Udhaifu wa Tulia Ackson katika suala la kuchana hotuba ya upinzani - Two Wrongs Don't Make it Right!

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,023
18,563
Nimeushangaa sana uamuzi wa Dr, Tulia Ackson kuhusu Mbunge wa CCM kuchana hotuba ya upinzani. Tulia, ambaye ni mwanasheria wa kiwango cha PhD, bila aibu ametetea uamuzi wake kwa kutoa kauli kwamba "Vuma hawezi kupelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu ya Bunge kwa kuwa kipindi cha nyuma mbunge wa Bunda (Chadema) Ester Bulaya aliwahi kurusha vitabu bungeni na kuvichana lakini hakupelekwa katika kamati hiyo"

Hivi kweli, Dr wa sheria, anawezaje kutoa kauli kama hii? Kama uongozi wa Bunge la Tanzania umewahi kutuhumiwa kuwa dhaifu, basi kwa kauli hii ya Tulia nasema Bunge linaongozwa na maspika ambao si tu ni dhaifu, bali pia ni wameamua kwa makusudi kujifanya vipofu na mbumbumbu wa uongozi, ili kulinda maslahi ya chama chao CCM.

Kwa kiingereza ninasema kwamba "Tanzania parliament leaders are excessively biased against the opposition, to the extent that most of the time they forget to be clever or intentionally choose to be stupid". Hii ya Tulia ni typical case. Za Ndugai zipo nyingi sihitaji hata kuzitaja. Za wenyeviti wengine wa vikao vya Bunge kama kina Chenge, Zungu nk zinatia hata aibu kuzitaja.

Tulia anachodai hapa ni kwamba, Bunge linaendeshwa kwa mantiki ya jino kwa jino. Ni sawa na refa wa mpira wa miguu ambaye anainyima penati ya wazi timu moja, na ili kusawazisha kosa lake, anainyima timu pinzani penati ya wazi pia.

Well Dr. Tulia, kauli ya kwamba "two wrongs don't make it right" sio ya kitoto. Wahenga waliiweka ili kuwaelimisha watu kama wewe ambao mnasahau kutumia akili na usomi wenu kwa manufaa yenu binafsi au ya chama chenu. Kama Ester Bulaya wa Chadema alifanya kosa na hakuchukuliwa hatua, hilo lilikuwa ni kosa na udhaifu wa uongozi wa Bunge. Lakini sasa udhaifu huo unazidi kuzidishwa pale ambapo Vuma wa CCM anafanya kosa kama la Ester na unaamua kwamba basi na yeye asichukuliwe hatua kama ilivyokuwa kwa Ester Bulaya.

Huo ni udhaifu mkubwa wa uongozi wa Bunge.
 
Ustaarabu wa utawala wa sheria ni mfumo unaopendeza watu wote .Kuhalarisha uvunjaji wa sheria bungeni kwa kisingizio cha bunge mwingine aliishawai kufanya hivyo hakuna kilichofanyika ni hoja isiotakiwa .Ni vyema watu wote waheshimu sheria bila tofauti zetu.Wewe mbunge unapofanya jambo lisilotakiwa wananchi wanakuona kuwa hufai hawatatofautisha kuwa wewe huko chama tawala au la
 
Tatizo ni kwamba neno ustaarabu halimo katika vocabulary ya viongozi wa CCM, kuanzia ngazi ya juu kabisa hadi ya chini kabisa!
 
Nimeushangaa sana uamuzi wa Dr, Tulia Ackson kuhusu Mbunge wa CCM kuchana hotuba ya upinzani. Tulia, ambaye ni mwanasheria wa kiwango cha PhD, bila aibu ametetea uamuzi wake kwa kutoa kauli kwamba "Vuma hawezi kupelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu ya Bunge kwa kuwa kipindi cha nyuma mbunge wa Bunda (Chadema) Ester Bulaya aliwahi kurusha vitabu bungeni na kuvichana lakini hakupelekwa katika kamati hiyo"

Hivi kweli, Dr wa sheria, anawezaje kutoa kauli kama hii? Kama uongozi wa Bunge la Tanzania umewahi kutuhumiwa kuwa dhaifu, basi kwa kauli hii ya Tulia nasema Bunge linaongozwa na maspika ambao si tu ni dhaifu, bali pia ni wameamua kwa makusudi kujifanya vipofu na mbumbumbu wa uongozi, ili kulinda maslahi ya chama chao CCM.

Kwa kiingereza ninasema kwamba "Tanzania parliament leaders are excessively biased against the opposition, to the extent that most of the time they forget to be clever or intentionally choose to be stupid". Hii ya Tulia ni typical case. Za Ndugai zipo nyingi sihitaji hata kuzitaja. Za wenyeviti wengine wa vikao vya Bunge kama kina Chenge, Zungu nk zinatia hata aibu kuzitaja.

Tulia anachodai hapa ni kwamba, Bunge linaendeshwa kwa mantiki ya jino kwa jino. Ni sawa na refa wa mpira wa miguu ambaye anainyima penati ya wazi timu moja, na ili kusawazisha kosa lake, anainyima timu pinzani penati ya wazi pia.

Well Dr. Tulia, kauli ya kwamba "two wrongs don't make it right" sio ya kitoto. Wahenga waliiweka ili kuwaelimisha watu kama wewe ambao mnasahau kutumia akili na usomi wenu kwa manufaa yenu binafsi au ya chama chenu. Kama Ester Bulaya wa Chadema alifanya kosa na hakuchukuliwa hatua, hilo lilikuwa ni kosa na udhaifu wa uongozi wa Bunge. Lakini sasa udhaifu huo unazidi kuzidishwa pale ambapo Vuma wa CCM anafanya kosa kama la Ester na unaamua kwamba basi na yeye asichukuliwe hatua kama ilivyokuwa kwa Ester Bulaya.

Huo ni udhaifu mkubwa wa uongozi wa Bunge.
kwa kweli nawapongeza sana wabunge wa upinzani kwa kuendelea kuwemo katika "nyumba" ile katikati ya manyanyaso yaliyopitiliza, upendeleo wa wazi kabisa na kubebana, na ubabe. Tulia ana kazi moja tu, kumfurahisha John Joseph Pombe Magufuli. wala hana interest na bunge kama taasisi
 
Tulia angesema achukuliwe hatua kwa kuwa suala la kutochukuliwa hatua lilishasawazishwa kati ya Ester Bulaya na Vuma!
Haka ka"kokoo" roho yake ilivyo haina tofauti na jinsi alivyo, au kaliachwa na m'mojawapo wa viongozi wa upinzani nini? hahahahahahahahahaha sio kwa chuki hizi, kabibi kana roho iyo sio ya dunia hii....
 
Niliweka Post ya "imagine mbunge wa upinzani angechana kitabu cha budget serikali"

Nazani unaweza pata jibu
Kwani siku za mbeleni wapinzani nao wasichane bajeti yao kwa reference hii hii ya tulia?
 
Ili wote waonekane "wapumbavu" au Tulia aonekane kituko? Nakuhakikishia kuwa angeadibishwa mbunge wa upinzani huku yule wa CCM akiendelea kushangiliwa!
Ilitakiwa baada ya kutoa kauli iyo mbunge wa upinzani asimame halafu achane ile bajeti ya serikali wanayo ijadili halafu mambo yaendelee
 
Mimi nimeshangaa sana yani, hii dharau ya Vuma aisee daaah. Upinzani una hali ngumu sana awamu hii kupita wamu zote... This is not right at all.

Niliposoma habari ya hotuba kuchanwa bungeni nilikimbilia kutafuta wasifu wa mhusika nikiamini kuwa ni mmoja wa wale wasomi wetu wanaosumbuliwa na ule ugonjwa wa kiburi cha usomi (academic arrogance). Bahati mbaya sikutpata huo wasifu wake; niliambulia tu kujua umri wake kitu ambacho nadhani nacho kimechangia kitendo hicho cha kihuni.
 
Nimeushangaa sana uamuzi wa Dr, Tulia Ackson kuhusu Mbunge wa CCM kuchana hotuba ya upinzani. Tulia, ambaye ni mwanasheria wa kiwango cha PhD, bila aibu ametetea uamuzi wake kwa kutoa kauli kwamba "Vuma hawezi kupelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu ya Bunge kwa kuwa kipindi cha nyuma mbunge wa Bunda (Chadema) Ester Bulaya aliwahi kurusha vitabu bungeni na kuvichana lakini hakupelekwa katika kamati hiyo"

Hivi kweli, Dr wa sheria, anawezaje kutoa kauli kama hii? Kama uongozi wa Bunge la Tanzania umewahi kutuhumiwa kuwa dhaifu, basi kwa kauli hii ya Tulia nasema Bunge linaongozwa na maspika ambao si tu ni dhaifu, bali pia ni wameamua kwa makusudi kujifanya vipofu na mbumbumbu wa uongozi, ili kulinda maslahi ya chama chao CCM.

Kwa kiingereza ninasema kwamba "Tanzania parliament leaders are excessively biased against the opposition, to the extent that most of the time they forget to be clever or intentionally choose to be stupid". Hii ya Tulia ni typical case. Za Ndugai zipo nyingi sihitaji hata kuzitaja. Za wenyeviti wengine wa vikao vya Bunge kama kina Chenge, Zungu nk zinatia hata aibu kuzitaja.

Tulia anachodai hapa ni kwamba, Bunge linaendeshwa kwa mantiki ya jino kwa jino. Ni sawa na refa wa mpira wa miguu ambaye anainyima penati ya wazi timu moja, na ili kusawazisha kosa lake, anainyima timu pinzani penati ya wazi pia.

Well Dr. Tulia, kauli ya kwamba "two wrongs don't make it right" sio ya kitoto. Wahenga waliiweka ili kuwaelimisha watu kama wewe ambao mnasahau kutumia akili na usomi wenu kwa manufaa yenu binafsi au ya chama chenu. Kama Ester Bulaya wa Chadema alifanya kosa na hakuchukuliwa hatua, hilo lilikuwa ni kosa na udhaifu wa uongozi wa Bunge. Lakini sasa udhaifu huo unazidi kuzidishwa pale ambapo Vuma wa CCM anafanya kosa kama la Ester na unaamua kwamba basi na yeye asichukuliwe hatua kama ilivyokuwa kwa Ester Bulaya.

Huo ni udhaifu mkubwa wa uongozi wa Bunge.
Mwanamke ana sura mbaya kuliko hata dume la mamba halafu unategemea anaweza kutoa maamuzi ya maana??? Ni ngumu sana kumtofautisha Msukuma, Kibajaji au Bashite na huyo sura mbaya anayejiita Dr.!
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom