Udhaifu wa Ulinzi na Usalama wa Nchi ya Tanzania huu hapa

Fanya kazi wewe acha kuwaza Mambo ambayo hayakuhusu wenye kazi zaoo wanajua wanafanya nini usiwafundishe namna ya kufanya kazi

Meremeta, escrow, dowans, kagoda, gesi mtwara, twiga wazima kupelekwa nje, mipaka kua wazi muda wowote watu kuingia na kutoka kama watakavyo, gesi ya mtwara, madini ya dhahabu, huko kote piga makofi na vigelegele unadhani wanajua kila kitu sio?
 
Yaani watetezi wa legacy hamuishiwi kila siku mnazua jipya

Nifuatilie vizuri nilimpinga magufuli akiwa hajafa hadi amekufa nilimpinga hasa alivyominya uhuru wa habari na kujieleza, alivyokua anaendesha uchumi wa nchi, jifunze kutetea nchi na sio kumtetea Rais kwani anaweza kuondoka muda wowote, jifunze kuisemea nchi kwa kutoogemea chama chochote kwani Tanzania itakuepo hiyo ccm haitokuepo milele wala chadema haitokuepo milele jiulize vizazi vitakavyokuja vikute kumbe mababu zetu waliuza Rasilimali gesi kwa gharama ya mbuzi hivi kitatokea nini unadhani
 
Enzi za JK idara ilikuwa dhohofu mno, alivyoingia JPM idara ilisawazisha makosa mengi ikarudi katika umaridadi wake awamu hii ya mama naiona idara ikirudi kule ilipotoka

Wao wanatakiwa wasimame imara kwani dhamana ya nchi hii iko kwao wasiishie kuimba tu ulinzi na usalama uko vizuri tunataka waseme ulinzi wa Rasilimali za nchi uko vizuri na wananchi wako salama
 
Nifuatilie vizuri nilimpinga magufuli akiwa hajafa hadi amekufa nilimpinga hasa alivyominya uhuru wa habari na kujieleza, alivyokua anaendesha uchumi wa nchi, jifunze kutetea nchi na sio kumtetea Rais kwani anaweza kuondoka muda wowote, jifunze kuisemea nchi kwa kutoogemea chama chochote kwani Tanzania itakuepo hiyo ccm haitokuepo milele wala chadema haitokuepo milele jiulize vizazi vitakavyokuja vikute kumbe mababu zetu waliuza Rasilimali gesi kwa gharama ya mbuzi hivi kitatokea nini unadhani
Kuna binadamu hajui kama Rais ni wa muda lakini Tanzania ni ya vizazi na vizazi.
 
Njaa ya vijana wengi na kukosa kujiamini kwa kumendea teuzi zinafanya wageuke kua chawa wa wanasiasa na wafuasi wa watu na sio wafuasi wa nchi yao ndio maana vizazi vya viongozi makini kama kwame nkurumah, patrice lumumba, mandela, Nyerere, Fidel Casto, che Guevara, Samora machel, hutokuja kuviona kamwe kwani tunapata viongozi vibaraka tu, nchi ya Vietnum iliyofuata mbegu za miche ya korosho na michikichi leo ni wazalishaji wakubwa wa korosho duniani kuliko sisi ambao tuliwapa mbegu na wameweza kutumia jeshi lao kumiliki halotel ambayo wamewekeza kwetu na wanavuna mabilioni ya shilingi ukumbuke halotel inamilikiwa na jeshi lao hapo utaona sasa chain ilivo
 
Ujinga mwingi vichwani, wengi tunawaza kusoma, kuajiriwa, kujenga, kuoa, kuzaa watoto na kusubiri kufa(maisha ya kati). Hatuwazi kufanya mapinduzi katika nyanja mbalimbali ili vizazi vijavyo visije kuishi kama tunavyoishi sisi.
 
Kwanza hapa Magufuli alijitahidi kiasi chake kuhakikisha JWTZ , Police, TISS , PCCB hawa wote washiriki kwenye ulinzi wa Rasilimali za nchi hii Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni huyu mzee alikua na vision kubwa na hivyo vyombo kuhakikisha vinahama kufanya kazi za kizamani na kujikita kwenye uchumi na ndio maana baada ya yeye kufa hali imekua mbaya zaidi.
1.MIPAKA
Mipaka ya nchi yetu iko wazi mno na ukipita ukaguzi mnaofanyiwa ni kama vile haupo kabisa tofauti na nchi jirani kwa mfano border ya Rusumo , upande wetu kama vile wanacheza tu lakini upande wa Rwanda utakaguliwa begi kimakini sana na uoneshe umebeba nini na wakikutilia mashaka utaona unakaa jirani na mtu alievaa kiraia utakakokwenda hotel unayofikia nae anafikia hapo atakumonitor akijiridhisha anaondoka , hali kadhalika Namanga upande wa kenya unakaguliwa kwa umakini sana lakini kwetu ni hakuna ukaguzi watu wanaingi tu kama vile chooni hapo inakua rahisi kufanyiwa ujasusi au hata uingizwaji wa silaha kinyemela.
Mpakani ndio lango kuu la nchi lakini mipaka kama silari, munanila, mugoma, kabanga, tangazo, mutukula mgeni anaweza kuingia bila kugonga pass ya kusafiria na nimeshuhudia mara nyingi sana hilo.

2: MAKAZI KWA WAGENI
( Lodges &Guest Houses)
Hapa pana changamoto kubwa sana nchi nzima kwenye wimbi la ugaidi duniani bado unakuta mgeni anapewa ajiandikie jina kwenye kitabu cha wageni na wakati ilitakiwa mgeni atoe kitambulisho halafu muhudumu aandike majina yake mwenyewe kwani mgeni anaweza kuandika taarifa za uongo na akatekeleza uhalifu na asipatikane kabisa.
Hapa hadi hotel kubwa nyingine za nyota tano haziombi kitambulisho cha mgeni kama pass ya kusafiria ili wanakili jina na namba za hati ya kusafiria hii ni hatari mnaweza nchi nzima kulala na magaidi na majambazi kutoka nchi nyingine na bado msifanye kitu.

3: MASHULENI NA VYUONI
Huko sasa kumeoza sana wageni wengi wananufaika hadi na mikopo ambapo baadae hawalipi huondoka zao kwenda kutumikia nchi zao na sitotaja nchi lakini imekua ni jambo la kusikitisha sana kwa nini mgeni apate mkopo asilimia 100 asome akimaliza anawaachia deni lenu anaenda kutumikia nchi aliyozaliwa hapa mifumo yetu inaudhaifu wa kiutendaji.

4: UMILIKI WA ARDHI KWA WAGENI KIHOLELA
Eneo hili nalo tunatia aibu haiwezekani mgeni anaweza kufika Tanzania akitokea comoro atasema ni mpemba au muunguja atanunua ardhi na atajenga na ataimiliki ninyi mmelala tu au anatokea Rwanda au kenya ananunua ardhi kisa tu kaoa mtanzania au atakodi mashamba kupitia wazawa atalima, atavuna na ataondoka zake sasa unajiuliza hadi unashangaa haya yanatokeaje ilihali idara zote zimelala kimya lazima muamke sasa kama kaingia kama mwekezaji sawa lakini Kigezo cha mwanamke wa Tanzania kutumika kuuza ardhi sio sawa hakikisheni mnabadili sheria hata mgeni akioa bila kua raia asimiliki ardhi hili ni muhimu sana.

4:MAKAMBI YA WAKIMBIZI KUTUMIWA KIJASUSI
mikoa yenye makambi ya wakimbizi hii imekua hatari sana kwani ni uwanja rahisi sana kwa nchi kadhaa kufanyia ujasusi dhidi ya nchi yetu kwa mfano kuna nchi moja hua ikikosa chakula inatumia mbinu ya kutumia wakimbizi wake kutafuti zao gani wao hawana hivo serikali yao baada ya taarifa hutoa pesa nyingi kwa wafanyabiashara wao kununua lile zao kwa wingi na kupeleka kwao na baadae wanajitosheleza kwa chakula huku ninyi mkibaki mnalia na njaa yenu.

5: DORIA ZA MAJINI BADO HAZITOSHI (maziwa na Bahari)
Ziwa Nyasa, Ziwa Tanganyika, ziwa victoria, Ziwa Rukwa, Bahari Ya Hindi huko kote kuna mambo ya ajabu yanaendelea si ajabu kuvushwa kwa silaha haramu au mizigo haramu kutoka malawi kuingia Tanzania, kutoka Congo kuingia Tanzania huko nguvu iongezwe nchi hii sio uchochoro.
NB: kama Raia wa kawaida anaweza kuona hayo kwa haraka basi vyombo vya ulinzi kupitia weledi wenu mnayaona vyema ni vizuri kuongeza nguvu na umakini japo suala la ulinzi ni gharama tusiishie kutunga sheria za bange ni jinai huku nchi inatafunwa hovyo, tusiishie kuwakimbiza chadema kama mbwa wakati mambo mengi huko yameachwa tu kisa mnafungua nchi hiyo sio sawa.
Neno moja kwako, jaribu kuingiza silaha hapa Nchini ndo utajua kama vyombo vya ulinzi na usalama vimelala ama la!otherwise hayo uloandika hapo ni hisia tu na sio uhalisia
 
Unazungumzia nchi ya viongozi wapumbavu!
Tunaviongozi ambao hata kuongoza nyumba 10 zinawashinda et ndio viongozi wa kitaifa..

Unayakuta yanachekacheka tu kama yameshiba makande
Brain ni zeroo kabisa.

Kazi ni kuomba kura 2 na kung'ang'ania kutawala
 
Enzi za JK idara ilikuwa dhohofu mno, alivyoingia JPM idara ilisawazisha makosa mengi ikarudi katika umaridadi wake awamu hii ya mama naiona idara ikirudi kule ilipotoka
Mlizoea kufanya kazi kwa uoga na sio WELEDI. Idara inafanya kazi kwa umakini sana na sio mihemko kijana. Achana na hizo propaganda, kazi zote zina sheria na taratibu zake sio matamko ya mtu mmoja mzee.
 
Unazungumzia nchi ya viongozi wapumbavu!
Tunaviongozi ambao hata kuongoza nyumba 10 zinawashinda et ndio viongozi wa kitaifa..

Unayakuta yanachekacheka tu kama yameshiba makande
Brain ni zeroo kabisa.

Kazi ni kuomba kura 2 na kung'ang'ania kutawala
Mkuu UMASIKINI WAKO USITUAMBUKIZE WENGINE, HIZO CHUKI ZA KIMASIKINI BOYA WEWE. UNATAKA WATU WANUNE ILI IWEJE? WE UNADHANI NCHI HII WOTE NI WALINZI KAMA WEWE??
 
Kwanza hapa Magufuli alijitahidi kiasi chake kuhakikisha JWTZ , Police, TISS , PCCB hawa wote washiriki kwenye ulinzi wa Rasilimali za nchi hii Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni huyu mzee alikua na vision kubwa na hivyo vyombo kuhakikisha vinahama kufanya kazi za kizamani na kujikita kwenye uchumi na ndio maana baada ya yeye kufa hali imekua mbaya zaidi.
1.MIPAKA
Mipaka ya nchi yetu iko wazi mno na ukipita ukaguzi mnaofanyiwa ni kama vile haupo kabisa tofauti na nchi jirani kwa mfano border ya Rusumo , upande wetu kama vile wanacheza tu lakini upande wa Rwanda utakaguliwa begi kimakini sana na uoneshe umebeba nini na wakikutilia mashaka utaona unakaa jirani na mtu alievaa kiraia utakakokwenda hotel unayofikia nae anafikia hapo atakumonitor akijiridhisha anaondoka , hali kadhalika Namanga upande wa kenya unakaguliwa kwa umakini sana lakini kwetu ni hakuna ukaguzi watu wanaingi tu kama vile chooni hapo inakua rahisi kufanyiwa ujasusi au hata uingizwaji wa silaha kinyemela.
Mpakani ndio lango kuu la nchi lakini mipaka kama silari, munanila, mugoma, kabanga, tangazo, mutukula mgeni anaweza kuingia bila kugonga pass ya kusafiria na nimeshuhudia mara nyingi sana hilo.

2: MAKAZI KWA WAGENI
( Lodges &Guest Houses)
Hapa pana changamoto kubwa sana nchi nzima kwenye wimbi la ugaidi duniani bado unakuta mgeni anapewa ajiandikie jina kwenye kitabu cha wageni na wakati ilitakiwa mgeni atoe kitambulisho halafu muhudumu aandike majina yake mwenyewe kwani mgeni anaweza kuandika taarifa za uongo na akatekeleza uhalifu na asipatikane kabisa.
Hapa hadi hotel kubwa nyingine za nyota tano haziombi kitambulisho cha mgeni kama pass ya kusafiria ili wanakili jina na namba za hati ya kusafiria hii ni hatari mnaweza nchi nzima kulala na magaidi na majambazi kutoka nchi nyingine na bado msifanye kitu.

3: MASHULENI NA VYUONI
Huko sasa kumeoza sana wageni wengi wananufaika hadi na mikopo ambapo baadae hawalipi huondoka zao kwenda kutumikia nchi zao na sitotaja nchi lakini imekua ni jambo la kusikitisha sana kwa nini mgeni apate mkopo asilimia 100 asome akimaliza anawaachia deni lenu anaenda kutumikia nchi aliyozaliwa hapa mifumo yetu inaudhaifu wa kiutendaji.

4: UMILIKI WA ARDHI KWA WAGENI KIHOLELA
Eneo hili nalo tunatia aibu haiwezekani mgeni anaweza kufika Tanzania akitokea comoro atasema ni mpemba au muunguja atanunua ardhi na atajenga na ataimiliki ninyi mmelala tu au anatokea Rwanda au kenya ananunua ardhi kisa tu kaoa mtanzania au atakodi mashamba kupitia wazawa atalima, atavuna na ataondoka zake sasa unajiuliza hadi unashangaa haya yanatokeaje ilihali idara zote zimelala kimya lazima muamke sasa kama kaingia kama mwekezaji sawa lakini Kigezo cha mwanamke wa Tanzania kutumika kuuza ardhi sio sawa hakikisheni mnabadili sheria hata mgeni akioa bila kua raia asimiliki ardhi hili ni muhimu sana.

4:MAKAMBI YA WAKIMBIZI KUTUMIWA KIJASUSI
mikoa yenye makambi ya wakimbizi hii imekua hatari sana kwani ni uwanja rahisi sana kwa nchi kadhaa kufanyia ujasusi dhidi ya nchi yetu kwa mfano kuna nchi moja hua ikikosa chakula inatumia mbinu ya kutumia wakimbizi wake kutafuti zao gani wao hawana hivo serikali yao baada ya taarifa hutoa pesa nyingi kwa wafanyabiashara wao kununua lile zao kwa wingi na kupeleka kwao na baadae wanajitosheleza kwa chakula huku ninyi mkibaki mnalia na njaa yenu.

5: DORIA ZA MAJINI BADO HAZITOSHI (maziwa na Bahari)
Ziwa Nyasa, Ziwa Tanganyika, ziwa victoria, Ziwa Rukwa, Bahari Ya Hindi huko kote kuna mambo ya ajabu yanaendelea si ajabu kuvushwa kwa silaha haramu au mizigo haramu kutoka malawi kuingia Tanzania, kutoka Congo kuingia Tanzania huko nguvu iongezwe nchi hii sio uchochoro.
NB: kama Raia wa kawaida anaweza kuona hayo kwa haraka basi vyombo vya ulinzi kupitia weledi wenu mnayaona vyema ni vizuri kuongeza nguvu na umakini japo suala la ulinzi ni gharama tusiishie kutunga sheria za bange ni jinai huku nchi inatafunwa hovyo, tusiishie kuwakimbiza chadema kama mbwa wakati mambo mengi huko yameachwa tu kisa mnafungua nchi hiyo sio sawa.
Mkuu umeongea masuala muhimu na nyeti sana ya nchi hii.

Ila ningekushauri urudi tena uandike hoja yako kwa undani zaidi na uweke vielelezo kusaidia zaidi hoja yako maana ni namba moja tu umetoa angalau mfano wa upekuzi wa mabegi.

Mfano namba 2 ni hoteli au nyumba zipi za wageni umeona orodha za wageni ambao hawakutoa vitambulisho.

Mfano wa namba 3 UMILIKI WA ARDHI KIHOLELA ungetoa takwimu au vilelezo kusaidia hoja yako kwa kutoa mifano ni mashamba yepi yamenunuliwa au kumilikishwa kwa wageni wepi na namba za vitalu.

Hili litaweza kumsaidia pia waziri msikivu William Lukuvi ili weze kuchunguza.

Mfano wa namba 4 ni nchi gani hiyo yatumia wakimbizi wake kufanya ujasusi juu ya mazao ya chakula nchini mwetu.

Pia hiyo tunaweza kuwa zipo kambi ambazo wakimbizi wanatorokea kwenda katika nchi ambazo ndiko walizikimbia na kisha kurudi nyakati za usiku. Pia matukio ya ujambazi kama kweli hayahusishi wakimbizi ambao wanapokimbilia kuja Tanzania huwa na silaha ambazo huzificha.

Mfano kwa namba 5 ni uvushaji wa bidhaa haramu au kupitia njia za panya kama kule Kyela ambako sukari huingizwa kinyemela hii yaweza kuwa mifano halisi, pamoja na shughuli zingine haramu dhidi ya nchi yetu.

Hii kitu uloleta ni muhimu sana na nyeti kwani yahusisha uchunguzi wa kina na ni katika yale anoshauri mkuu Paschal Mayala, kwamba tuje na kila kitu kwa asilimia 100.

Ni hayo tu mkuu ila bila shaka wahusika watasoma.

Tujaribu kuwa objective zaidi khasa pale tuzungumzapo na watu wale wenye mamlaka au madaraka maana wengi wamelewa na hawako tayari kusikiliza, ila uwekapo viungo muhimu kwenye upishi wa nyama yako ikanukia wenyewe wataifuata.
 
Kumiliki ardhi ni kawaida kwasababu kaoa mtanzania iyo ni sawa atazaa watoto ni wa ardhi iyo kizuri ardhi haiamishiki na ni mali ya jamhuri,na ipo kubwa tuu, anaemiliki ardhi ni mtanzania uyo mgeni kanunulia watoto wake ambao ni wazaliwa,
 
Kwanza hapa Magufuli alijitahidi kiasi chake kuhakikisha JWTZ , Police, TISS , PCCB hawa wote washiriki kwenye ulinzi wa Rasilimali za nchi hii Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni huyu mzee alikua na vision kubwa na hivyo vyombo kuhakikisha vinahama kufanya kazi za kizamani na kujikita kwenye uchumi na ndio maana baada ya yeye kufa hali imekua mbaya zaidi.
1.MIPAKA
Mipaka ya nchi yetu iko wazi mno na ukipita ukaguzi mnaofanyiwa ni kama vile haupo kabisa tofauti na nchi jirani kwa mfano border ya Rusumo , upande wetu kama vile wanacheza tu lakini upande wa Rwanda utakaguliwa begi kimakini sana na uoneshe umebeba nini na wakikutilia mashaka utaona unakaa jirani na mtu alievaa kiraia utakakokwenda hotel unayofikia nae anafikia hapo atakumonitor akijiridhisha anaondoka , hali kadhalika Namanga upande wa kenya unakaguliwa kwa umakini sana lakini kwetu ni hakuna ukaguzi watu wanaingi tu kama vile chooni hapo inakua rahisi kufanyiwa ujasusi au hata uingizwaji wa silaha kinyemela.
Mpakani ndio lango kuu la nchi lakini mipaka kama silari, munanila, mugoma, kabanga, tangazo, mutukula mgeni anaweza kuingia bila kugonga pass ya kusafiria na nimeshuhudia mara nyingi sana hilo.

2: MAKAZI KWA WAGENI
( Lodges &Guest Houses)
Hapa pana changamoto kubwa sana nchi nzima kwenye wimbi la ugaidi duniani bado unakuta mgeni anapewa ajiandikie jina kwenye kitabu cha wageni na wakati ilitakiwa mgeni atoe kitambulisho halafu muhudumu aandike majina yake mwenyewe kwani mgeni anaweza kuandika taarifa za uongo na akatekeleza uhalifu na asipatikane kabisa.
Hapa hadi hotel kubwa nyingine za nyota tano haziombi kitambulisho cha mgeni kama pass ya kusafiria ili wanakili jina na namba za hati ya kusafiria hii ni hatari mnaweza nchi nzima kulala na magaidi na majambazi kutoka nchi nyingine na bado msifanye kitu.

3: MASHULENI NA VYUONI
Huko sasa kumeoza sana wageni wengi wananufaika hadi na mikopo ambapo baadae hawalipi huondoka zao kwenda kutumikia nchi zao na sitotaja nchi lakini imekua ni jambo la kusikitisha sana kwa nini mgeni apate mkopo asilimia 100 asome akimaliza anawaachia deni lenu anaenda kutumikia nchi aliyozaliwa hapa mifumo yetu inaudhaifu wa kiutendaji.

4: UMILIKI WA ARDHI KWA WAGENI KIHOLELA
Eneo hili nalo tunatia aibu haiwezekani mgeni anaweza kufika Tanzania akitokea comoro atasema ni mpemba au muunguja atanunua ardhi na atajenga na ataimiliki ninyi mmelala tu au anatokea Rwanda au kenya ananunua ardhi kisa tu kaoa mtanzania au atakodi mashamba kupitia wazawa atalima, atavuna na ataondoka zake sasa unajiuliza hadi unashangaa haya yanatokeaje ilihali idara zote zimelala kimya lazima muamke sasa kama kaingia kama mwekezaji sawa lakini Kigezo cha mwanamke wa Tanzania kutumika kuuza ardhi sio sawa hakikisheni mnabadili sheria hata mgeni akioa bila kua raia asimiliki ardhi hili ni muhimu sana.

4:MAKAMBI YA WAKIMBIZI KUTUMIWA KIJASUSI
mikoa yenye makambi ya wakimbizi hii imekua hatari sana kwani ni uwanja rahisi sana kwa nchi kadhaa kufanyia ujasusi dhidi ya nchi yetu kwa mfano kuna nchi moja hua ikikosa chakula inatumia mbinu ya kutumia wakimbizi wake kutafuti zao gani wao hawana hivo serikali yao baada ya taarifa hutoa pesa nyingi kwa wafanyabiashara wao kununua lile zao kwa wingi na kupeleka kwao na baadae wanajitosheleza kwa chakula huku ninyi mkibaki mnalia na njaa yenu.

5: DORIA ZA MAJINI BADO HAZITOSHI (maziwa na Bahari)
Ziwa Nyasa, Ziwa Tanganyika, ziwa victoria, Ziwa Rukwa, Bahari Ya Hindi huko kote kuna mambo ya ajabu yanaendelea si ajabu kuvushwa kwa silaha haramu au mizigo haramu kutoka malawi kuingia Tanzania, kutoka Congo kuingia Tanzania huko nguvu iongezwe nchi hii sio uchochoro.
NB: kama Raia wa kawaida anaweza kuona hayo kwa haraka basi vyombo vya ulinzi kupitia weledi wenu mnayaona vyema ni vizuri kuongeza nguvu na umakini japo suala la ulinzi ni gharama tusiishie kutunga sheria za bange ni jinai huku nchi inatafunwa hovyo, tusiishie kuwakimbiza chadema kama mbwa wakati mambo mengi huko yameachwa tu kisa mnafungua nchi hiyo sio sawa.
Lait ungejua Tanzania inakumbwa na majaribu mangap na yanazimwa na nchi inaendelea kuwa salama usingeleta huo uzi hapa! Nikukumbushe tu kuwa tz ni moja kati ya nchi inayowindwa na magaid sana lakini wamegonga mwamba! Unakumbuka mapango ya amboni? Unakumbuka kibit? Unakumbuka mtwara? Unadhani kwanini mpaka leo hayo maeneo yapo kimya? Ndugu majeshi yetu hayalali usiku na mchana ndiyo maana husikii milipuko ovyo kama nchi za wenzetu! Siyo lazima wafanye kazi kama unavyotaka unachotakiwa kujua ni unalala salama? Gesi yetu mtwara ipo salama? Tumepakana na msumbiji kila siku vita haiishi kwao lakini magaid hawasubutu kuvuka mipaka.
 
Kuna sehemu umeona nasema hawafanyi kazi yao kabisa hapana, sema dunia kwa sasa ina matishio ya uhalifu mkubwa na ugaidi tunatoa mawazo kwa yale ya kawaida tunayoyaona kwa mfano hapo Uganda unapoingia benki lazima ufanyiwe upekuzi uliona Tanzania mtu anapekuliwa muda wa kuingia benki ili hata asije akaingia na bomu la kurusha kwa mkono? Tukubali madhaifu ndio kujifunza na tusiyafunike kwa imani mambo yaliyo wazi
 
Kumiliki ardhi ni kawaida kwasababu kaoa mtanzania iyo ni sawa atazaa watoto ni wa ardhi iyo kizuri ardhi haiamishiki na ni mali ya jamhuri,na ipo kubwa tuu, anaemiliki ardhi ni mtanzania uyo mgeni kanunulia watoto wake ambao ni wazaliwa,

Unadhani mataifa yote inafanyika hivo?
 
Back
Top Bottom