Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,495
- 9,275
Udhalilishaji kwa njia ya maneno unatokea pale ambapo Mzazi/Mlezi au Mtu aliye karibu na Mtoto anapotumia maneno yenye kumuumiza Mtoto Kihisia kwa nia ya kumuonya au kumdhibiti
Baadhi ya maneno yanayoweza kumdhalilisha Mtoto kwa kumuumiza hisia zake ni; Kumkemea au kumkaripia mbele ya hadhara ya Watu au Familia/Ndugu.
Kumuita Mtoto majina mabaya (Matusi) na majina mengine yasiyokuwa mazuri ikiwemo majina ya Wanyama. Kumwambia Mtoto hakuna Mtu anayempenda, Kumtishia au kumlaumu.