Udhaifu wa Serikali ya CCM wazidi kuwekwa wazi== Kutekwa kwa Dr. Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhaifu wa Serikali ya CCM wazidi kuwekwa wazi== Kutekwa kwa Dr. Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by QUALITY, Jun 28, 2012.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama serikali ya CCM inajihusidha na utekaji, upigaji na jaribio la kumuua kiongozi wa madaktari nchini, dr. Ulimboka kwa hali inavyoonekana, udhaifu wa CCM imezidi kujidhihirisha.

  Watanzania naomba tuamke tupambane hali si hali.

  mauaji ambayo serikaali ya CCM imehusishwa nayo ni kama ifuatavyo:-

  1. Mauaji ya Igunga
  2. Usa liver
  3. Jaribio kwa wabunge, Kirumba
  4. Mabwe pande, wafanya biashara wa madini
  5. orodha ni kubwa

  Kila mtanzania mpenda amani, TUSHIRIKIANE KUTOKOMEZA CCM; NI JANGA LA KITAIFA

  Quality
   
 2. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ongeza pia kwenye orodha mauaji ya Chacha Wangwe ambayo yalifanywa na chama fulani kinacho toka Tanzania Kaskazini!
   
 3. d

  dguyana JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kulalamika chukua hatua sasa.
   
Loading...