGERIA like is very close to our country

Nani kalazimishwa?

Jana hakukuwa na semina, tulitangaziwa tu kuwa kwa mtu mwenye shida sana ya fedha kiasi hawezi kusubiri jumanne aende kwani mhasibu ameombwa kufanya kazi ili walio kwenye sikukuu wapate kafedha kwa kuwawezesha kuchinja bata.

Kama una hamu ya mizozo nenda kazozanie uteuzi wa ma-kadhi. Wenzio wapo misikitini wanamtukana mufti, hujachelewa
 
Mtu akiwa mtupu anaweza kununua nguo zingine, lakini mtu anapokuwa uchi kiakili hakuna maarifa ya kumuongoza zaidi ya kumuombea kwa mungu.

Wapi nimesema waislam wanataka Ijumaa iwe siku ya mapumziko, wala waislam hawaitaji kupewa siku ya mapumzika katika wiki..

Jibu swali nani aliyepanga jumapili iwe siku ya mapumzika kitaifa na kwa nini iwe jumapili.

Ni Las Mas Bobos, unasemaje
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ritz
Wastaarabu hushidana na kudebate kwa hoja. Masuala kutembea uchi... Sijui akili zimefanyaje hayana msingi tuendele majadiliano kwa aman tuu.

Turudi kwenye mjadala.

1. Hoja inahusu kuzalilishwa waislam (watanzania) kwa kufanya kazi siku ya sikuku ya idd.

Jana nilikuuliza maswali hukuyajibu.

1. Sijui mkata wa mawakala wa sensa unasemaje kuhusiana na sikukuu?

2. Walodhalilishwa ni watanzani sio waislam peke yao. Unawasemeaje wakristu ambao walihuzuria na ilikuwa jumapili?

2. Kwa kutaka kujua nan alipanga jumapili kuwa hiv na nan alipanga ijumaa kuwa vile jibu naswali yangu ya jana kisha tuendelee na mjadala.
 
Mkuu adolay,
Hujue maswali ya kipuuzi uwa yanajibiwa na majibu ya hivyo kuna member nimemjibu, soma alivyonijibu nadhani utajua kwa nini nimemjibu hivyo.

Mkuu kwenye suala la sensa hakuna udhalilishaji wowote uliofanywa sababu kubwa iliyowapeleka ni maslahi ya binafsi pamoja na posho hata wakiristo nao wamekwenda kwa sababu za kimaslahi binafsi posho, ndio maana unaona wote hawajalalamika.

Nadhani nimekujibu swali lako mkuu, na wewe nijibu swali langu nani aliyepanga jumapili iwe siku ya mapumziko na kwa nini alichagua jumapili.
 
Mkuu Rtz

Muungwana ni vitendo, napenda kuwa muungwana pia, nakukujibu kwa ufupi kabisa kwamba hata mimi SIFAHAM.

Sasa tunafanyaje kujuwa walopanga? Ni home work.

Kwa kawaida udadisi wowote huanza kwa nadhalia, kitu gani hasa kilikusukuma kufikia kwenye swali hilo?
 
Wala hakuna kilichonisukuma mpaka kuuliza swali uwa ikifika jumapili ukiwa na shida kwenye ofisi za serikali ofisi zote zinafungwa lakini tunashukuru mabenki binafsi wanafanya kazi siku hizi jumapili.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwa nini serikali walipanga jumapili iwe siku ya mapumziko kitaifa.
serikali inaheshimu dini za watu lakini yenyewe haindeshwi kwa mising ya dini. wakati wa kuanza semina watu walipewa mashariti. kama mtu alikubali malalamiko ya nini hapa? kwani wamesikia kuwa viongozi wa sensa ni wanawakilisha dini au dhehebu fulani?
 
ritz na odalay mmejadiliana vzr na kistaarabu sana, i wish jf ingekuwa na ustaarabu kama huu siku zote tungefika mbali.
Big up sana.
 
Tunaomba siku za mapumziko tena zenye mwelekeo wa ibada ziheshimiwe. Kuna tatizo lingine pia miaka yote siku ya kupiga kura kumchagua rais inakuwa Jumapili kama sijakosea hili nalo liangaliwe.

siku zote ni za Mungu. nafikiri imebainika wazi kuwa jumapili inafaa zaidi kwa shughuli hizi. pia hutokea baada ya kipindi kirefu na sidhani kama jambo hili linavunja uhusiano wa watu na Mungu wao
 
Katika hali isiyokua ya kawaida baadhi ya watendaji wa serikali wamewalazimisha waaislam kuhudhuria semina za sensa na uku wakijua ni sikukuu kwao na pia niwajibu ktk imani yao kuhudhuria ibada ya idd ktk misikiti yao...Haya ndo mambo wenzetu waaislam wanaona hawatendewi haki ktk nchi yao, vipi ingekua ni pasaka au X-MASS je isingekua ni mapunziko kwa wote? serikali ni lazima iwachukulie hatua watendaji wote waliojifanya hawajui nini kinachoendelea la sivyo NIGERIA like is very close to our country

usiegemee upande mmoja tu! jana ilikuwa juma pili ni siku ya ibada kwa wakristu pia nao hawakwenda ! lakini ukumbe mambo pia hugongana na siku za ibada na sikukuu kama chaguzi kuu nk. so usiwe biased sana ukaleta uchochezi wakati wenyewe wanaellewa umuhimu wa sensa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom