Udhaifu wa Vyama vya siasa East Africa, CHADEMA itapangua vikwazo vyote?

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Napenda kuchangia na wadau wa mambo ya siasa hususani za Tanzania kwa kutumia kipimo kipana zaidi cha afrika mashariki. Ripoti ya International Journal of Human Sciences ya mwaka 2009 ilisema kuwa mapungufu makubwa ya vyama vya upinzani africa mashariki ni:-

1. they are highly fragile and suffer from severe structural weaknesses.

2. they lack adherence to formal rules, regulations, procedures and programmes.

3. their leadership is centered on a dominant personality, family or clique. Decisions are usually made only by the top leader (s). Moreover, followers of such parties identify the leaders with the party and show their loyalty solely to the party leader and not to the party’s ideology.

4. they are in a cycle of endless “fusion and fission”. This makes the opposition parties to be short-lived.

5. they suffer from severe financial shortage. Their financial problem hindered them from recruiting and retaining “qualified staff to manage the business of the party.”

6. they suffer from lack of mass membership. Due to the repressive rules, many people do not want to be associated with the opposition parties.

7. most of the opposition parties hibernate in the period between elections. They become active only during election times.

Najua kwa dhati na 7, 6, 5 CHADEMA imekwisha faulu, je vipengele 1, 2, 3, 4?
 
Ndugu yangu, katika hayo yote hakuna kipingamizi chochote kwa CDM, Embu jaribu kuangalia kwa jicho pana lisilo na upendeleo wala usuda wa chama chochote ni nini hasa CDM wanakosa. Hadi sasa CDM ndiyo chama pekee kilichojipambanua kuwa ndiyo chama pekee kinachotetea maslahi ya wanyonge hapa Tanzania.
 
Tumewambia CDM waandae makatibu na wenyeviti wilaya na mikoa kuwa na uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara na kuelimisha wananchi kama wanavyofanya sasa wale wa kitaifa, bila ya kufanya hivyo majimbo mengi bado yataenda CCM kwa kura halali au kwa wizi, je huoni item 3 unatukaba sana???
 
Ndugu yangu, katika hayo yote hakuna kipingamizi chochote kwa CDM, Embu jaribu kuangalia kwa jicho pana lisilo na upendeleo wala usuda wa chama chochote ni nini hasa CDM wanakosa. Hadi sasa CDM ndiyo chama pekee kilichojipambanua kuwa ndiyo chama pekee kinachotetea maslahi ya wanyonge hapa Tanzania.
sina shaka na hilo lakini bongo hapa magamba wanatumia sana udhaifu kuendelea kukaa madarakani
 
This time niko sure kwamba pamoja na 7, 6, 5 za hapo awali sasa 1, 2, 3, 4 nazo CDM iko fit. We are about to cross the line most opposition parties have not crossed in EA without civil violence to emerge.
 
umenifurahisha sana kwa kutukumbusha hili , mwanzoni ilikuwa ngumu sana lakini sasa hivi hata katibu kata wa cdm anaweza kuitisha mkutano na ukajaa watu hadi ukashangaa , tena bila hata viongozi wa wilaya au wa kitaifa ! Piiipooooozzz !!!!
 
Back
Top Bottom