Udhaifu wa rais ni upi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhaifu wa rais ni upi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Safari_ni_Safari, Jun 19, 2012.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Kufuatia kauli ya Mh. Mnyika , inatubidi tuanze kuorodhesha udhaifu wa Rais wetu(si wa kiafya au kimwili bali kiutendaji)

  1. Uteuzi mbovu wa wasaidizi
  2. Kshindwa kufanya maamuzi kwa wakati(ref mgomo wa madaktari)
  3. Kushindwa kuchukua hatua kwa wakati(suala la katiba)
  4. Kushindwa kuvunja makundi ndani ya CCM
  5. Kushindwa kuulinda muungano
   
Loading...