Udhaifu wako ni upi katika mapenzi?

Nadata na ukauzu wa Mwanaume, Uwe na pozi hadi kuongea haswa mbele za watu...Inapendeza sannaaaahHhh...Me husband wngu akininuniaga ndo napata Hamu ya kugegedwa yaan namuona mpya...

khaaa! utakuta basi huwa unamuudhi makusudi ilimradi kutimiza malengo yako.....
 
wadada wa jamii za kitusi kisomali na kihabesh wananitesa sana, sura zao nyembamba na ndefu mimi hoi jamani
 
Umefikia wapi kwenye ule mchakato wa kuunda wa choice yako? Naomba tenda ya kumpiga rangi tafadhali.
Mie hiyo mipingili pingili ya tumboni afu kifua kilichojaa na kiwe na vinyweleo... Awe mrefu na maji ya kunde... yeleuwiiiiii .... Nafwa mie!!!!!

bryan-shower-400x600.jpg
 
Udhaifu wako ni upi katika mapenzi ambao utakufanya mwanamke/mwanaume ku win your heart.

Be honest!!! Please

Awe tall, black, kifua cha kujazia kidogo, anayedeka, mjuzi wa mambo. Hapo mia yake siihitaji....
 
Udhaifu wako ni upi katika mapenzi ambao utakufanya mwanamke/mwanaume ku win your heart.

Be honest!!! Please

Awe tall, black, kifua cha kujazia kidogo, anayedeka, mjuzi wa mambo. Hapa mia yake siihitaji....
 
Back
Top Bottom